PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bashiru na mataga wanakaba kama Onyango wa #Simba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bashiru na mataga wanakaba kama Onyango wa #Simba
Achague mwanamke mwenzake awe makamu wake.Bashiru na mataga wanakaba kama Onyango wa #Simba
VP na PM wote wanawake till 2025... Yes!!Achague mwanamke mwenzake awe makamu wake.
Mwigulu Nchemba.
Palamagamba Kabudi.
Phillip Mpango.
Mmetuzoe vibaya watz aisee[emoji23][emoji23]Lowasa
Utakuwa umepigwa kipapai wewe siyo bure.Sijui ndio nimechanganyikiwa na hiki kifo cha ghafla cha Jembe letu,mpendwa wetu, kiongozi na mshauri wetu mkuu wa mambo ya Duniani,kuzimu & mbinguni
Nimejikuta nawaza tu huenda nafasi ya makamu wa rais atapatiwa bwana Steven Wassirra akibebwa na uzoefu wake wa toka enzi za Nyerere
Sasa nani mwingine anafaa maana hayati ndie aliyekuwa anajua kuwaangalia watu wenye mioyo misafiUtakuwa umepigwa kipapai wewe siyo bure.
Sema wenye mioyo ya kishetaniSasa nani mwingine anafaa maana hayati ndie aliyekuwa anajua kuwaangalia watu wenye mioyo misafi
Unafiki wetu ni upi ndugu, kabla sijaanza kukushambuliaLEO HIYO[emoji41][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] WANAFIKI WAKUBWA NYIE
Yangu enzi za nyerenyere aliweka usawa Kati ya dini hizi mbili. Kwa nafasi ya makamo na Rais. Huko kwenye dc na rc ni juhudi yako mwenyewe ya kujipendekezaKwani wakati ule wa teuzi za mawaziri,maRC MaDc etc ulipokuwa unapendelea upande mmoja si mlisema tuangalie uchapa kazi na sio DINI? Sasa leo nini tena,atakaeteuliwa yoyote atafaa cha msingi anauwezo wa kufanya kazi ipasavyo
Natamani Rais awe na mawazo yako,sitamani Rais ambae watu wanaweza otea/kisia/bashiri Maamuzi yakeWewe sio mtoa roho za watu! Kwani ni lazima Makamu wa Raisi awe mwanaume! Mhe. Samia ana uwezo wa kumpendekeza Makamu wa Raisi mwanamke na kwangu huu utakuwa uamuzi sahihi sana. Nchi hii ina wanawake shupavu na wenye mawazo ya kitaifa zaidi kuliko vyama vyetu. Tuna akina:
1. Asha-Rose Migiro
2. Anna Makinda
3. Prof. Bernadeta Killian
4. Anna Mghwira
Hawa ni baadhi ya wanawake wazalendo wanaoweza kutumikia nafasi ya Makamu wa Raisi wa JMT.
Really?January makamba is the best
Huo ndiyo naita ujinga. Uongozi siyo dini. Anayefaa ni yule ambaye anaiweza hiyo kazi kuliko mwingine yoyote. Wapi uliona CV ya kazi ikiwa na dini kama sifa mojawapo? Kama dini ni sifa ya hiyo kazi, kwa nini wewe usiombe uteuliwa kwa vile ni mkristo!Pale anapaswa kuwepo Mkristo, haiwezekani
-Rais Muislam
-Makamu wa Rais Muislam
-Waziri Mkuu Muislam
-Rais wa Zanzibar Muislam
-Makamu wa Rais Zanzibar Muislam
-Katibu Mkuu kiongozi bara Muislam
-Katibu Mkuu kiongozi zanzibar Muislam
-Mawaziri wote Zanzibar Waislam
Its better awe fair.