Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 2,912
- 12,904
Pole sana mkuu ,mishe zako usingizi wa lazima jumlisha ulivyompelekea moto manziSio wa usku mkuu nimemjua for three months, tulikutana dukani nikiwa nimeenda kununua bidhaa
Mwanangu JD wewe unawaza u-illuminati mzee mishe nayo piga niya sales hivi ulishawahi kutembeza product wewe, mtaa kwa mtaa door to door🤔unaujua mchoko wake
Yaan utombane naye Jumamos, kesho yake uptime UKIMWI, ukute Hauna, Uanze kufurahia Et Sina??.Hali vipi wana JF!
Niingie moja kwa moja kwenye kisa changu :
👉Nilipata mwanadada kama miezi mitatu hivi iliyopita 29 of age nikawa nakula nae gud time namtoa out kwenye viwanja vyetu vya bei ya kawaida,
👉Basi siku ya siku juzi jumamosi weekend tukaenda lodge moja hivi tukafanya yetu Ila asubuhi aliwahi kuondoka kabla yangu baadae naamka mzee nakuta laki moja mezani kuingia kwenye phone nakuta message inasomeka kama kwnye screenshot hapo chini👇
👉Sasa sijajua Huyu bidada tulijibishana message za mbili, hakujibu tena nadhani alinitia block maana Kila nilipo piga siku nilikuta inatumika
👉Sasa swali ni je hiyo laki kaacha ya nini 👉hiyo message Ina maana gani?
Maana kama ni kupima ngwengwe(HIV na STD's zingine no nimekuta) fresh
Sasa wataalamu atakua na maana gani 🤔
View attachment 3216781
Understanding yako kuhusu HIV ni ndogo sana ndugu sijui tukusaidiaje. Elimu ya ukimwi bado inahitajika sana nchi hii. Huwezi kusex na mtu halafu ukaenda kupima within days eti kipimo kisome positive. Inachukua muda fulani up to 3 months, maana ni mpaka mwili utengeneze defense na kuzalisha antibodies, uwepo wa hizo proteins ndo husomaga kwenye ule mstari wa kuonesha maambukizi. Ndo maana anakushauri kimbilia dawa, kama kuna hatari huenda ukasalimika, ni heri kujaribu kuliko kuacha kabisa, huduma hizo ziko vituo vyote vya kutolea huduma za afya.Mbona nimepima ni clear tu mzee tusubiri Sasa hzo three months
Hao watoto si umewapata kwa njia ya nyapu au?Bora mimi nae hangaika na betting kwa ajili ya watoto wangu kesho na sio kuhangaika na nyapu
Yaani ni ungese tu
Wewe ni baba kijacho kwa mtoto ambaye hatakuwa wako maishani. Huenda atapewa mtoto mwanaume mwenye ukwasi. Wanawake wako kimasrahi sasa hiviHali vipi wana JF!
Niingie moja kwa moja kwenye kisa changu :
👉Nilipata mwanadada kama miezi mitatu hivi iliyopita 29 of age nikawa nakula nae gud time namtoa out kwenye viwanja vyetu vya bei ya kawaida,
👉Basi siku ya siku juzi jumamosi weekend tukaenda lodge moja hivi tukafanya yetu Ila asubuhi aliwahi kuondoka kabla yangu baadae naamka mzee nakuta laki moja mezani kuingia kwenye phone nakuta message inasomeka kama kwnye screenshot hapo chini👇
👉Sasa sijajua Huyu bidada tulijibishana message za mbili, hakujibu tena nadhani alinitia block maana Kila nilipo piga siku nilikuta inatumika
👉Sasa swali ni je hiyo laki kaacha ya nini 👉hiyo message Ina maana gani?
Maana kama ni kupima ngwengwe(HIV na STD's zingine no nimekuta) fresh
Sasa wataalamu atakua na maana gani 🤔
View attachment 3216781
We did it f"...Basi siku ya siku juzi jumamosi weekend tukaenda lodge moja hivi tukafanya yetu Ila asubuhi aliwahi kuondoka kabla yangu baadae naamka mzee nakuta laki moja mezani kuingia kwenye phone nakuta message inasomeka kama kwnye screenshot hapo chini👇..."
