Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?
Walipata sana nafasi za juu wakati wa Nyerere, Mwinyi na Mkapa lakini walichofanya ni kujilimbikizia mali na maendeleo kwao huko kaskazini tu. Sasa ni wakati wa kanda zingine ili maendeleo yasambae Tanzania nzima.
Umeandika kinyonge sana
 
February Joseph Katani

Kuwatenga Wana-Israel ni Jambo baya. Huleta maafa.

Marekani kuheshimu Waisrael siyo mjinga.

Damu ya kiyahudi haikuenda/ haiendi bure.

Tuheshimiane!
 
Wafujaji wa fedha serikali zilizopita isipokuwa ya JPM mnataka warudi?
mmoja aliwahi kusema hata tule nyasi,hatutaki mturudishe tulikotoka.
 
Dr. Bashiru anatosha.
ni mwadilifu asiye na shaka.
ni mchapa kazi
ni mfuasi wa nyanyo za Mwalimu Nyerere
ni mfuasi wa nyayo za JPM
ni mzalendo wa kweli
ni Mjamaa wa kweli.
ni kiongozi mwenye maono
ni mtetezi wa wanyonge.
ni mtu asiye penda rushwa na ubadhirifu wa mali za umma.

ndio maaana Hayati JPM alimsogeza karibu kutokana na sifa zake hizo ikiwemo kubaini ufisadi na ubadhirifu wa mali za ccm, huyu ni mtu muhimu na hazina ambaye anaweza kabisa kutuvusha.
ndiye mtu pekee anaye weza kusaidiana na Rais wetu Mama Samia kuisimamia ilani ya Chama na ikatekelezeka.
tusifanye makosa tukawa karibisha waroho wa madaraka wananchi wataumia, na huenda ccm ikajiweka njia panda 2025.
 
Humjui hata Bashiru unayemzungumzia.. Ficha Ujinga wako.
 
Ndio maana Hayati JPM alitaka somo la historia ya Tanzania lifundishwe ili kusaidia watu kama hao.
Cleopa amewahi kuwa makamu wa raisi, alichokua nafasi ya Malecela. Ila ni kweli hili mlikuwa hamjui au ni ubishi tu? Ukiingia hata Google si unaweza kupata hiyo habari?
 
Back
Top Bottom