Baada ya kimya kingi nami nitie neno DP World, Mtazamo wangu ni Tofauti kidogo

Sasa britanica kutozwa tozo sisizo sahihi ndio Kweli kuwapa bandari zote waarabu

Ufanisi upo Ni hujuma tu ndio yametufikisha hapa
 
we ndio walewale huna unachojua, leta ushahidi na unayoyasema. Waziri alieleza kila kitu kinagaubaga km hamkumwelewa mkarejee maelezo yake. Au nyie mnataka muwe na serikali yenu zaidi ya iliyo madarakani? Tuwaamini viongozi wetu.
Tafadhali yaweke maelezo ya Waziri hapa ili tujiridhishe kuwa unayafahamu nasi tutakupa yale tunayoyafahamu ambayo yanakinzana na mkataba na Katiba au taratibu za makubaliano kama haya.
 
Habari za siku nyingi, nimekuwa kimya kidogo tokea sakata laBandari limeanza,

Uwekezaji ni mzuri sana na hasa unapofuata misingi sahihi, hasa kwa bandari zetu hizi zinataka mapinduzi makubwa sana kuto au kuondoa ukiritimba uliopo,

hivo siwezi kupingana na aliyeleta hoja ya kuwakaribisha wawekezaji, japo naweza pingana naye kwa namna sakata linavyopelekwa au lilivyobebwa,

A. KWANINI NAUNGA MKONO HOJA
Bandari yetu imekuwa ni ya hovyo sana kwa miaka mingi mno, kupotea kwa mali za wateja, kuchelewa kwa huduma, kutozwa tozo zisizo sahihi, kuharibu mali wakati wa utoaji,
kwenye suala la mwekezaji bandarini isiishie kwenye kuleta mikono ya kupakua mizigo au kuweka tehama tu, bali hata usimamizi wa mapato na mchakato mzima wa kumtoza mteja uwe wazi na makusanyo yaelekee sehemu husika,

B.MAPUNGUFU KATIKA MCHAKATO MZIMA
Natambua fika kwamba wenye bandari sisi ndo ilibidi tuande draft ya jinsi gani tunataka bandari iendeshwe alafu tumpe anayekuja kuwekeza, najua hilo litakuwa limefanyika ila kama yamefanyika basi zitakuwa zimepitiwa hatua hizi

Mwenye bandari sisi ndo ilibidi kuandaa proposal na tena kuna hatua.
1. Unaandaa hadidu za rejea yaani terms of reference (TOR).

2. Unaandaa tangazo ili wazabuni waombe kufuatana na vigezo vyako vya kwenye Hadidu za rejea yaani terms of reference (TOR)

3. Unatangaza tenda ili watoa huduma waombe kufuatana na vigezo vya kwenye Hadidu za rejea.

4. mnafungua tenda mbele ya wazabuni.

5. Mnachuja wazabuni kufuatana na vigezo.

6. Mkimpata anayewafaa mnamfahamisha kupitia offer letter.

7. Anajibu offer letter

8. Wewe mwenye zabuni ambaye ndiye unahitaji huduma unaandaa MKATABA. Unawapa draft Upande wa pili nao wanaupitia wakikubaliana mnasaini.

Nadhani huu utaratibu au unaofanana na huu ulifuatwa. Tunasubiri CAG akija kwenye ukaguzi asije kusema trillion kadhaa zilipotea kwa sababu ya kutofuata taratibu za MKATABA.

