EL ELYON
JF-Expert Member
- Jan 2, 2013
- 1,565
- 1,918
Wakuu mmebarikiwà Sana na Mungu WA Mbinguni hakuna laana.
Leo naendelea na kisa cha aliyekuwa mwanamke wangu muha WA kigoma.
Sasa RASMI niliamua kuondoka zangu nakumbuka niliamka alfajiri Sana kujiandaa maana nilikuwa nalala sebuleni tena chini nimetandika godoro yea alikuwa analala chumbani na mtoto.
Wakati namalizia kujiandaa Naye muha aliamka kujiandaa na kumuandaa mtoto aende shule basi nikiwa napanga begi langu vema huku mtoto wangu amekati pembeni ananitazama Kwa upole Sana niLimuagA Nikampa sarafu nyingi sana za Mia mbili Mia mbili nikamwambia nenda uweke utakuwa unachukua kidogo kidogo uzuri mtoto wangu anajielewa, basi nilimuaga nikabeba begi langu nikatoka muha alikuwa nje nikampita kama umeme maana tulikuwa hatusalimiani kabisa.
Sasa nilipoondoka zilipita Kama wiki mbili muha akaanza kupiga Simu Nikawa sipokei zoezi Hilo alipoona limekuwa gumu akawa anatuma SMS nzito naamka asubuhi nakuta SMS hata 20 zmejaa matusi na kashifa nzito nzto kiukweli skuwa namjibu. Zoezi Hilo lilikwisha baada ya Mimi kuamua Ku renew line Yangu ya zamani Sana akawa amekosa mawasiliano Yangu.
Sasa akahamia Kwa ndugu zangu ambao alikuwa na namba zao akawa anawapigia ananituhumu kwa tuhuma za uwongo kama zote mara eti sipigi Simu kusalimia mtoto na Mambo MENGINE mengi Tu ya ajabu ajabu.
Nilipopata taarifa hizo nikawapiga marufuku hao ndugu zangu kuwasiliana Naye.
Akahamia FB akiona jina la rafiki Yangu anatuma SMS messenger akidai ananitafuta kwani Mimi nmeondoka sisaidii chochote WALA Sjari kuhusu mtoto bila kusahau kashifa kama zote. Nako nikapiga pin nikadelete na akaunti Yangu ya FB nikafungua nyngn isiyo na majina Yangu kabisa ndo natumia mpk Leo na sina urafiki na watu au ndugu zangu wote lengo likiwa staki muha apate taarifa zangu Kwa namna yoyoye Ile.
Ilipita miezi kadhaa nashangaa SKU moja jioni nipo zangu nmejipumzsha naona SMS WhatsApp ikisema 👉 naona umeoa mrembo eti. Mmmmh kucheck namba naona ni ya muha na picha yake. Kuhusu kujua urembo wa mke wangu aliona kwenye profile yangu maana nimeweka ya mke wangu. Mke wangu ni mrembo si mnajua wanyaturu 🤗🤗😂😂🤭.
Niliamua kuvunja Line zangu zote nikasajiri mpya nikahakikisha ndugu zangu hawana zaidi ya watu WA ofisini na baadhi ya rafiki zangu ambao nawaamini Sana Ila Kwa masharti wasimpe mtu yeyote namba yangu mpaka waniulze.
Nikampa na ndugu yangu mmoja namuamini Sana nikamwambia watu wakiniulzia waambie hujui Niko wapi WALA huna mawasiliano yangu.
Mpaka Leo tunavyozungumza hapa imepita miaka muha hajawahi kukata tamaa ya kunisaka.
Misimamo wangu stakanyaga tena alipo na staki kuonana Naye Kwa namna yoyote Ile staki Dar huwa naenda kikazi lakini sjawahi shawishika hata KWENDA kumsalimia mtoto wangu japo inaniuma lakini tafanyaje SASA wakuu.
Karibuni wakuu Kwa maoni, kejeri, matusi, ujuaji, dharau, ushauri, pole NK.