Baada ya kuachana naye amekuwa msumbufu

Baada ya kuachana naye amekuwa msumbufu

Hapana kuna watu wanakupa mateso kupita kiasi hadi siku ukiondoka unasamehe kila kitu ili usiwasikie tena maishani. Kama hayajakukuta huezi kuelewa kabisa!

Nilishawahi deal na waha. Achana na hilo kabila ukitoa mguu hutamani lolote hata kusikia kabila linakuchefua. Ni watu wenye roho katili mnooooo!!!! So

Don’t judge a book. Mpaka kaamua kusamehe mtoto aliyemtunza mwanzo, jua haikuwa kazi rahisi
 
Mkuu pole Sana Kwa kutokujua Mambo aisee Kwa taarifa yako mi ni mlokole hasa na maandiko nayajua vema.

El Elyon NI sifa ya Mungu kwamba ni aliye juu Zaidi hii ni sifa si jina lake.

El Gibor ni sifa ya Mungu kwamba mwenye nguvu si jina la Mungu.

El Shadai ni sifa ya Mungu kwamba asiyepungukiwa au mtoshelevu si jina la Mungu. Ndo like jina maarufu la Elisha watu wanaitwa ndo hiyo el Shadai.

El Ohinu ni sifa ya Mungu kwamba Hana WA kufanana naye ni WA pekee si jina la Mungu.

Rafa ni sifa ya Mungu ikiwa na MAANA mponyaji si jina la Mungu.
KAMA NINGEJIITA JEHOVAH AU YAHWEH hapo kweli ingekuwa shida Ila nmejiita sifa za Mungu kwamba NIPO juu Zaidi kuliko wachawi, waganga, magonjwa, shetani
Siogopi chochote maana NIPO juu Zaidi ya hila na wenye hila.

Nina mtoto Wangu nimemuita EL GIBOR kwamba ana nguvu ya kushindana na chochote.

Kama hujaolewa basi amini unavyoamini mkuu.
Mlokole uliyemtelekeza mtoto wako mwenyewe.. Ulokole wako umekusaidia nini kama damu yako tu yenyewe umeitelekeza?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana kuna watu wanakupa mateso kupita kiasi hadi siku ukiondoka unasamehe kila kitu ili usiwasikie tena maishani. Kama hayajakukuta huezi kuelewa kabisa!

Nilishawahi deal na waha. Achana na hilo kabila ukitoa mguu hutamani lolote hata kusikia kabila linakuchefua. Ni watu wenye roho katili mnooooo!!!! So

Don’t judge a book. Mpaka kaamua kusamehe mtoto aliyemtunza mwanzo, jua haikuwa kazi rahisi
Sasa mtoto anaingiaje kwenye Ukorofi wa baba na mama???
 
Mlokole asiyesamehe.
Mlokole aliyezini.
Mlokole aliyekimbia mtoto.
Ni kweli kabisa 👉 Yesu hakuja kwaajili ya watakatifu Bali alikuja kwaajili ya waliopotea.

SaSa Ndugu Mtakatifu we endelea na maisha yako ya utakatifu Achana na Mimi niliyepotea.
 
Ni kweli kabisa [emoji117] Yesu hakuja kwaajili ya watakatifu Bali alikuja kwaajili ya waliopotea.

SaSa Ndugu Mtakatifu we endelea na maisha yako ya utakatifu Achana na Mimi niliyepotea.
Unapojiita mlokole means una qualifications za ulokole, sema unampenda Yesu lakini wokovu kwako bado mchakato mrefu
 
Japo sifahamu story imeanzaj lakini nakushauri anza kwenda kumsalimia mtoto hilo tu, achana na mambo mengine kamsalimie mtoto.
Sitakanyaga mji ule tena japo kuna jasho langu.
Mtoto tampata Tu ni swala la muda Tu tamchukua kisheria kabisa si kwenda Tu itaniletea shida.

Umekiri hujui mwanzo WA story wanaojua mwanzo wananielewa.
 
SIWEZI KUBADILISHA LINE KISA MWANAMKE... KUTELEKEZA WATOTO WAKO KISA UPUUZI WA MAMA YAO NI UJINGA!

Kama umeoa mke mzuri zaidi yake hukutakiwa kuendelea kuteseka hivi.
Acha niwe mjinga Kwa Hilo. Sjamtelekeza watoto Bali mtoto .
 
Ni kweli kabisa [emoji117] Yesu hakuja kwaajili ya watakatifu Bali alikuja kwaajili ya waliopotea.