Utata unaanzia hapa. Unajuaje uko fresh wakati ni juzi tu umelala naye? She was probably looking for pregnancy or worse, nikimaanisha usijihakikishie usalama, majibu kamili ni mpaka miezi 3 kafanye confirmatory test ya HIV. Trump anazuia madawa nyie bado mnajiachia pekupeku? What's wrong with you?
Lakini wataalamu wanasema kama mbususu ikiloa sana na ikitokea wote hamna michubuko muathirika na ambaye si muathirika ni ngumu kupata HIV in case kama mucus ilikua ya kutosha labda friction(bark and forth) ilete mchubukoYaan utombane naye Jumamos, kesho yake uptime UKIMWI, ukute Hauna, Uanze kufurahia Et Sina??.
Haya Ukisema alitaka umpe Mimba, Kwanza Wanawake wote wanapenda Baba wa mimba au mtoto awe karibu yake hata kama hautaleaa.
Pili, Ngono ya siku Moja, haiwezi Mfanya kua na uhakika kua Kapata anachotaka.
Sasa nakupa SAIKOLOJIA ya wenye HIV, ukishamgonga peku, yeye hapohapo anaamini keshakuambukizwa.
Falaaa wewe, Omba Mungu akuepushie Balaa !!.
Ngono zembe na unangonoka kabla haujaoa unataka ushauri gani ndugu.Kwahyo huna ushauri zaidi ya kuvunja moyo?
Ngono zembe na unangonoka kabla haujaoa unataka ushauri gani ndugu.
Uzembe wako mwenyewe kujitia kidume kwenye mambo yanayohitaji akili
Hakuna sex isiyokuwa na michubuko labda uwe ilitumia condom so mwanamke pekee ndo atapata michubuko. Huhitaji kuona kidonda kujua kuna michubuko, ni micro abrasion ambazo mtu anaweza hata asihisi chochote.We did it f
Lakini wataalamu wanasema kama mbususu ikiloa sana na ikitokea wote hamna michubuko muathirika na ambaye si muathirika ni ngumu kupata HIV in case kama mucus ilikua ya kutosha labda friction(bark and forth) ilete mchubuko
Ungeenda kuomba ushauri hospitali mkuuUmesoma kada gani Mkuu ungekuwa kada ya afya ungeuwa wagonjwa
Mkuu najivika maombi haitawezekanaUngeenda kuomba ushauri hospitali mkuu
Ungeelekeza ushauri gani upewe.
Nimi naona tu kwamba umeyatimbanganya na sasa chagua kitovu kilazwe wapi
ni kweli mkuu nitajaribu kupata more ideas about InfectionHakuna sex isiyokuwa na michubuko labda uwe ilitumia condom so mwanamke pekee ndo atapata michubuko. Huhitaji kuona kidonda kujua kuna michubuko, ni micro abrasion ambazo mtu anaweza hata asihisi chochote.
Tambua HIV ni micro organism mdogo sana hata miongoni mwa micro organisms. It's just a micro particle ndiyo definition nzuri ya kumwelezea huyu mdudu. The virus can easily pass through those micro abrasions.
Ushauri, jikite kujifunza kuhusu HIV na ukimwi wewe mwenyewe badala ya kutegemea theories za watu, utajiweka kwenye safe side. Siyo kila sex na mwenye HIV inaweza kuleta maambukizi , that is true, but you can't be certain eti kwa kuangalia mlikuwa kwenye hali gani, that itself is a fallacious argument.
DuuhUshapoteza mtoto kwa laki 1, Kuna Dada nilisoma naye High school miaka hiyo akaenda Sweden kusoma, akakaa huko akazaa, akaachika, akaja Tanzania kutembea, akaniomba uja uzito hata kwa pesa, ila kamwe nisiulizie mtoto, labda huko baadae yeye aone haja ya mtoto kunifaham, nikagoma kabisa!
Atakuwa alikuwa kwenye ovulation, Japo hai guarantee mimba kutunga.
Ndio maana nimesema najaribu kufikiri tu.
Kama bado hujaitumia wape washikaji zako watakushukuru, ila kumbuka kuacha umalaya, halafu story za kuchimba migodi kuzileta jamii forum imekaaje hiiHali vipi wana JF!