Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Jibu zuri sanaMkuu haikuwa bahati yetu kanda ya ziwa kumaliza ngwe. Tuwaachie wengine sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu zuri sanaMkuu haikuwa bahati yetu kanda ya ziwa kumaliza ngwe. Tuwaachie wengine sasa
Wewe umezaliwa juzi hujui chochote, tulia ufundishwe historia!Wakati huo makamu wa rais alikuwa wapi hadi Msuya akawa vp at the same timu akiwa ni pm?
Wewe umerogwa siyo bureAtakuwa Mrisho Gambo
Nakuunga mkonoKuwatenga wachaga ni sawa na kukataa maendeleo katika nchi hi
Huyo ni lumumba mwenzako msivyokuwa na akiliAhajawahi kuwa makamu wa rais bali waziri mkuu...
Umeandika kinyonge sanaWalipata sana nafasi za juu wakati wa Nyerere, Mwinyi na Mkapa lakini walichofanya ni kujilimbikizia mali na maendeleo kwao huko kaskazini tu. Sasa ni wakati wa kanda zingine ili maendeleo yasambae Tanzania nzima.
Hao wanao wang'ang'ania wachaga kuwa ndiyo kabila pekee la kasikazini hawana akili.Mimi niliwataja wachaga kwa sababu comment nyingi zinawataja wachaga
Tatizo lako ni mtimdio wa uelewa ulio sababishwa na utapia mloWewe umezaliwa juzi hujui chochote, tulia ufundishwe historia!
Yani unamchukia tajiri ili wewe masikini uwe tajiri, impossible.Kuwatenga wachaga ni sawa na kukataa maendeleo katika nchi hi
Yaani wewe unagombea uenyekiti Bawacha halafu hujui kama mzee Msuya alikuwa nani 1983?Tatizo lako ni mtimdio wa uelewa ulio sababishwa na utapia mlo
Kwa kweli Vijana wetu wengi hawaifahamu historia.Ndio maana Hayati JPM alitaka somo la historia ya Tanzania lifundishwe ili kusaidia watu kama hao.
Taratibu haziruhusu mtu mmoja kuwa na vyeo vya kiserikali zaidi ya kimoja.Ni mh bashiru et
Si mwinginee anapiga chiniTaratibu haziruhusu mtu mmoja kuwa na vyeo vya kiserikali zaidi ya kimoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao kazi yao kupost tu, hawajui chochote Wala loloteFuatilia Historia Kijana.. alikuwa Makamu wa Rais na Waziri Mkuu at the same time mwaka 1983
Humjui hata Bashiru unayemzungumzia.. Ficha Ujinga wako.Dr. Bashiru anatosha.
ni mwadilifu asiye na shaka.
ni mchapa kazi
ni mfuasi wa nyanyo za Mwalimu Nyerere
ni mfuasi wa nyayo za JPM
ni mzalendo wa kweli
ni Mjamaa wa kweli.
ni kiongozi mwenye maono
ni mtetezi wa wanyonge.
ni mtu asiye penda rushwa na ubadhirifu wa mali za umma.
ndio maaana Hayati JPM alimsogeza karibu kutokana na sifa zake hizo ikiwemo kubaini ufisadi na ubadhirifu wa mali za ccm, huyu ni mtu muhimu na hazina ambaye anaweza kabisa kutuvusha.
ndiye mtu pekee anaye weza kusaidiana na Rais wetu Mama Samia kuisimamia ilani ya Chama na ikatekelezeka.
tusifanye makosa tukawa karibisha waroho wa madaraka wananchi wataumia, na huenda ccm ikajiweka njia panda 2025.
Cleopa amewahi kuwa makamu wa raisi, alichokua nafasi ya Malecela. Ila ni kweli hili mlikuwa hamjui au ni ubishi tu? Ukiingia hata Google si unaweza kupata hiyo habari?Ndio maana Hayati JPM alitaka somo la historia ya Tanzania lifundishwe ili kusaidia watu kama hao.