Baada ya kuachana naye amekuwa msumbufu

Mkuu Mimi hata sielewi unachotaka ni nini.

Nmekwambia Hilo si jina la Mungu Ila ni sifa za Mungu wewe bado unalazmisha ni jina lake.

Nimetoa mpaka na mfano kuna watu wengi Sana wanaitwa ELISHA tena mpaka kuna nabii anaitwa ELISHA hili jina Elisha ndo EL SHAADAI sijui kama unalijua Hilo na Elisha alikuwa ni myahudi ukiita Elisha ni Kwa Kiswahili Ila Kwa kiebrania ndo el Shadai.

Tayari umesema wewe ni muislam sasa tamaduni za ukristo na uislam wapi na wapi Mzee.

Unaonaje ukaendelea na maisha yako Tu na dini yako Nani nikaendelea na dini yangu hasa ukizngatia nyie huwa mnaamini dini zooote hawana Mungu na ni makafiri Ila nyie Tu ndo mna MUNGU kwahiyo tusiingiliane maana hata huko kwenu mna majina kama hayo yaliyobeba sifa za Allah so jikite huko Mzee.
 
Badilisha Hilo Jina unalotumia mkuu. El Elyon is an ineffable name. It means Lord God the Most High. Are you the most high? Laana nyingine huwa mnajitakia wenyewe
Achana na mawazo ya kijinga kuabudu majina. Kuna jesus wengi tu huko ulaya wengine wanacheza mpira, je hao nao wamekua yesu anaeabudiwa?

Nikijiita Mungu hapo nakua mungu ama nikimuita huyo mungu mbwa kweli anakua mbwa?

Ndio maana waafrika mmekua wapumbavu kiasi kwamba mnaambiwa majina yenu ya asili kama Mayala, maduhu, Ngonyani, mwita ama kimaro ni ya kishetani ila John, Paul, Christopher, Jackline, Evelyn, Angela, Deborah, nk ndio majina sahihi, ya kimungu, majina yaliyobarikiwa na mnakubali.

Sasa mimi naitwa Mungu El Shadai, unasemaje?
 
Kweli wanaume mna moyo, yani unatelekeza mtoto[emoji24][emoji24]
Huj unachokisema narudia tena hujui unachokisema unafikiri Mimi napenda unataka nifanyaje Kwa mfano unataka nikatumie nguvu au niwe na mawasiliano Na Yule mwanamke ili at last aanze kunisumbua ikibidi anipige matukio maana hanitakii mema kabisa Mimi ndiye najua na mengne sjasimulia Tu.

Nilikuwa nimeisha kabisa toka nmeanza uhusiano Naye nikiwa chuo nilibadilika nilikonda Nikawa mtu WA hovyo nikajitenga na rafiki zangu wote.

Sasa we sema wanaume Wana moyo kutelekezwa mtoto watu wakitubuliwa hutelekeza familia kabisa ya watoto hata SITA mtu analala mbele maana nyie si huwa mnajidai mtoto ndo siraha au fimbo ya kumbana mwanaume asichomoe betri kama alivyofanya mwenzio. At last mtoto ni wangu na atakuja Tu.
 
Jamaa Anasahau wao wanajina issah wakimaanisha ndiye Yesu wakati wakristo WA kiafrika hatuwezi ITA mtoto Kwa Jina la Yesu.
Ila tunaita Emanuel hii ni sifa ya Yesu yaani Mungu pamoja nasi.
 
Huna wazazi wote wawili?yani Baba na mama
Ninao vp unataka wafanye nini kwamba waingilie Kati au?
Mkuu sina haja ya kusumbua wazazi kama mwanamke nilitafuta mwenyewe wakati WA kutafuta sikuwashirikisha maji yamezdi unga napaswa kutafuta namna mwenyewe ninywe uji Tu au nimwage Tu au nikatafute unga mwngne niongezee.
Ifikie mahali tusiwabebeshe Sana mizigo wazazi Kwa Mambo tuliyoyatengeneza wenyewe pambana uyamalize over.
 
Sasa kama huna kabisa mawasiliano dogo unamsaidia vipi? Au umepiga chini woote au zile "COINS NYINGI" bado anazo?
Naona umeuliza swali zuri Ila mwishoni umeambatanisha kejeri kwamba zile coins bado anazo.

Nenda umtafute umuulze kama bado anazo nilitegemea kukuutana na kejeri kama hizi
 
Mlokole asiyesamehe.
Mlokole aliyezini.
Mlokole aliyekimbia mtoto.
 
[emoji135]
 
[emoji135]
 
Sisemi Sana ila wanawake wa kigoma hasa hao WAHA n shida Sana hao hawana uoga wanaweza kumtukana hata mama yako mzazi kosa lako wewe lakn mzaz atatukanwa usafi kwao n kitendawili na ukizubaa anaweza kukuzalia watoto lukuki bila mpangilio


Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kuokoa kitu kingine na kuiishi uokovu ni kitu kingine,unajiita mlokole wakati una dhambi ya kutotimizia wajibu wako kwa mtoto wako uliomzaa kisa ugomvi na mzazi mwenzio,tena kwa maksudi.

Unayajua maandiko ila huyaishi hayo maandiko ya Mungu,manake pamoja na kuyajua haya kujengi kiroho sababu huyaishi.
 
Mkuu utaona kama baadhi ya watu wanakukejeli hapana haya mambo yapo kila mahala wengi wamepitia nawanapitia pengine zaidi yahili lako ingetosha kusema kwauwezo wako wakupambana nachangamoto kama hii hukuwa nachaguo zaid ili ujifunze zaidi kwakuwa maisha bado yanaedelea lakini pia unajaribu kuwaaminisha watu kwamba hakuna njia nyingine zaid ya uliyochukua labda ungesema maamzi yako nihayo umeenda mbali kusema ww nimlokole sijui lengo lako la kuingiza hii imani yako hapa.
 
Vyovyote iwavyo huo haukua uamuzi mzuri kwa mtoto na trust me umeshaharibu maisha ya mtoto kwa asilimia kadhaa.....matokeo sio sasa ni mbele
 
SIWEZI KUBADILISHA LINE KISA MWANAMKE... KUTELEKEZA WATOTO WAKO KISA UPUUZI WA MAMA YAO NI UJINGA!

Kama umeoa mke mzuri zaidi yake hukutakiwa kuendelea kuteseka hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…