C.UDINI NA UKANDA
Ukiwasikiliza vijana wengi mtandaoni kwa sasa hawajibu hoja bali hisia zimejengeka tayari ndani yetu au yao kwamba wenda Wazanzibar wanauza Tanganyika, wakati huo huo Wazanzibar wanatetea hata kila lisilotetewa kisa watekelezaji wanatoka upande wao, hapa ningeshauri kwanza vijana wazichambue hoja zote za msingi, tuweke ukanda na udini pembeni ili sasa tuongee points, juzi kuna sheik mmoja nimemuona anamparua Prof Issa Shivji, kama mtoto mdogo bila kujua mzee shivji ni Miongoni mwa wanazuoni 7 waliopewa direct approach ikulu na kutoa maoni na katika maoni ambayo uwa yanazingatiwa sana ni ya Issa, anatokea mtu anajiita Sheik bila kujibu hoja anambagua kwa rangi yake, hilo suala halikuwa sahihi kabisa, Masheik na Ma Askofu Umakini katika kuyaongelea masuala ya msingi kama haya, hasa nisifiche MMEPWAYA

D. CCM INATUMIA WATU WA HOVYO KUFIKISHA UJUMBE
Chama changu pendwa cha CCM mmetumia watu wa hovyo sana kufikisha ujumbe au kuelimisha jamii nina mifano

--Hili suala la uwekezaji au ubinafsishaji kwenye bandari wapinzani wametupiga bao kwenye kutumia watu wajanja na wajuzi wa mambo kudadavua undani, na ndo maana kila mwananchi wa kawaida anadhani au anajua bandari imeuzwa tayari kwakuwa wamejadili masuala ya msingi, na hata wasio wapinzani wamejadili mambo ya msingi haswa
Mfano Mama Anna Tibaijuka alieleza kwa kina juu ya usalama wa anga (air space) kwamba mkataba kwa kipengele alichosoma kuna sehemu inasema kwamba bandarini pale sehemu kadhaa ft kadhaa kwenda juu hatutakuwa na mamlaka nayo, hili suala halijajibiwa zaidi ya kusema na kushambuliwa kwamba ESCROW ni ya Tibaijuka, mara anamtetea Karamagi wa TCTS, Je hoja yake imejibiwa?

lissu yeye kazungumzia suala la watakapokuwa na bandari kavu hatutaruhusuwa kujenga feeder roads, kashambuliwa kwa matusi je hii hoja imejibiwa?

mkataba hauna ukomo ni hoja ya kila mtu, mbona nayo haijibiwi?
Mgawanyo wa jinsi gani tutapata share haikuwekwa wazi, basi inabidi CCM watumie wataalamu kueleza kwamba uwenda itasemwa hapo baadae au kuna sababu kadha wa kadha kutosemwa,

Chakushangaza Watetezi wa CCM ni Steve Nyerere ambaye hata wasanii wenzake hawamkubali popote hata kwenye sekta ya usemeji walimkataa, ndo CCM inampa airtime kusemea mambo mazito,
Mtu kama Manara huyo ndo kaaribu kabisa kwa maelezo yake yamejaa na ubaguzi ndani yake kwamba watu wa mikoani hawaruhusiwi kuhoji bandari, are we serious?

CCM au Serikali ina watu wengi wa kuweza kueleza jambo likaeleweka Wapo kama Mzee Adam Simbeye wa this week in perspective na wazee wa namna hiyo wengi wasomi wanaoelewa masuala haya ya mikataba,

linapokuja suala la mambo ya Msingi ya Nchi Tafadhari akina Mwijaku sijui baba levo wakae kwenye miziki na media huko mambo ya msingi wataalamu wawaeleze wananchi kinaga ubaga, kuliko kuwatumia watu watakao watibua watu au kuwa mislead na serikali ikaeleweka visivyo kumbe si lengo la serikali waseme hivo,

USHAURI WANGU
1. Kama Tumekaa na TICTS miaka zaidi ya 20, aongezewe mwaka mmoja huku serikali na wadau waanze kuufanya mchakato upya kwa kutangaza magazet ya serikali na kwenye telvisheni ya Taifa kiwepo kipindi maalumu cha kuuelezea mkataba kwa kiswahili tu na kidadavuliwe na wataalamu, ifanyike hivyo kila week mara tatu kwa muda maalumu ndani ya week 52,

