Baada ya kimya kingi nami nitie neno DP World, Mtazamo wangu ni Tofauti kidogo

Baada ya kimya kingi nami nitie neno DP World, Mtazamo wangu ni Tofauti kidogo

Ngoja nikwambie... TOR zimeandaliwa na DP World, serikali hajaandaa TOR wala kutangaza publicly kutaka wazabuni wakuwekeza na kuendesha bandari. Ni Samia na watu wake walienda Uarabuni kwa interest zao, wakachagua DP World basi na kusaini vitu wanavyovitaka. Kwa hiyo, maswali yakitaalamu yakiulizwa, hawataki kujua na wanaishia kusingizia udini na Uzanzibar.

Lakini kinachosikitisha zaidi ni kwamba serikali unapeleka bungeni muswada wa kuhalalisha DP World isifuate sheria zilizopo za nchi juu ya uwekezaji wa raslimali za asili. Kwanini wanawapa exemption watu hawa?
Nam
 
Back
Top Bottom