Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,553
- 3,081
Hongera sana Eberhard,
.
kwakweli inafurahisha sana kuona kumbe WATZ tunaweza tengeneza pesa nyingi tu bila kula rushwa. all the best
hehehe
Una ujumbe gani kwa mafisadi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera sana Eberhard,
.
kwakweli inafurahisha sana kuona kumbe WATZ tunaweza tengeneza pesa nyingi tu bila kula rushwa. all the best
hehehe
Una ujumbe gani kwa mafisadi?
Uko sahihi kabisa mrembo.Ujumbe,
Opportunities za kutengeneza pesa kwa uhalali ni nyingi sana, waache kutoa hizo opportunities kwa watu ambao ni wakwepa kodi kwa tamaa ya 10%. they should think bigger than that...
Ujumbe,

Mkuu asante sana kwa kutuhabarisha habari njema, ila mkuu nilikuwa na shida kuhusu shamba huko, na heka huanzia tsh ngapi?
Karibu uje tufuge. Shamba linaanzia sh. Laki mbili Kwa heka.
Mvomero.Maeneo yapo bado na yanatambulika mvomero au morogoro
Hongera sana Eberhard,
mi pia ni mdau, nilianza mwaka juzi kwa kununua mashamba, so far nimeshapanda mitiki huko mkoa wa pwani na pines huko iringa, miti yote inaendelea vizuri, nategemea 5 years from now nitaanza kuvuna. Pia nina mpango wa kuweka mifugo kama kuku na mbuzi na kulima mbogamboga by next year. Biashara ya upandaji miti ni nzuri sana hasa kwa wale waajiriwa kwani ahiitaji usimamizi wa karibu sana.
kwakweli inafurahisha sana kuona kumbe WATZ tunaweza tengeneza pesa nyingi tu bila kula rushwa. all the best
Hongera kaka.
Huko lilipo shamba lako ni wapi? Tafadhali elekeza yeye.
Kupitia uzi wangu huu nitakuwa nawataarifu maendeleo ya mifugo yangu Kama sehemu ya kuwatia moyo wajasiriamali wenzangu. Morogoro ni sehemu ambayo wajasiriamali mnaweza kutimiza ndoto zenu Kwa kuwa Ardhi inapatikana Kwa bei nafuu na ni Karibu na Dar kwenye soko kubwa la bidhaa mbalimbali.
sijajua vizuri, ndio nimepanda this year but imechipua vizuri, pia najitahidi kuweka mbolea.Mitiki ya mkoa wa pwani vipi?
Maana nilisikia huwa haifanyi vizuri sana huku pwani.
Wewe ni mtu wa pili kunishauri. Nakuhaidi nitazingatia ushauri wako.Eberhard umefanya jambo la kishujaa sana. Mimi binafsi nakupa hongera zangu na kukutia moyo kuwa plan yako ni njema sana kukupeleka kwenye bigger plan. Nakushauri uanze kufuga mmbwa kwenye hilo eneo kama ulinzi kwa kuwa wezi siku hizi wanarudisha sana maendeleo ya watu. Jitahidi utafanikiwa. Sky is the limit.
Baada ya kumaliza degree yangu ya pili na kuona kuwa ajira kama ajira haiwezi kuwa mkombozi wangu kiuchumi niliamua nifatilie mawazo mbalimbali ya ujasiriamali. Nikafikiria ujasiriamali wa kiubunifu wa hali ya juu ndiyo utakuwa mkomnozi wangu kiuchumi. Nimeanza Kwa kununua shamba lenye ukubwa wa hekari 11 nje kidogo ya mji wa Morogoro ( Kwamakunganya-majichumvu). Imenigharimu 1.3 m kununua eneo hili lote.. Nililipia taratibu hata sasa bado nadaiwa sh 60 elfu nayotegemea kuimalizia after 2 weeks. Sehemu kubwa ya shamba langu nimepanda mitiki.
Baada ya kufatilia humu nikagundua kuwa mradi wa nguruwe na kuku wanalipa sana. Kwa kuwa imani yangu inaniruhusu nikaona ni laziima niifanya hii ya kitimoto pia. Hivyo nikaanza maandalizi ya kufuga nguruwe na kuku pia. Hivyo nilianza Kwa kuanzia kuchimba na kujengea tangi la maji chini. Ilimigharimu Kama miezi miwili tangu langu la maji kukamilika. Tangi langu la maji Lina uweze wa kujaza maji lita 30 elfu. .
Baada ya hapo nikaanza maandalizi ya ujenzi wa banda la nguruwe na la kuku. Baada ya mabanda yangu kukamiliaka nilisafiri hadi singida kufata kuku. Bei ya kuku singida inalidhisha sana. Ili upate kuku wa bei rahisi inakupasa uende kijijini ambako kuu huuzwa cheap. Hivyo nilisafiri hadi kijijini ambako nililinunua kuku 31 ambao ndiyo nimeanza nao.. Kwa upande wa nguruwe nimeanza na 12 ambao niliwanunua wakiwa na miezi mitano. Pia nimeweka kanga na mbuzi Kwa ushauri wa marafiki.
Ninashukuru Mungu ninaanza kuwaona kuku wameanza kutaga Kwa fujo. Pia ninamshukuru Mungu Kwa kuwa ninaona ninaanza kuwa muajili pole pole. Pia ninamshukuru Mungu ninaona mawazo ya kunyanyasika( kuajiliwa) yanaanza kupotea taratibu.
Kupitia uzi wangu huu nitakuwa nawataarifu maendeleo ya mifugo yangu Kama sehemu ya kuwatia moyo wajasiriamali wenzangu. Morogoro ni sehemu ambayo wajasiriamali mnaweza kutimiza ndoto zenu Kwa kuwa Ardhi inapatikana Kwa bei nafuu na ni Karibu na Dar kwenye soko kubwa la bidhaa mbalimbali.
Nimepata maswali juu ya namna kilivyo kisima changu Cha maji. Ebu oneni kisima changu Cha maji.Baada ya kumaliza degree yangu ya pili na kuona kuwa ajira kama ajira haiwezi kuwa mkombozi wangu kiuchumi niliamua nifatilie mawazo mbalimbali ya ujasiriamali. Nikafikiria ujasiriamali wa kiubunifu wa hali ya juu ndiyo utakuwa mkomnozi wangu kiuchumi. Nimeanza Kwa kununua shamba lenye ukubwa wa hekari 11 nje kidogo ya mji wa Morogoro ( Kwamakunganya-majichumvu). Imenigharimu 1.3 m kununua eneo hili lote.. Nililipia taratibu hata sasa bado nadaiwa sh 60 elfu nayotegemea kuimalizia after 2 weeks. Sehemu kubwa ya shamba langu nimepanda mitiki.