2. Mwekezaji naye aelezwe kwamba kuna ABCD tunataka wananchi waelezwe ili kuzuia baadae asije kuja raisi wa kariba ya wale wasifuata sheria kama fulan akaufutilia mbali ,

MWISHO TANZANIA NI ZAIDI YA CHADEMA,CCM,ZANZIBAR,TANGANYIKA,ACT,UISLAMU,UKRISTO AU UPAGANI,

Britanicca
Nilipoona tu maoni TICS aongezewe mwaka mmoja nimeshajua kuwa wewe ni wale wale msiolitakia mama taifa hili mnaotaka kuendelea kutupiga pale bandarini
 
Noted at first
 
Maada nzuri ila ulituambia kuwa " Kama Urusi itaivamia Ukraine basi una left jf" . Hujatekeleza.

Sasa nikukosoe kidogo kwa nia ya kujenga kujenga

1. Wanaopinga kuuzwa bandari sio wapinzani bali ni watanganyika wote kwa ujumla bila kujali itikadi wala dini zao. Rejea shekhe Ponda

2. Wanaounga mkono ni wazanzibar kwa kuwa mama ni wa kwao waziri na katibu wa wizara pia.

3. Watanganyika wanaounga mkono ni wanne tu waliohongwa ili tumbo zao zishibe. Nao form two dropouts Kitenge, Zembwela, Baba Levo na Manara.

Usitugawe watanganyika kwenye hili tumeungana hatutaki kuuzwa.

Tunahitaji uwekezaji wenye tija.

Mkataba ufutwe tutoe masharti sisi siyo wao.
Sahih kbsa , bila kumsahau Gerald hando njaa kali
 
Maelezo mazuri sana ila nina swali la nyongeza kwako Britanica, kwanini hujagusia Bunge na Spika?
 
Mwambie auze Zanzibar

TANGANYIKA ni ya watanganyika

Haijalishi ameshirikiana na kile kikundi cha mstaafu
Nasikia tunakomoana kwa vile nae mwinyi kauza kisiwa Chao

Kuna harufu ya kukomoana hapa
 
Mi namlaumu huyu katibu mkuu wa CCM wa sasa, shida ni kiwango cha elimu au ni kwamba ni mzito kichwani. Hivi kweli Sofia Mjema ndiyo awe katibu mwenezi wa chama? Are they serious? Kilichaongaliwa ni jinsia au dini. Km wanaweka watu kwa kwasababu binafsi km hizo tegemea failure. Nauliza UV-CCM wako wapi, au kwasababu mwenyekiti mzanzibari. Huyu mama kajaza waislamu na wazanzibari kwenye chama ktkt uchaguzi wa 2022 akifikiri sijui amekuwa shehe badala ya mwenyekiti wa CCM Taifa. Mi sintashanga chama kikimfia mikononi, halafu inaonekana km ana kibri flani ya kutoshauriwa. CCM ninayoijua siyo hii, katibu mwenezi wa CCM na UV-CCM wasingelala wangekuwa wamesambaa nchi nzima na kwenye mitandao kutoa ufafanuzi wananchi waelewe, wako wapi, au wanafikiri wamepewa nafasi ya kula siyo ya kazi?
Sasa mm Ni ccm Sofia Ni kilaza kuongea tu anatetemeka

Bora Yule aliyetumia mkorogo
 
Hivi nani anawapa hawa watu kama wakina steve nyerere sijui manara
Kujibu mambo mazito

Ova
Ndio taifa lilipo fikia kwenye ku digest mambo critical mkuu
Hao ndio wana eleza uhalisia ulivyo
 
Napata hisia na maswali mengi sana kuhusu huu mkataba ulivyojengwa nafikia mahali naona kama ule mkataba wa Bandari ya Bagamoyo unatafutiwa upenyo wa kuutekeleza nini? (kupitia Dp World)
 
