Baada ya kufanya kazi kubwa, Mwamba anarudi kuitumikia nchi yake

Mayele kakuuka kaweka waa aloo, if you look at the second goal, you find yourself beating your chest and saying that he will surely trouble Gsm under Eng Hersi Said, he should be beaten a lot, the scout's eye for this Mamba Kongole, for them, the Mamba carries us a lot, the second goal gather all the Simba and Nyongeza attackers no one can close it

All the best on the duties of the National Team the Leopards, yesterday's goal like the one he launched his shaking style at Manula.
MKUU KWANI UYU JAMAA AMEITWA KWENYE TIMU YA TAIFA YA KONGO???, KONGO ANA NAMBA UYU JAMAA KWANI?? MAANA NILISIKIA KONGO KUPATA NAMBA MPAKA UCHEZEE ULAYA
 
Ukisikia typical Kolo ndio hili sasa...

Umeshindwa nini kuanzisha uzi wa kagere?

Kama roho inakuuma Sana ku comment positive kwa mayele na Yanga si unapiga kimya tu mkuu
Tuna comment ili msiendelee kupotosha vilaza wenzenu. Achilia mbali MK14 , rekodi za Bocco tu bado hajazifikia. Anajitahidi ila ni ukilaza kuandika hajawahi kutokea kama yeye kwenye ligi.
 
Mayele kachukua kaweka waa aloo ukiangalia lile goli la pili unajikuta unajipiga kifua na kusema hakika atayeisumbua Gsm chini ya Eng Hersi Said apigwe mboko nyingi tu, jicho la skauti kwa huyu mwamba kongole kwao mwamba anatubeba sana lile goli la pili kusanya washambuliaji wote wa Simba na Nyongeza hakuna anayeweza kulifunga

All the best kwenye majukumu ya Timu ya Taifa the Leopards goli la jana kama lile alilozindulia style yake ya kutetema kwa Manula.
KHAAAHH!!!
 
Kila la kheri kwa Jini, Predator.... mchezaji bora Afrika na katika ligi kuu ya Tanzania Bara.Tunashukuru kwa makubwa ambayo hayajawahi kushuhudiwa ndani ya Tanzania na Afrika, sasa ni wakati wa kurejea nyumbani kuitumikia nchi yako wakati tukijipanga kufika fainali na kuchukua ubingwa CAFCC!

Daima mbele!

View attachment 2558944
Hyo tshirt nimeielewa nan anauza tshirt hzo
 
Kila la kheri kwa Jini, Predator.... mchezaji bora Afrika na katika ligi kuu ya Tanzania Bara.Tunashukuru kwa makubwa ambayo hayajawahi kushuhudiwa ndani ya Tanzania na Afrika, sasa ni wakati wa kurejea nyumbani kuitumikia nchi yako wakati tukijipanga kufika fainali na kuchukua ubingwa CAFCC!

Daima mbele!

View attachment 2558944
Ila wacongo na Louis Vuitton ni kama pete na kidole.Haya endeleeni kumtajirisha Bernard Arnault Tajiri number moja duniani.
 
Tuna comment ili msiendelee kupotosha vilaza wenzenu. Achilia mbali MK14 , rekodi za Bocco tu bado hajazifikia. Anajitahidi ila ni ukilaza kuandika hajawahi kutokea kama yeye kwenye ligi.
Mayele ni complete skriker. Anajua ball control, anajua vyenga, mzuri kwenye header, ana speed, anajua dibbling, mwili jumba.. Yaani unaweza linganisha waviziaji km boco na kagere dhidi ya mshambuliaji aliyekamilika idara zote?
Watu kama Mayele ni wachache sana duniani Kwa sasa
 
fb_img_16793033411026056-jpg.2558957

Hivi ni nani au akina nani katika hawa wanne ambaye amewahi kutangazwa either na TFF au CAF kuwa ni beki bora au kiungo bora au mshambuliaji bora wa mashindano yoyote yanayoendeshwa na vyama hivyo? 😁😁 😁
 
Utaambiwa tunaongoza kundi CAFCL😁😁
 
fb_img_16793033411026056-jpg.2558957

Hivi ni nani au akina nani katika hawa wanne ambaye amewahi kutangazwa either na TFF au CAF kuwa ni beki bora au kiungo bora au mshambuliaji bora wa mashindano yoyote yanayoendeshwa na vyama hivyo? 😁😁 😁
Wakikujibu ni tag.
 
Mayele ni complete skriker. Anajua ball control, anajua vyenga, mzuri kwenye header, ana speed, anajua dibbling, mwili jumba.. Yaani unaweza linganisha waviziaji km boco na kagere dhidi ya mshambuliaji aliyekamilika idara zote?
Watu kama Mayele ni wachache sana duniani Kwa sasa
Takwimu ndio zinaongea sio bla bla. Kakamilika kwa maoni yako wewe ila wengine tunamuona ana madhaifu yake pia.
 
fb_img_16793033411026056-jpg.2558957

Hivi ni nani au akina nani katika hawa wanne ambaye amewahi kutangazwa either na TFF au CAF kuwa ni beki bora au kiungo bora au mshambuliaji bora wa mashindano yoyote yanayoendeshwa na vyama hivyo? 😁😁 😁
Wiki ijayo kwenye kikosi cha CAF cha wiki, CAF waitaje tu Simba yote kuepuka usumbufu 🤣😂🤣
 
Back
Top Bottom