Baada ya kufanya kazi kubwa, Mwamba anarudi kuitumikia nchi yake

Baada ya kufanya kazi kubwa, Mwamba anarudi kuitumikia nchi yake

Punguza ujuha basi Chama ni midfielder ulitaka ashindane na toward mayele kwenye ufungaji au maneno maneno tu
Umeambiwa Kagere, mbna una kurupukaa hivyooo??
Hujui kusomaa weee?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mayele kachukua kaweka waa aloo ukiangalia lile goli la pili unajikuta unajipiga kifua na kusema hakika atayeisumbua Gsm chini ya Eng Hersi Said apigwe mboko nyingi tu, jicho la skauti kwa huyu mwamba kongole kwao mwamba anatubeba sana lile goli la pili kusanya washambuliaji wote wa Simba na Nyongeza hakuna anayeweza kulifunga

All the best kwenye majukumu ya Timu ya Taifa the Leopards goli la jana kama lile alilozindulia style yake ya kutetema kwa Manula.
Goal bora la michuano mnayo shiriki bado lipo kwetuu, muambie mayele wako na yeye afanye ili achukue km anawezaaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], ikiumaaaa kunyaa bogaa.
 
fb_img_16793033411026056-jpg.2558957


Hivi ni nani au akina nani katika hawa wanne ambaye amewahi kutangazwa either na TFF au CAF kuwa ni beki bora au kiungo bora au mshambuliaji bora wa mashindano yoyote yanayoendeshwa na vyama hivyo? [emoji16][emoji16] [emoji16]
Chama na inonga washawahi zoa tuzo hapo TFF.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ikute wenzako wanaagiza Dubai au Paris.Kitu OG.
Hajavaa kitu original hapo, hiyo Nike sina hakika nayo ila naona ni zile za David Sportswear na CR7 Sportswear Kariakoo pale kwa 50,000 unachukua. T-shirt sio brand useme ni original Burberry London, suruali vilevile. Bongo mastaa labda wavae Dickies na Levi's.
Nani avae mishahara yake bongo hii
IMG_20230321_074846.jpg
 
Wapi? Mnaleta story za abunwasi kama yule jamaa wa Azam TV siku ya jumapili anachukua muda mwingi kureeemba mambo ya zamani na kuwaita watu wa Zamani. Tuambie hiyo hao wachezaji wa Zamani mnaowasifia waliletankombe gani bongo?
Umezaliwa lini hujuwa makombe gani yaliletwa na wachezaji wa zamani kweli?
 
Tuna comment ili msiendelee kupotosha vilaza wenzenu. Achilia mbali MK14 , rekodi za Bocco tu bado hajazifikia. Anajitahidi ila ni ukilaza kuandika hajawahi kutokea kama yeye kwenye ligi.
Walishasema wangeweza angewaoa
 
Kazi kubwa ya kucheza bila kugusa bolu???!!!!
FB_IMG_1679892181997.jpg
 
Back
Top Bottom