Siikweli kwamba ccm hawana watu makini wa kuutolea ufafanuzi huu mkataba hata wawaachie manara na stvu
Ukweli ni kwamba ccm nichama kiricho sheheni vijana wengi tu wenye uwezo mkubwa kwenye majukwaa ya kisiasa hasa linapokuja swala la kuitetea sarikali ndipo huwa nguvu ya uvc ccm utaijuwa

Lakini kwa hili la mkataba wa DP hata uvc nikama wamelisusa naamini aina ya huu mkataba na na namna mchakato ulivyo endeshwa wa kumpata huyo muarabu unawapa wakati mgumu nanamna ya kuanza kuutetea

Naamini njia pekee ya Mtanzania yoyote ambayo unaweza kuitumia ili tu uutetee huu mkataba inabidi ujifyatuwe akili kwanza

Hivyo ndio maana hata uvc ccm kwa kuwa wao pia niwazalendo wa nchi hii inawapa wakati mgumu wa kuutetea huu mkataba na njia pekee walio ichaguwa ni kukaa kimya tu ili kulinda heshima ya chama

Wahenga walisema ukimya wa lafiki yako unaumiza kuliko kelele za adui yako hivyo naamini ukimya wa uvc kwa nyakati hizi ambazo serikali ya ccm inapitia joto hili ni dalili mbaya kabisa kuhi kutokea
 
Habari za siku nyingi, nimekuwa kimya kidogo tokea sakata laBandari limeanza,

Uwekezaji ni mzuri sana na hasa unapofuata misingi sahihi, hasa kwa bandari zetu hizi zinataka mapinduzi makubwa sana kuto au kuondoa ukiritimba uliopo,

hivo siwezi kupingana na aliyeleta hoja ya kuwakaribisha wawekezaji, japo naweza pingana naye kwa namna sakata linavyopelekwa au lilivyobebwa,

A. KWANINI NAUNGA MKONO HOJA
Bandari yetu imekuwa ni ya hovyo sana kwa miaka mingi mno, kupotea kwa mali za wateja, kuchelewa kwa huduma, kutozwa tozo zisizo sahihi, kuharibu mali wakati wa utoaji,
kwenye suala la mwekezaji bandarini isiishie kwenye kuleta mikono ya kupakua mizigo au kuweka tehama tu, bali hata usimamizi wa mapato na mchakato mzima wa kumtoza mteja uwe wazi na makusanyo yaelekee sehemu husika,

B.MAPUNGUFU KATIKA MCHAKATO MZIMA
Natambua fika kwamba wenye bandari sisi ndo ilibidi tuande draft ya jinsi gani tunataka bandari iendeshwe alafu tumpe anayekuja kuwekeza, najua hilo litakuwa limefanyika ila kama yamefanyika basi zitakuwa zimepitiwa hatua hizi

Mwenye bandari sisi ndo ilibidi kuandaa proposal na tena kuna hatua.
1. Unaandaa hadidu za rejea yaani terms of reference (TOR).

2. Unaandaa tangazo ili wazabuni waombe kufuatana na vigezo vyako vya kwenye Hadidu za rejea yaani terms of reference (TOR)

3. Unatangaza tenda ili watoa huduma waombe kufuatana na vigezo vya kwenye Hadidu za rejea.

4. mnafungua tenda mbele ya wazabuni.

5. Mnachuja wazabuni kufuatana na vigezo.

6. Mkimpata anayewafaa mnamfahamisha kupitia offer letter.

7. Anajibu offer letter

8. Wewe mwenye zabuni ambaye ndiye unahitaji huduma unaandaa MKATABA. Unawapa draft Upande wa pili nao wanaupitia wakikubaliana mnasaini.

Nadhani huu utaratibu au unaofanana na huu ulifuatwa. Tunasubiri CAG akija kwenye ukaguzi asije kusema trillion kadhaa zilipotea kwa sababu ya kutofuata taratibu za MKATABA.

