Tafuta dawa ya asili inaitwa Aswat, ila utaharisha sana ila baada ya hapo unapona kabisa.
Nenda kwenye misikiti humo wanzo dawa hizo afu utaleta mrejesho hapa. Ila ukiziendekeza hizo hospitali ujue unakitafuta kifo mapema sana.
Duuh pole sn mkuu, vp hali yako kwa sasa?Mpaka hapa nina attend medical clinic ya hapa rufaa Mbeya.Cha ajabu ni kwa kuwa hadi leo siujui ugonjwa unaonisumbua.
Madaktari wenyewe huwa wanaitana na kujadili hali yangu huishia kubishana tu.Hali ninayoexperience sasa hivi ni kuwa daktari wa leo unamkuta anatofautiana na aliyemtangulia.
Hapa nilipo nimeandikiwa dozi za dawa nikipima hivi vidonge kwenye mzani vinakarikia robo tatu ya kilo!!!
Vipi hali yako kwa sasa hivi?Hali bado,rufaa Mbeya wanadai huenda nina vidonda vya tumbo.Toka 2017 walinianzishia clinic ya medicine ndipo nahudhuria hadi leo dawa wanazonipa ni nyingi sana kiasi kwamba nimeamua kutozimeza kwa sababu madaktari wenyewe wanapingana.Hali bado ni tete
Rudi kwa daktar wako, mweleze hayo na upewe majibu ya kipimo chako, naamini tatizo lako linatatulika.,,huku kuwa makini na ushauri unaopewa, upo wa kukusaidia, upo pia wa kukuangamiza.Wanajf ni siku ya tatu leo toka nifanyiwe ct scan ya tumbo. Ajabu tumbo sasa limebadilika. Linawaka moto.Kiuno sasa kinauma sana. Tumbo linaunguruma sana utafikiri vyura vinafanya mazoezi.
Kelele zinasikika hadi nje ya tumbo. Mgongo una maumivu mpaka leo.Kichwa ndiyo usiseme. Sasa nimekuwa mchovu mno kiasi cha kushindwa kufanya hata yale masuala yetu ya usiku ya baba na mama. Jamani nisaidieni tatizo ni kipimo au ni maradhi yanayonisumbua ambayo bado sijayagundua?
Msaada tafadhari
Hali si nzuri!Siku moja nilimkuta Daktari mmoja hapo Rufaa Mbeya akadai eti Nina kansa ya tumbo!Akaniandikia dawa nyingi kweli na akaniamuru nirejee baada ya mwezi!Niliporudi sikumkuta niliyemkuta akadai majibu niliyopewa kuwa nina kansa si sahihi!!Akaniandikia kipimo cha OGD!Nikaenda kukipimia Muhimbili kwani rufaa mbeya hakipo!Nilipopimwa Muhimbili wakadai tumboni Nina vidonda ila siyo vidonda vya tumbo daktari kaniandikia dawa za kutumia kwa miezi Tisa!Nimejaribu kutumia hizo dawa ila hakuna nafuu yoyote!Vipi hali yako kwa sasa hivi?
Asante kwa ushauri nitaufanyia kaziRudi kwa daktar wako, mweleze hayo na upewe majibu ya kipimo chako, naamini tatizo lako linatatulika.,,huku kuwa makini na ushauri unaopewa, upo wa kukusaidia, upo pia wa kukuangamiza.
Pole sana aiseeTumbo linanisumbua sana huu mwaka wa 13.Nimetibiwa sana iwe tiba mbadala au tiba hizi za kisasa.
Daktari huyu mpya ndiyo kadai nifanyiwe CT SCAN TUONE KAMA TUMBO LIKO SALAMA AU LILISHAOZA.
Maana hata haja ninazotoa zina harufu kali sana ningekuwa naweza kuipaste hapa hiyo harufu ningeweka ili mnisaidie.Kiufupi tatizo ni tumbo!!!!!