SaSa Ndugu Mtakatifu we endelea na maisha yako ya utakatifu Achana na Mimi niliyepotea.
Wewe mwenyewe nimefuatilia majibu yako, yanaonyesha ni mbishi zaidi ya Muha wako, seems unamatatizo makubwa na hujijui..

"Yesu akauliza wanafunzi wake...je watu huninenaje?"
 
Mkuu utaona kama baadhi ya watu wanakukejeli hapana haya mambo yapo kila mahala wengi wamepitia nawanapitia pengine zaidi yahili lako ingetosha kusema kwauwezo wako wakupambana nachangamoto kama hii hukuwa nachaguo zaid ili ujifunze zaidi kwakuwa maisha bado yanaedelea lakini pia unajaribu kuwaaminisha watu kwamba hakuna njia nyingine zaid ya uliyochukua labda ungesema maamzi yako nihayo umeenda mbali kusema ww nimlokole sijui lengo lako la kuingiza hii imani yako hapa.
Lengo la kuingiza Imani we hujaona kuna Mtu hapo kasema Jambo kuhusu jina El Elyon ikabidi nitoe ufafanuzi WA Jina Hilo kwahiyo fatilia huko usiwe mwepesi WA kukurupuka kusema ulokole hakuna uhusiano na kisa hili Bali nmemjibu Mtu aliyezungumzia jina ninalotumia.

VP na ye umemuulza kuhusu kusema ye ni Muslim?
 
Wewe mwenyewe nimefuatilia majibu yako, yanaonyesha ni mbishi zaidi ya Muha wako, seems unamatatizo makubwa na hujijui..

"Yesu akauliza wanafunzi wake...je watu huninenaje?"
Ulitaka Kila ninachoshauriwa na wadau humu niseme tawire ndo uone mi si mbishi?
Ukipewa ushauri at last changanya na za kwako Mimi NDIYE ninajua kuhusu Yule mwanamke ninaijua tabia take kama hujui nakwambia sasa aliapa kunifunga na alishafanya majaribio matatu la mwisho akanilaza ndani bahati nzuri akawa kaandika kesi ya uwongo akaogopa iende mahakamani akaifuta.
Alishanifanyia visa vingi Sana lengo likiwa nimfanyie tukio anifunge tayari alikuwa na namba za maaskari lengo likiwa nifanye tukio awaambie waje wanikamate.
Sina Imani naye kwenda kwenye mji ule. SMS alizokuwa ananitumia nilikuwa nikiwaonyesha watu Kila Mtu alikuwa haamini.

Kwahiyo usinilazmishe kile unachoamini ww nikikataa nakuwa mbishi.
 
Unapojiita mlokole means una qualifications za ulokole, sema unampenda Yesu lakini wokovu kwako bado mchakato mrefu
Haya Mtakatifu Glenn nimekuelewa hongera Kwa kujipa majukumu ya Mungu maana mpaka unajua michakato ya ulokole na kutolea hukumu kwamba huyu hafai na huyu anafaa uko vizuri Mtakatifu Glenn.
 
Haya Mtakatifu Glenn nimekuelewa hongera Kwa kujipa majukumu ya Mungu maana mpaka unajua michakato ya ulokole na kutolea hukumu kwamba huyu hafai na huyu anafaa uko vizuri Mtakatifu Glenn.
Kufahamu jambo si lazima uwe hivyo, kila mtu anajua utakatifu japo hatuishi huo utakatifu.
Ila wewe unaujuaji wa kindezi sana
 
Sasa mtoto anaingiaje kwenye Ukorofi wa baba na mama???
SiKU yakikufika utajua hujui. Watu humu mnakurupuka Tu wengne hata hamjui chanzo cha huu msala mnadhan mi simpendi mtoto Wangu au wanaoamua kusepa na kuacha watoto na Kila kitu huwa wanapenda eti. Haya omba yasikukute ndo maana tuliambiwa tuishi nao Kwa akili.
 
Tutajuaje usipoeleza?
Pili hapa maelezo ni ya upande mmoja lakini huyo Muha hana nafasi ya kueleza yake kuwa kwanini amekubadilikia.
Hivyo hatuko kwenye nafasi ya kushauri au kulaumu au kuhukumu sawasawa bila kujua undani wa tatizo.
 
Kufahamu jambo si lazima uwe hivyo, kila mtu anajua utakatifu japo hatuishi huo utakatifu.
Ila wewe unaujuaji wa kindezi sana
Sawa Mtakatifu Glenn. BT Mimi si ndezi hao ndezi wapi huko kwenu ukizngatia hata sjui ndezi wako VP bt Mimi si ndezi na atakuwa ndezi ever.
Uzuri watu WA namna yako wote niliwakaribisha hapa.
 
Back
Top Bottom