C.UDINI NA UKANDA
Ukiwasikiliza vijana wengi mtandaoni kwa sasa hawajibu hoja bali hisia zimejengeka tayari ndani yetu au yao kwamba wenda Wazanzibar wanauza Tanganyika, wakati huo huo Wazanzibar wanatetea hata kila lisilotetewa kisa watekelezaji wanatoka upande wao, hapa ningeshauri kwanza vijana wazichambue hoja zote za msingi, tuweke ukanda na udini pembeni ili sasa tuongee points, juzi kuna sheik mmoja nimemuona anamparua Prof Issa Shivji, kama mtoto mdogo bila kujua mzee shivji ni Miongoni mwa wanazuoni 7 waliopewa direct approach ikulu na kutoa maoni na katika maoni ambayo uwa yanazingatiwa sana ni ya Issa, anatokea mtu anajiita Sheik bila kujibu hoja anambagua kwa rangi yake, hilo suala halikuwa sahihi kabisa, Masheik na Ma Askofu Umakini katika kuyaongelea masuala ya msingi kama haya, hasa nisifiche MMEPWAYA

D. CCM INATUMIA WATU WA HOVYO KUFIKISHA UJUMBE
Chama changu pendwa cha CCM mmetumia watu wa hovyo sana kufikisha ujumbe au kuelimisha jamii nina mifano

--Hili suala la uwekezaji au ubinafsishaji kwenye bandari wapinzani wametupiga bao kwenye kutumia watu wajanja na wajuzi wa mambo kudadavua undani, na ndo maana kila mwananchi wa kawaida anadhani au anajua bandari imeuzwa tayari kwakuwa wamejadili masuala ya msingi, na hata wasio wapinzani wamejadili mambo ya msingi haswa
Mfano Mama Anna Tibaijuka alieleza kwa kina juu ya usalama wa anga (air space) kwamba mkataba kwa kipengele alichosoma kuna sehemu inasema kwamba bandarini pale sehemu kadhaa ft kadhaa kwenda juu hatutakuwa na mamlaka nayo, hili suala halijajibiwa zaidi ya kusema na kushambuliwa kwamba ESCROW ni ya Tibaijuka, mara anamtetea Karamagi wa TCTS, Je hoja yake imejibiwa?

lissu yeye kazungumzia suala la watakapokuwa na bandari kavu hatutaruhusuwa kujenga feeder roads, kashambuliwa kwa matusi je hii hoja imejibiwa?

mkataba hauna ukomo ni hoja ya kila mtu, mbona nayo haijibiwi?
Mgawanyo wa jinsi gani tutapata share haikuwekwa wazi, basi inabidi CCM watumie wataalamu kueleza kwamba uwenda itasemwa hapo baadae au kuna sababu kadha wa kadha kutosemwa,

Chakushangaza Watetezi wa CCM ni Steve Nyerere ambaye hata wasanii wenzake hawamkubali popote hata kwenye sekta ya usemeji walimkataa, ndo CCM inampa airtime kusemea mambo mazito,
Mtu kama Manara huyo ndo kaaribu kabisa kwa maelezo yake yamejaa na ubaguzi ndani yake kwamba watu wa mikoani hawaruhusiwi kuhoji bandari, are we serious?

CCM au Serikali ina watu wengi wa kuweza kueleza jambo likaeleweka Wapo kama Mzee Adam Simbeye wa this week in perspective na wazee wa namna hiyo wengi wasomi wanaoelewa masuala haya ya mikataba,

linapokuja suala la mambo ya Msingi ya Nchi Tafadhari akina Mwijaku sijui baba levo wakae kwenye miziki na media huko mambo ya msingi wataalamu wawaeleze wananchi kinaga ubaga, kuliko kuwatumia watu watakao watibua watu au kuwa mislead na serikali ikaeleweka visivyo kumbe si lengo la serikali waseme hivo,

