Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
alafu kuna watu wabishi sana, anashangaa address kuwa bx 9 moscow, hajui kwamba hata mifumo yetu baadhi tuliifuma uko,hiyo bank statement siyo ya Benk ya Tanzania na amekwambia Tanzania hana fedha na fedha zake zipo nje. Mbona watu hatufuatilii mambo kwa lengo la kuelewa?
Duh! Kweli unyumbu ni mzigo, tena gunia la misumari! yawezekana hata wewe si mzima, ni kichaa tukonaye humuSwali: Kwanini Dr Lous Shika amechanganyikiwa au ni mbinu za CCM ilitusahau tukio la Lissu?
kaka, kuna clip imo humu, kayasema mwenyewe dr. Shika, ila kapata mateso sana manake watz wanaokaa huko wanakwambia kabisa warusi ni wanyama kabisa, kukuua ni kitu cha kawaida sana kwaokama vile ni agent wa CIA nikiunganisha dots
maana tuliambiwa/kuna uzi ulisema ubalozi wa tanzania ulimtelekeza lakini ubalozi wa marekani ulimtembelea akiwa hospitali kama sijakosea
Jiwe la gizani kwa wanacccm, ingekuwa mimi ban ingenihusu lakini kwa vile ni wenzako endelea kupeta.Duh! Kweli unyumbu ni mzigo, tena gunia la misumari! yawezekana hata wewe si mzima, ni kichaa tukonaye humu
nakwambia, na aliyeturoga ni huyo huyo baba jesca, kitu kidogo siasa, uumwe malaria wao siasa tuMmh kila jambo mnachomeka siasa tu.
Usishangae Andrew Chenge akazizungukia hizo hela na akazipiga au ubalozi wa Marekani hapa nchini wakafuatilia kwa undani na akapewa mzingo wakeNdio maana ana uhakika wa kununua ile mijengo,kumbe hela iko kwenye process!atapata hela yake wamarekani wakisha kutumia kwenye mission kubwa kama hiyo lazima wakuwezeshe...
Sorry off topic:Kutoka mjini Rostov on don napokaa mpaka Moscow ni mwendo mrefu kidogo ambao ni km 1200 na zaidi, kwa mwendo wa trein ni 5hrs,
Britanicca
mimi niliyeleta uzi huu niko uku nimwaka wa tano nimepata mateso yafuatayokaka, kuna clip imo humu, kayasema mwenyewe dr. Shika, ila kapata mateso sana manake watz wanaokaa huko wanakwambia kabisa marusi ni wanyama kabisa, kukuua ni kitu cha kawaida sana kwao
[emoji122] [emoji122] [emoji122]KGB kutorokwa na CIA haishangazi Mkuu
kumbe mkurugenzi niko uku tokea enzi zile za fagilio la chuma, Bado kapo uku?Sorry off topic:
Kumbe Britanicca unakaa Rostov on don, sijui umeanza kuishi hapo lini, maana kuna kashemeji chako Fulani, kutoka Tanga, Tanzania, kamepiga medicine yake hapo kwa miaka 7, kiukweli nilikapenda sana, ila tatizo kwa kanda yatu ya Ziwa, kusubiri miaka 7, niliona ni mingi!.
Paskali
Unamaswali ya kipumbavu Sana Kwa hiyo CCM inahusika nn hapa na Hill swali hapa unamuuliza naniSwali: Kwanini Dr Lous Shika amechanganyikiwa au ni mbinu za CCM ilitusahau tukio la Lissu?
Hiyo inatokana na usalama Marekani ni adui wa Urus na, na Marekani huwatumia ma black kwenda kufanya u spy Urus, kama wew ni black na kibonge ukienda Urus ukitiliwa Mashaka unadakwa fasta na ukikaa kizembe usishangae risas ikatua kichwani.......kaka, kuna clip imo humu, kayasema mwenyewe dr. Shika, ila kapata mateso sana manake watz wanaokaa huko wanakwambia kabisa marusi ni wanyama kabisa, kukuua ni kitu cha kawaida sana kwao
We paskali akili yako inawaza wanawake tu sijui umelogwa.Sorry off topic:
Kumbe Britanicca unakaa Rostov on don, sijui umeanza kuishi hapo lini, maana kuna kashemeji chako Fulani, kutoka Tanga, Tanzania, kamepiga medicine yake hapo kwa miaka 7, kiukweli nilikapenda sana, ila tatizo kwa kanda yatu ya Ziwa, kusubiri miaka 7, niliona ni mingi!.
Paskali
hahahaHiyo inatokana na usalama Marekani ni adui wa Urus na, na Marekani huwatumia ma black kwenda kufanya u spy Urus, kama wew ni black na kibonge ukienda Urus ukitiliwa Mashaka unadakwa fasta na ukikaa kizembe usishangae risas ikatua kichwani.......
wanaweza wakatengeneza si wako katika upelelezinakataa kabisa,ukiangalia hiyo website hakuna picha za ofisi,adress ya kampouni hakuna, e mail wanatumia msn wakati proffesionally ilitakiwa labda drshika@lancefortltd.ru then angalia vizuri website yao..www.lancefort.narod.ru ni free hosting sio za kulipia thats why kuna narod katikati ni kama .blogspot.com au .yola.com,website kwa mjanja akiingalia kwa macho tu changa la macho
Uki search google hawana rekodi ya kueleweka no results kabisa,kampuni moja inafanya shughuli kama 40,kuanzia fertilisers,petroleum,pharmaceutical hakuna hata picha za ma executives,mnadanganyika sababu kuna website tena ya free hosting?
CIA,FBI watengeneze bogus company in a foreign soil ambayo ina deal hadi na gesi na petrol?they must be crazy,CIA,FBI wakitaka info nzuri za nchi kama Russia huwa wanatumia wan KGB wa kulekule ndani(MOLES)refer story ya OLEG KALUGIN
nakataaa nakataaaa nakataaaaa ,mtoa mada hata kama kaeleza alichoambiwa simply ni kwamba mzee LUNYALULA KIDOLA aliwanywesha chai ya moto wabongo wa huko ku explain issue yake ya kukatwa vidole na kupoteza meno aka acome up with a fascinating story. NOOOOO