Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika, kumbe anasema ukweli

Usije kushangaa waandishi wakapigwa marufuku kwenda kumuhoji.
 
huyu mzee nahisi ni tunu ya taifa wanapaswa waandishi wa habari wasimzongeee
 
Dola bilioni 10 za marekani!?? Yet still hana dola $150 za insurance....yeye hana personal account ya hela zake??
Hizo hela zimekaa huko zinafanya nini na yeye huku anaishi kihohehae??
 
Pole sana mkuu,nimevuta taswira unayoielezea nimechoka,ni ngumu sana kuishi huko.
 
Dola bilioni 10 za marekani!?? Yet still hana dola $150 za insurance....yeye hana personal account ya hela zake??
Hizo hela zimekaa huko zinafanya nini na yeye huku anaishi kihohehae??
Yaani watu ni wabishi sijawahi kuona... Polisi wamechukua benki statement worth and with said amount na hakuna aliyebisha on top wameweza kumuachia kwa kujidhamini still kuna mtu anawasiwasi na huyu Jamaa... Ulizeni waliokuwa wanaenda Urusi Miaka yake na kazi gani walikuwa wakiifanya..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…