USHAURI WANGU
1. Kama Tumekaa na TICTS miaka zaidi ya 20, aongezewe mwaka mmoja huku serikali na wadau waanze kuufanya mchakato upya kwa kutangaza magazet ya serikali na kwenye telvisheni ya Taifa kiwepo kipindi maalumu cha kuuelezea mkataba kwa kiswahili tu na kidadavuliwe na wataalamu, ifanyike hivyo kila week mara tatu kwa muda maalumu ndani ya week 52,

2. Mwekezaji naye aelezwe kwamba kuna ABCD tunataka wananchi waelezwe ili kuzuia baadae asije kuja raisi wa kariba ya wale wasifuata sheria kama fulan akaufutilia mbali ,

MWISHO TANZANIA NI ZAIDI YA CHADEMA,CCM,ZANZIBAR,TANGANYIKA,ACT,UISLAMU,UKRISTO AU UPAGANI,

Britanicca
Umeongea vzr sana na kwa kweli inaleta sana kichefuchefu kumsikiliza mtu kama steve nyerere,Haji manara ila mm naamini kilaza hatumwi anajituma mwenyewe wale vijana wanawinda teuzi tu,na wamejisahau wanadhani watateuliwa jambo ambalo halipo.na CCM yenyewe ndio inaongoza kwa wizi pale bandarini.
 
Mama SAMIA anaweza akawa na nia njema na Bandari sasa namna ya kupitisha nia njema hiyo ndio msaada unahitajika sana,Kumbuka wanaojiita wanaCCM ndio Hawataki kabisa kusikia wanalipishwa kodi bandarini na ndio wengi wanaopitisha mizigo yao pale bandarini na kuiba vitu vya watu na makonntena sasa kuna biashara kweli hapo.
 
CCM INATUMIA WATU WA HOVYO KUFIKISHA UJUMBE
Chama changu pendwa cha CCM mmetumia watu wa hovyo sana kufikisha ujumbe au kuelimisha jamii nina mifano

--Hili suala la uwekezaji au ubinafsishaji kwenye bandari wapinzani wametupiga bao kwenye kutumia watu wajanja na wajuzi wa mambo kudadavua undani, na ndo maana kila mwananchi wa kawaida anadhani au anajua bandari imeuzwa tayari kwakuwa wamejadili masuala ya msingi, na hata wasio wapinzani wamejadili mambo ya msingi haswa
,😅😅😅Za uso
 
Maada nzuri ila ulituambia kuwa " Kama Urusi itaivamia Ukraine basi una left jf" . Hujatekeleza.

Sasa nikukosoe kidogo kwa nia ya kujenga kujenga

1. Wanaopinga kuuzwa bandari sio wapinzani bali ni watanganyika wote kwa ujumla bila kujali itikadi wala dini zao. Rejea shekhe Ponda

2. Wanaounga mkono ni wazanzibar kwa kuwa mama ni wa kwao waziri na katibu wa wizara pia.

3. Watanganyika wanaounga mkono ni wanne tu waliohongwa ili tumbo zao zishibe. Nao form two dropouts Kitenge, Zembwela, Baba Levo na Manara.

Usitugawe watanganyika kwenye hili tumeungana hatutaki kuuzwa.

Tunahitaji uwekezaji wenye tija.

Mkataba ufutwe tutoe masharti sisi siyo wao.
😆😆😆
 
Habari za siku nyingi, nimekuwa kimya kidogo tokea sakata laBandari limeanza,

Uwekezaji ni mzuri sana na hasa unapofuata misingi sahihi, hasa kwa bandari zetu hizi zinataka mapinduzi makubwa sana kuto au kuondoa ukiritimba uliopo,

hivo siwezi kupingana na aliyeleta hoja ya kuwakaribisha wawekezaji, japo naweza pingana naye kwa namna sakata linavyopelekwa au lilivyobebwa,

