Kupewa Veteran ni muhimu, Rais wa JMT ni Mzanzibari, Rais wa Zanzibari na Makamu wake ni Wazanzibari.Kigezo cha kuwa VPURT haijawahi kuwa uwezo. Kigezo kikubwa ni upande wa Muungano anaotokea na busara za kumsaidia Rais bila kumhujumu au kutamani kuwa na mamlaka ya Rais au Maarufu kuliko Rais au kutaka kumrithi Rais.
Hivyo ndio vigezo. Na ndio maana nashawishi nafasi hiyo apewe veteran mojawapo.
Sorry to say it will never happen. yes maybe kuna wanawake wengine but sio yule wa kisarawe. bado sana.Moshi mwingi sana wamama wamekusudia kukamata uongozi wa nchi hii kwa kishindo ni kama wanataka kulipiza kisasi kwa miaka mingi waliyokuwepo benchi.Na wanasema hakuna kama mama ,mibaba kibao imepita hawana jipya zaid ya kuota vitambi.
Na dimba hili litameza mpaka nafasi za wakuu wa seemu mbali mbali polisi jeshi usalama na hilo linasemwa litaanza kwa kumpata makamo wa kike.
Na inasemwa zipo damu changa zinazochemka mfano yule wa Kisarawe ameonyesha usisimuaji mkubwa katika kuongoza indicator ipo ya manjano huenda ikawaka nyekundu au kijani..! CCM bana.
Sasa ni gumzo wanawake wanatupaisha kiana. halo halooo !
Kama wanawake waliweza vumilia kipindi chote tena ndo wakiwa mitaji ya viongozi....basi nawewe vumilia tuHaiwezekani lakini pia inawezekana.ila Mambo yatakuwa hayaendi asiwekwe mama haiwezekani mzee.me mwenyewe nitaandamana
MmmmhNimesikia ni mzee Sumaye!
Mmmh alibadiri jinsia lini mkuuNimesikia ni mzee Sumaye!
yiiiiiiiNi wakati waoView attachment 1734086
Poye poye weyeee?Hilo sahau! Makamu wa Rais atakuwa ni Mwanaume. Na jina tayari tunalo. Bado tu jina kupelekwa Bungeni, kumuidhinisha na kumtangaza.