Bongo dar es salaam
Senior Member
- May 11, 2020
- 172
- 469
Kwa Mujibu wa katiba yetu Rais Akivunja bunge tunarudia Uchaguzi wa Rais na Mbunge sasa Samia haezi kubali hayo Bado hajajitengeneza na kujiimarisha vizuri kisiasa Ajaweka Alama yake bado so Anaeza akazaragazwa kwenye Uchaguzi wa Marudio So Hapo hakuna jinsi Tusubiri 2025 au lolote litakalotokea katikati ya HapoKama vipi Rais avunje Bunge turudi kwenye uchaguzi wa wabunge tu.
Kwa kumbu kumbu zangu Ndugai alisema bungeni akiwa ktk kiti cha spika kwamba mradi wa Bagamoyo ni wa faida sana ameupitia kwa kina Mpaka huko China.
Baada ya muda mfupi Hayati akaukandia kwa kutoa nukuu ya vipengele kadhaa vya kiunyonyaji ambavyo sisi wananchi hatujui kama ni kweli au sivyo.Hapo ndipo Ndugai ikabidi atumie kanuni ya The boss is always right
Binafsi Siamini yale yaliyosemwa na JPM juu ya mradi huo wala yanayosemwa na wanaoutaka sasa Mpaka nipate "bahati"ya kusoma mkataba huo.
Serikali iruhusu mikataba yenye mivutano kama huu upelekwe bungeni kwa mjadala hapo sisi wananchi tutajua mbivu na mbichi
Unasema Hana msimamo ,ivi wewe unaweza bishana na boss wako au kiongoz wa nchi?Turajuwaje Sisi, Kwa nini aseme Mkataba wake haufai tena? Yeye Hana msimamo? Tutajuaje, je kama aliahidiwa lupia ili aupige Kampeni bungeni??
Hapa ni Mkataba kuwekwa mezani Kwa kuchambuliwa basi
Mkuu, umefanya vizuri kwa kuweka kumbukumbu sahihi ju ya Ndugai, umekua pia huna upendeleo kwasababu karibu wote humu hatuji kilichopo ndani ya ule mkataba. Swali langu tu la kimantiki, ambalo sio lazima wewe ujibu, yeyote tu mwenye mapenzi mema kwa nchi yetu; hivi ni busara kujenga bandari nyingine mpya kabisa ili hali zipo bandari 3 zinazofanya kazi kwa bahari hiyo hiyo? Bagamoyo hadi Dar kuna umbali gani? Bila kujali uzuri au ubaya wa kilichopo kwenye huo mkataba, binafsi sioni umuhimu wowote wa bandari ya Bagamoyo; tuachanae na wana siasa kina Ndugai ambao wao wanajua bila UNAFIKI watoto wao hawawezi kwenda chooni, sisi tusio na maslahi ya kiuongozi tunasemaje kuhusu mradi huo?Kwa kumbu kumbu zangu Ndugai alisema bungeni akiwa ktk kiti cha spika kwamba mradi wa Bagamoyo ni wa faida sana ameupitia kwa kina Mpaka huko China.
Baada ya muda mfupi Hayati akaukandia kwa kutoa nukuu ya vipengele kadhaa vya kiunyonyaji ambavyo sisi wananchi hatujui kama ni kweli au sivyo.Hapo ndipo Ndugai ikabidi atumie kanuni ya The boss is always right
Binafsi Siamini yale yaliyosemwa na JPM juu ya mradi huo wala yanayosemwa na wanaoutaka sasa Mpaka nipate "bahati"ya kusoma mkataba huo.
Serikali iruhusu mikataba yenye mivutano kama huu upelekwe bungeni kwa mjadala hapo sisi wananchi tutajua mbivu na mbichi
Maneno kuntu kabisa haya!!Mkuu, umefanya vizuri kwa kuweka kumbukumbu sahihi ju ya Ndugai, umekua pia huna upendeleo kwasababu karibu wote humu hatuji kilichopo ndani ya ule mkataba. Swali langu tu la kimantiki, ambalo sio lazima wewe ujibu, yeyote tu mwenye mapenzi mema kwa nchi yetu; hivi ni busara kujenga bandari nyingine mpya kabisa ili hali zipo bandari 3 zinazofanya kazi kwa bahari hiyo hiyo? Bagamoyo hadi Dar kuna umbali gani? Bila kujali uzuri au ubaya wa kilichopo kwenye huo mkataba, binafsi sioni umuhimu wowote wa bandari ya Bagamoyo; tuachanae na wana siasa kina Ndugai ambao wao wanajua bila UNAFIKI watoto wao hawawezi kwenda chooni, sisi tusio na maslahi ya kiuongozi tunasemaje kuhusu mradi huo?
Mikataba mingapi ishawah pelekwa Bungeni ? Tuanzie hapo .Unadhani IPO shida??
Ni Mkataba kupelekwa bungeni basi
Mkuu, Kwani na wewe ni wale mlioahidiwa vipasenti Vya wachina?Mikataba mingapi ishawah pelekwa Bungeni ? Tuanzie hapo .
Watu wakitaka mkataba huu wa bagamaoyo upelekwe bungen litakuwa Jambo zuri ambapo wengine pia watahitaji mikataba yote sasa iwe waz kuanzia ununuz wa ndege ,ujenz wa uwanja wa ndege wa chato ,mikataba ya sgr .
Hapa Sasa ndipo utaona nyeti za watu wazwaz kuwa kumbe huyu hamna kitu huyu alikuwa sahihi.
Narudia tena hakuna mwanasiasa msafi hasa hawa wa tz ,nawashangaa sana wanaomwimba jiwe kuwa alikuwa shujaa ,yaan nashangaa sana sijui ni kutojua mambo yanavyoenda .
Jk ,mkapa ,na jiwe wote ni wez waliotukuka tena Bora hata jk alikuwa anaiba lakin anakumbuka na wananchi kidogo ila sio huyo jiwe ni alikuwa fisad wa kutupwa pia akawatesa wananchi wake kwa kujificha nyuma ya neno uzarendo ,kmmk
Sasa kwa jinsi hawa wamegeuka 360 unauhakika gani mikataba ambayo watatuwekea wazi ni ile ile ya ukandamizaji kama lengo ni kumlaumu JPM? Maana nguvu nyingi zinatumika sana.Mikataba yenye utata kama hii, ni mhimu Sana iwekwe mezani na kuchambuliwa Kwa uwazi
Kwa huyu jamaa alivyogeuka, hili nalo linawezekanaSasa kwa jinsi hawa wamegeuka 360 unauhakika gani mikataba ambayo watatuwekea wazi ni ile ile ya ukandamizaji kama lengo ni kumlaumu JPM? Maana nguvu nyingi zinatumika sana.
[emoji23][emoji23][emoji23]relax ndugu yangu ,mbona nimekuunga mkono kuwa ni Jambo jema mkataba ukajadiliwa Bungeni ili tujue ukwel wa haya mambo .Mkuu, Kwani na wewe ni wale mlioahidiwa vipasenti Vya wachina?
Hivi unajua Kwa sasa hatuwaamini kina ndugai?? Tunataka Mkataba uende bungeni na wewe unaongez a maneeno, ya nini
Sawa mkuu, ulitaka kuhitimishajeMleta mada lazima ujue kwanza wabunge humo bungeni wamo kwa hisani ya Jiwe.
Alituibia na kutuvuruvugia uchaguzj wetu ili kuweka bungeni watu aina ya Ndugai, wacha wamnyooshe hata kama yupo Kaburini