A. KWANINI NAUNGA MKONO HOJA
Bandari yetu imekuwa ni ya hovyo sana kwa miaka mingi mno, kupotea kwa mali za wateja, kuchelewa kwa huduma, kutozwa tozo zisizo sahihi, kuharibu mali wakati wa utoaji,
kwenye suala la mwekezaji bandarini isiishie kwenye kuleta mikono ya kupakua mizigo au kuweka tehama tu, bali hata usimamizi wa mapato na mchakato mzima wa kumtoza mteja uwe wazi na makusanyo yaelekee sehemu husika,

B.MAPUNGUFU KATIKA MCHAKATO MZIMA
Natambua fika kwamba wenye bandari sisi ndo ilibidi tuande draft ya jinsi gani tunataka bandari iendeshwe alafu tumpe anayekuja kuwekeza, najua hilo litakuwa limefanyika ila kama yamefanyika basi zitakuwa zimepitiwa hatua hizi

Mwenye bandari sisi ndo ilibidi kuandaa proposal na tena kuna hatua.
1. Unaandaa hadidu za rejea yaani terms of reference (TOR).

2. Unaandaa tangazo ili wazabuni waombe kufuatana na vigezo vyako vya kwenye Hadidu za rejea yaani terms of reference (TOR)

3. Unatangaza tenda ili watoa huduma waombe kufuatana na vigezo vya kwenye Hadidu za rejea.

4. mnafungua tenda mbele ya wazabuni.

5. Mnachuja wazabuni kufuatana na vigezo.

6. Mkimpata anayewafaa mnamfahamisha kupitia offer letter.

7. Anajibu offer letter

8. Wewe mwenye zabuni ambaye ndiye unahitaji huduma unaandaa MKATABA. Unawapa draft Upande wa pili nao wanaupitia wakikubaliana mnasaini.

Nadhani huu utaratibu au unaofanana na huu ulifuatwa. Tunasubiri CAG akija kwenye ukaguzi asije kusema trillion kadhaa zilipotea kwa sababu ya kutofuata taratibu za MKATABA.

C.UDINI NA UKANDA
Ukiwasikiliza vijana wengi mtandaoni kwa sasa hawajibu hoja bali hisia zimejengeka tayari ndani yetu au yao kwamba wenda Wazanzibar wanauza Tanganyika, wakati huo huo Wazanzibar wanatetea hata kila lisilotetewa kisa watekelezaji wanatoka upande wao, hapa ningeshauri kwanza vijana wazichambue hoja zote za msingi, tuweke ukanda na udini pembeni ili sasa tuongee points, juzi kuna sheik mmoja nimemuona anamparua Prof Issa Shivji, kama mtoto mdogo bila kujua mzee shivji ni Miongoni mwa wanazuoni 7 waliopewa direct approach ikulu na kutoa maoni na katika maoni ambayo uwa yanazingatiwa sana ni ya Issa, anatokea mtu anajiita Sheik bila kujibu hoja anambagua kwa rangi yake, hilo suala halikuwa sahihi kabisa, Masheik na Ma Askofu Umakini katika kuyaongelea masuala ya msingi kama haya, hasa nisifiche MMEPWAYA

D. CCM INATUMIA WATU WA HOVYO KUFIKISHA UJUMBE
Chama changu pendwa cha CCM mmetumia watu wa hovyo sana kufikisha ujumbe au kuelimisha jamii nina mifano

--Hili suala la uwekezaji au ubinafsishaji kwenye bandari wapinzani wametupiga bao kwenye kutumia watu wajanja na wajuzi wa mambo kudadavua undani, na ndo maana kila mwananchi wa kawaida anadhani au anajua bandari imeuzwa tayari kwakuwa wamejadili masuala ya msingi, na hata wasio wapinzani wamejadili mambo ya msingi haswa
Mfano Mama Anna Tibaijuka alieleza kwa kina juu ya usalama wa anga (air space) kwamba mkataba kwa kipengele alichosoma kuna sehemu inasema kwamba bandarini pale sehemu kadhaa ft kadhaa kwenda juu hatutakuwa na mamlaka nayo, hili suala halijajibiwa zaidi ya kusema na kushambuliwa kwamba ESCROW ni ya Tibaijuka, mara anamtetea Karamagi wa TCTS, Je hoja yake imejibiwa?

