elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,261
- 9,733
Mkuu ebu fikiria tu...napenda sana unavojibu kistaarabu.........lakini tatzo ni kwamba mleta mada yupo urusi na anadai hzo info anazichukua direct kutoka kwa watu waliomfaham DR. lakini wew unampinga kwa ushahidi wa kichwa chako tu kinavopiga mahesabu juu ya tukio hili.......!!!
Mi nadhani kwa kuwa na ww upo urusi....basi tafuta info za ukweli zaid kuhusu Dr shika....mana ni mtanzania mwenzako ambae tunaamini kabisa alipatwa na matatizo makubwa huko ambayo yame athiri maisha yake kwa ujumla...........na kisha utuletee taarifa hapa ili tuweze sasa kuiona hoja yako juu ya huyu mzee wetu.
Kwanza kabisa huwezi thibitisha kuwa mleta mada yuko Urussi.
Na ndiyo maana nimekwambia hata hizo picha kazitoa internet wakati anakwambia kafika eneo la tukio lakini hata kupiga picha kashindwa.
Pili kwa sasa matukio makubwa, tuachane na dr shika walau basi hata huyo mtu anayedai anaitwa Falz Kurbashnov hana hata reference ya source yoyote juu ya kesi yake ya ugaidi? (Haikushangazi?)
Wakati Dr shika tukio tu la kusema 900 itapendeza now ukimgoogle utapata references za kutosha juu yake ije kuwa mtu ambaye anatuhumiwa kwa ugaidi tena kafungwa Marekani?
Na mwisho hiyo picha aliyoweka siyo ya huyo mtu ni ya mtu mwingine kabisa.
Unfortunately ninatumia browser ila ningekuwa natumia application nitaupload screenshot za kila kitu.
Anybody can say anything ni jukumu lako kuhakiki ukweli juu ya taarifa hizo.
Namkumbuka the Bold nilikuwa nikisoma story zake naenda kutafta wahusika na sikuwahi kukosa references zao najihabarisha zaidi.