Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika, kumbe anasema ukweli

Mkuu ebu fikiria tu...
Kwanza kabisa huwezi thibitisha kuwa mleta mada yuko Urussi.
Na ndiyo maana nimekwambia hata hizo picha kazitoa internet wakati anakwambia kafika eneo la tukio lakini hata kupiga picha kashindwa.
Pili kwa sasa matukio makubwa, tuachane na dr shika walau basi hata huyo mtu anayedai anaitwa Falz Kurbashnov hana hata reference ya source yoyote juu ya kesi yake ya ugaidi? (Haikushangazi?)
Wakati Dr shika tukio tu la kusema 900 itapendeza now ukimgoogle utapata references za kutosha juu yake ije kuwa mtu ambaye anatuhumiwa kwa ugaidi tena kafungwa Marekani?
Na mwisho hiyo picha aliyoweka siyo ya huyo mtu ni ya mtu mwingine kabisa.
Unfortunately ninatumia browser ila ningekuwa natumia application nitaupload screenshot za kila kitu.
Anybody can say anything ni jukumu lako kuhakiki ukweli juu ya taarifa hizo.
Namkumbuka the Bold nilikuwa nikisoma story zake naenda kutafta wahusika na sikuwahi kukosa references zao najihabarisha zaidi.
 
Nimegundua huyu Dr Shika ni mkakati maalum wakutuondoa kwenye mijadala mingibe baada ya kusoma hii tungo
 
Mkuu risk na gharama unazopata jamii forum inatakiwa ikutetee iwapo mtu akachukua hii habari na kuipublish ktk aina yoyote ile
 
mi ni mjanga , sigusi wanawake wao, nawagusa kwa kuiba, sigusi hela yao na hawajui hela yangu basi, na sichangii mjadala wa kisiasa au melngo wa ubepari na ujamaa , niko kimya
Zingatia msemo wetu wa "mwinda huwindwa". Uwe mwangalifu zaidi na watu wanaotaka urafiki na wewe, wanaokusifia sifia wanaojua mambo mengi karibu sawa na ujuwavyo wewe, Ushushushu Russia na hasa Moscow ndio wenyewe, ukiwashinda kote wanaweza kutafutia kesi. Uwe mwangalifu sana sana katika utafiti wako.

BTW: Part 2 ya sakata la Dr Shika ni kuipata hela yake, benki inaweza kutekeleza maagizo yote ya mwenye account lakini ikaja kuzuiliwa na benki kuu. Kiasi kikubwa cha pesa namna hiyo hawatakubali kihamishwe hivi hivi. Tujikumbushe tu kuwa Rais Wladmir Putin jicho lake moja liko kwenye makampuni yaliyoanzishwa kama alivyofanya Dr Shika. Mfano mzuri ni yaliyompata Chodorkowski, yuko uhamishoni hadi leo.
 

Ракеты из России, где находится доктор Шика
Rakety iz Rossii, gde nakhoditsya doktor Shika





900 ITAPENDEZZA SANA
 
Usiongee kama bata, lete ushahidi unayoongea, Kumbuka Marekani na Urusi ni mahasimu, huyo aliefungwa kwa tuhuma unazodai za ugaidi jua huenda hazina ukweli ndio maana huzikuti Google. Halafu elewa Russia ni nchi ya kijamaa.

Sifa mojawapo ya nchi za kijamaa ni kumuhukumu mtu hata kwa kitu ambacho si cha kweli yaani wanatumia ushahidi wa dhahania
 
Safi sana kwa mada nzuri hivi kumbe dr.shika aliyokuwa anasema ni kweli?
 
Hivi umesoma alichopost hata ukaelewa?
Tena kama hizo tuhuma zitakuwa hazina ukweli ndipo habari zake zinabidi ziwe nyingi mtandaoni maana mashirika ya kutetea haki za binadamu yangepiga kelele.
Halafu kama umemsoma mleta mada kasema Marekani wali demand akafungwe kwao.
Anyway neno langu siyo sheria...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…