lissu yeye kazungumzia suala la watakapokuwa na bandari kavu hatutaruhusuwa kujenga feeder roads, kashambuliwa kwa matusi je hii hoja imejibiwa?

mkataba hauna ukomo ni hoja ya kila mtu, mbona nayo haijibiwi?
Mgawanyo wa jinsi gani tutapata share haikuwekwa wazi, basi inabidi CCM watumie wataalamu kueleza kwamba uwenda itasemwa hapo baadae au kuna sababu kadha wa kadha kutosemwa,

Chakushangaza Watetezi wa CCM ni Steve Nyerere ambaye hata wasanii wenzake hawamkubali popote hata kwenye sekta ya usemeji walimkataa, ndo CCM inampa airtime kusemea mambo mazito,
Mtu kama Manara huyo ndo kaaribu kabisa kwa maelezo yake yamejaa na ubaguzi ndani yake kwamba watu wa mikoani hawaruhusiwi kuhoji bandari, are we serious?

CCM au Serikali ina watu wengi wa kuweza kueleza jambo likaeleweka Wapo kama Mzee Adam Simbeye wa this week in perspective na wazee wa namna hiyo wengi wasomi wanaoelewa masuala haya ya mikataba,

linapokuja suala la mambo ya Msingi ya Nchi Tafadhari akina Mwijaku sijui baba levo wakae kwenye miziki na media huko mambo ya msingi wataalamu wawaeleze wananchi kinaga ubaga, kuliko kuwatumia watu watakao watibua watu au kuwa mislead na serikali ikaeleweka visivyo kumbe si lengo la serikali waseme hivo,

USHAURI WANGU
1. Kama Tumekaa na TICTS miaka zaidi ya 20, aongezewe mwaka mmoja huku serikali na wadau waanze kuufanya mchakato upya kwa kutangaza magazet ya serikali na kwenye telvisheni ya Taifa kiwepo kipindi maalumu cha kuuelezea mkataba kwa kiswahili tu na kidadavuliwe na wataalamu, ifanyike hivyo kila week mara tatu kwa muda maalumu ndani ya week 52,

2. Mwekezaji naye aelezwe kwamba kuna ABCD tunataka wananchi waelezwe ili kuzuia baadae asije kuja raisi wa kariba ya wale wasifuata sheria kama fulan akaufutilia mbali ,

MWISHO TANZANIA NI ZAIDI YA CHADEMA,CCM,ZANZIBAR,TANGANYIKA,ACT,UISLAMU,UKRISTO AU UPAGANI,

Britanicca
britanicca 🙏🙏🙏
 
Uwekezaji wa Dp world ni mzuri chamsingi maslahi ya watz yawe wazi,kusiwe na sintofaham!

TANZANIA kwanza,Mungu ibariki TANZANIA!!
Mkataba huu ni wa kihuni na hautufai . Ni kutokana na uhuni walioufanya kutaka kufanya uporaji hao DPW hatuwataki tena. Na kama wapo watz wanaowataka basi wawafuate huko huko kwao lakini kuwekeza hapa tz ni No
 
Hivi nani anawapa hawa watu kama wakina steve nyerere sijui manara
Kujibu mambo mazito

Ova
Uwezo wa viongozi wa nchi hii kutafakari Mambo uko chini Sana. Wao wanaona Wananchi wanapaswa kupelekewa watu wanaofanana nao. Watu hao ndo kina Mwijaku, Stive Nyerere, Kitenge, Manara and the likes. Wanawaona Watanzania wote ni low grade minded kama hao Chawa wao.
 
Back
Top Bottom