Mpaka sasa nimeshafanyiwa vipimo 10,hakuna ambacho kimeshaonyesha ninaumwa nini zaidi ya hali kuzidi kuwa mbaya.Kila siku mimi ni tumbo,tumbo,tumbo.Halina maumivu isipokuwa machache hasa baada ya kula na tumbo kujaa kama mpira unaosubir mechi.Vidonda vya tumbo huna?
Aisee,yaani ninakushukuru sana kwa kunitia moyo!Kwani kati ya madaktari bingwa 12,waliowahi kunisikiliza kuna mmoja aliwahi kuniambia hivi,Unajua sisi madaktari kuna magonjwa tumeelimishwa dalili zake lakini ukija huku kwenye uhalisia unakuta mgonjwa anaumwa ugonjwa ule ule tuliosomea lakini anakuja na dalili tofauti kabisa!!!Hiyo ndiyo changamoto.Dar kuna access ya vipimo. Lakin si kwamba specialist aliyepo Dar ni bora zaidi ya hao wa mikoani. Wote wanatumia kichwa kilekile cha mambo waliyosomea.
Asante kwa kunitania,ingawa mimi niko serious ninaumwa!Labda nikukumbushe kuwa hakuna binadamu aliyepiga magoti na kuomba augue.Hata mimi ningependa niwe mzima kama wewe!!Nenda kwa babu
Umepima Amoeba[/QUOTE]Limepimwa "UMUNYU, post: 19986611, member: 412171"]Mimi tumbo haliumi sana ila kuharisha ni mara kwa mara.MIUNGURUMO TUMBONI NI KAMA NILIVYOELEZA.CHAKULA CHOCHOTE NIKILA TUMBO LINAJAA KAMA PUTO.USHUZI UNAOTOKA HAUNA MFANO.KINYESI HARUFU NI KALI MNOOOO!
Mimi siye huyo Deo,unayemsema labda huenda matatizo yanafanana.Mimi niko mwambao wa ziwa Tanganganyika.Ni mbantu orijino.Cheki hata ID yangu.Umunyu maana yake ni chumvi.mbona huyu jamaa anafanana na deogratius kisandu.au Kaja kwa id ingine!!hahahahahahaha duh!
Kwenda Dar si tatizo.Nimeshaenda Muhimbili mara 2.Daktari aliyenihudumia mara ya pili alidai kwa kuwa maumivu kwa wakati ule yalikuwa mwili mzima na uchovu usioisha akadai eti nifanyiwe kipimo cha MRI.Akidai kikishindwa hicho Muhimbili watakuwa wamesalimu amri.Kwa hiyo hata sasa wakiniandikia nirudi huko mimi sina neno nitarudi lengo ni ili nipate nafuu kwani nimetibiwa mno.Pakiti za dawa zilizomo chumbani mwangu ni nyingi mno!Tiba lishe ndo usiseme.Nimetibiwa mno na Dr.Rahabu lakini hakuna unafuu!!!Pole sana.....Pamoja na ushauri ulopewa wa kwenda Dar es salaam ufanyie kazi ila pia maombi ni muhimu.... jiombee na nenda kwa waombezi pia wa uhakika
Mkuu samahani kama unahisi nimekutania au kukudhihaki ila sikuwa na maana hiyo...Mungu hakuponye ulejee kwenye afya njemaAsante kwa kunitania,ingawa mimi niko serious ninaumwa!Labda nikukumbushe kuwa hakuna binadamu aliyepiga magoti na kuomba augue.Hata mimi ningependa niwe mzima kama wewe!!
Unajua umenikumbusha mbali dada yangu alikufa baada ya kwenda kwa babu na kutumia kikombe.Hatimaye kisukari kilimlaza kaburini hasa kutokana na imani aliyokuwa nayo kwenye hicho kikombe.Mkuu samahani kama unahisi nimekutania au kukudhihaki ila sikuwa na maana hiyo...Mungu hakuponye ulejee kwenye afya njema
Pole sana mkuu....naomba nikuulize kitu kutokana na maelezo yako hayo ya dada kama hutojaliUnajua umenikumbusha mbali dada yangu alikufa baada ya kwenda kwa babu na kutumia kikombe.Hatimaye kisukari kilimlaza kaburini hasa kutokana na imani aliyokuwa nayo kwenye hicho kikombe.
Kuwa huruPole sana mkuu....naomba nikuulize kitu kutokana na maelezo yako hayo ya dada kama hutojali
Mkuu familia yenu ina matatizo ya kisukari cha kurithi?Kuwa huru
Unadhani kinachofanya kuendelea KWA hari mbaya ni hiyo Scan ulofanyiwa au ugojwa ndgu Mungu atakusaidia upone ila ponguza siasaWanajf ni siku ya tatu leo toka nifanyiwe CT SCAN YA TUMBO.AJABU TUMBO SASA LIMEBADILIKA.LINAWAKA MOTO.KIUNO SASA KINAUMA SANA.TUMBO LINAUNGURUMA SANA UTAFIKIRI VYURA VINAFANYA MAZOEZI.KELELE ZINASIKIKA HADI NJE YA TUMBO.MGONGO UNA MAUMIVU MPAKA LEO.KICHWA NDIYO USISEME.SASA NIMEKUWA MCHOVU MNO KIASI CHA KUSHINDWA KUFANYA HATA YALE MASUALA YETU YA USIKU YA BABA NA MAMA.JAMANI NISAIDIENI TATIZO NI KIPIMO AU NI MARADHI YANAYONISUMBUA AMBAYO BADO SIJAYAGUNDUA?MSAADA TAFADHARI
Hapana,kwa sababu hata hiyo case ya dada uwezekano mkubwa ni ishu ya lifestyle!!!Mkuu familia yenu ina matatizo ya kisukari cha kurithi?
Ok nilijua niya kurithi mkuu...pole sana mkuu utaponaHapana,kwa sababu hata hiyo case ya dada uwezekano mkubwa ni ishu ya lifestyle!!!
Ni hisia tu.Huenda labda kwa sababu nimeugua kwa muda mrefu ndiyo maana huenda hata kisaikolojia siko vizuri ndiyo maana unafikiria kuwa ninafanya siasa,ni ugonjwa kaka siyo siasa!Unadhani kinachofanya kuendelea KWA hari mbaya ni hiyo Scan ulofanyiwa au ugojwa ndgu Mungu atakusaidia upone ila ponguza siasa
Pole sana mpedwa kipindi unapata dawa endelea na maombi Mungu atakusaidia Mungu ni mwemaNi hisia tu.Huenda labda kwa sababu nimeugua kwa muda mrefu ndiyo maana huenda hata kisaikolojia siko vizuri ndiyo maana unafikiria kuwa ninafanya siasa,ni ugonjwa kaka siyo siasa!
Asante ndugu nitaufanyia kazi ushauri wako!Lakini hao wahindi wanampokea mgonjwa bila rufaa?Ninaomba unisaidie kwa sababu sijawahi kwenda hapo HindumandalNenda hindu mandal omba kukutana na dr wa matumbo ni muhindi nna imani atakusaidia coz mi alinisaidia sana. Pole kwa matatizo