Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,663
Hafai tena maana alidanganya taifa kwamba rais ni mzima na achapa kazi ofisini, aibu yake.Majaliwa anafaa kuwa makamu wa rais au rais.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hafai tena maana alidanganya taifa kwamba rais ni mzima na achapa kazi ofisini, aibu yake.Majaliwa anafaa kuwa makamu wa rais au rais.
Lake hiloHalafu hili lake halitafutika hata baada ya miaka inayokuja sababu aliongea uongo mkuu mbele ya Taifa.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji23][emoji23]Kabudi hapana, mi naogopa macho yake.
Jamani JK asije akatuletea tena nanihii..Sidhani kama watapenda kutoa mtu nje ya waliokuwa kwenye mchujo wa 2015.. 'Possibility' kubwa ni January Makamba kama VP.. na pia huenda ushawishi wa JK ukasaidia pia kwani ndiyo mwenye nguvu kwenye Kamati ya Marais Wastaafu..
Acha uchawi ww.. kwahiyo angekuwa mamako usingekubali awe RAIS?Believe me nikikuambia Mama Samia hatoongoza taifa zaidi ya mwaka lazima aapishwe mwanaume pale ikulu
Imeandikwa wapi au no desturi ipi! !,vipi nyerere na sokoine,msuya na vipi kikwete na she in?Kigezo cha kwanza kwenye majina lazima awe mkristo ili kubalance haiwezekani wote wakawa waislamu haya tuanze upya kufikiria
Tupa kuleMwigulu Nchemba.
Palamagamba Kabudi.
Phillip Mpango.
Huyo jamaa nimemshangaa utafikiri wanaenda kutuhubiria dini kitaifa. Sisi tunahitaji viongozi wa kutuongoza wenye maadili mema, busara na hekma wakifuata katiba na sheria za jamhuri ya muungano wa Tanzania. Hayo mambo ya dini zao hazituhusuMbona uko nyuma sana kimawazo mkuu kwan wanatumia msahaf na bible pale au roho mbaya tuu pale sio uislam pale katiba mkuu ayo mawazo dun
Wakristo Roho zenu ngumu sana.mkae pembeni muangalie namna ya kuongoza nchi na waislamKigezo cha kwanza kwenye majina lazima awe mkristo ili kubalance haiwezekani wote wakawa waislamu haya tuanze upya kufikiria
Nchi yetu haina dini mkuu. Hivyo ni halali tu kutokea hivyo.Kwahiyo Rais Muislam
Makamu wa Rais Muislam
Waziri Mkuu Muislam