Huko ndiko usiseme!Ndiko nilikoanzia!Nikiri,tofauti na vipimo nilivyofanyiwa hospitali za serikali ambavyo vilikuwa vinaniletea majibu mawili ya ama kuwepo na tatizo ama la huko private kila nilipokwenda walidai Mimi ni mgonjwa tu Mara typhoid, amoeba,kichocho cha tumbo n.k!Nimekula madawa yao kwa miaka mitano mfululizo ndipo nilipoamua kuhamia hospitali za serikali!!Asee kama hospital kubwa zote amna kitu.jeh uli jaribu hadi hospital za private maana wana care kidogo kuliko government
Huko private hospitals ndiyo kitu waliyokuwa wanadai ninayo!Nimemeza dawa kwa miaka kadhaa mpaka baadhi yao wakaanza kudai kuwa kwa sasa dawa nyingi ni feki ndiyo maana tunatumia hatuponi!!Hospitali za serikali walinipima kipimo kikubwa cha vidonda tumbo wao wanakiita "barium meal" lakini nacho kikaonesha sina shida yoyotePima H pylori
Dawa feki sikatai zipo lkn tiba isipoendana na guide line ya tiba huwezi tibikaHuko private hospitals ndiyo kitu waliyokuwa wanadai ninayo!Nimemeza dawa kwa miaka kadhaa mpaka baadhi yao wakaanza kudai kuwa kwa sasa dawa nyingi ni feki ndiyo maana tunatumia hatuponi!!Hospitali za serikali walinipima kipimo kikubwa cha vidonda tumbo wao wanakiita "barium meal" lakini nacho kikaonesha sina shida yoyote
Nashukuru kwa ushauri!Lakini wale walishindwa wakanipa rufaa kuja MbeyaRudi kule kule walikokufanyia kipimo cha CT Scan! Nadhani hizo ni side effects.
Mungu akufanyie wepesi uponeHali si nzuri!Siku moja nilimkuta Daktari mmoja hapo Rufaa Mbeya akadai eti Nina kansa ya tumbo!Akaniandikia dawa nyingi kweli na akaniamuru nirejee baada ya mwezi!Niliporudi sikumkuta niliyemkuta akadai majibu niliyopewa kuwa nina kansa si sahihi!!Akaniandikia kipimo cha OGD!Nikaenda kukipimia Muhimbili kwani rufaa mbeya hakipo!Nilipopimwa Muhimbili wakadai tumboni Nina vidonda ila siyo vidonda vya tumbo daktari kaniandikia dawa za kutumia kwa miezi Tisa!Nimejaribu kutumia hizo dawa ila hakuna nafuu yoyote!
Mungu akufanyie wepesi uponHali si nzuri!Siku moja nilimkuta Daktari mmoja hapo Rufaa Mbeya akadai eti Nina kansa ya tumbo!Akaniandikia dawa nyingi kweli na akaniamuru nirejee baada ya mwezi!Niliporudi sikumkuta niliyemkuta akadai majibu niliyopewa kuwa nina kansa si sahihi!!Akaniandikia kipimo cha OGD!Nikaenda kukipimia Muhimbili kwani rufaa mbeya hakipo!Nilipopimwa Muhimbili wakadai tumboni Nina vidonda ila siyo vidonda vya tumbo daktari kaniandikia dawa za kutumia kwa miezi Tisa!Nimejaribu kutumia hizo dawa ila hakuna nafuu yoyote!
Ila madaktari wa Tz Mungu tu atusaidie unamwambiaje mtu ana kansa wakati huna uhakikaHali si nzuri!Siku moja nilimkuta Daktari mmoja hapo Rufaa Mbeya akadai eti Nina kansa ya tumbo!Akaniandikia dawa nyingi kweli na akaniamuru nirejee baada ya mwezi!Niliporudi sikumkuta niliyemkuta akadai majibu niliyopewa kuwa nina kansa si sahihi!!Akaniandikia kipimo cha OGD!Nikaenda kukipimia Muhimbili kwani rufaa mbeya hakipo!Nilipopimwa Muhimbili wakadai tumboni Nina vidonda ila siyo vidonda vya tumbo daktari kaniandikia dawa za kutumia kwa miezi Tisa!Nimejaribu kutumia hizo dawa ila hakuna nafuu yoyote!
Pole sana ndugu yangu,,,unayoyapitia magumu sana tatizo lako ni tofauti na mimi ila njia tunayopitia ya mateso ni moja ipo siku yatatuachilia pia tushukuru hata kwa huu uhai tulionaoNashukuru kwa ushauri!Lakini wale walishindwa wakanipa rufaa kuja Mbeya
Mkuu mpaka umefufua huu uzi kuna mazito unapitia pole sana,Pole sana ndugu yangu,,,unayoyapitia magumu sana tatizo lako ni tofauti na mimi ila njia tunayopitia ya mateso ni moja ipo siku yatatuachilia pia tushukuru hata kwa huu uhai tulionao
Nawashukuru sana jf kwa mawazo na ushauri wenu.CT SCAN YANGU IMEONYESHA KUTANUKA KWA MISHIPA YANGU YA TUMBO.Dr. KANIAMBIA UGONJWA ULIOSABABISHA HILO BADO HAUJAJULIKANA.NIMEPEWA DAWA ZA KUTUMIA MWEZI MZIMA NDIYO NIRUDI HOSPITAL.