Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika, kumbe anasema ukweli

Vipi kuhusu mwendelezo.. Tunasubiria sana.. Maana watu wako ktk sintofahamu kubwa, so ukileta vitu kama hivi kidogo tunapata ka taswira who is Dr. Shika
Mwendelezo unakuja baadae nikikutana na afisa mmoja wa benki ambayo iko Thailand lakin yuko Moscow, na pia kukutana na waliosemekana kumtorosha
 
Big up dude..!! JF inafaa ikupe zawadi ya pekee kwa hili aiseee
 
Mwendelezo unakuja baadae nikikutana na afisa mmoja wa benki ambayo iko Thailand lakin yuko Moscow, na pia kukutana na waliosemekana kumtorosha
Hivi haya yote unafanya kwa manufaa yapi?

Nani analipia safari zako, malazi nk?

Kuna kitu nakiona kwa mbaaali sana, whoever staged all this namvulia kofia heshima kwake

Mmeweza ku spin mijadala yote habari sasa ni Dr. Shika
 
Mimi naona kama fiction story.:.
Maana imekuwa rahisi kwake kumeet anybody sijui afisa wa bank sijui aliyemsaidia kutoroka.
Lakini wanakwambia hawa wakina shika na wenzake kuwaongelea Urusi ni hatari, yet the man is going around na kuzungumza na watu wenye habari kirahisi tu..
Hii mimi naona ni story ya kuunga afisa wa bank mwenye connection na bank ya thailand ili kuconnect na tukio la shika kutuma ela thailand juzi...
Ngoja tusubiri maana ile ela I am sure ilitumwa kwa scams wa kimtandao ndiyo maana ikatumwa kwa moneygram uwa hawakubari ela kwa njia ya bank.
Time will tell
 
Yes ! Hii ishu ya hela iko kama ni scum na huenda wanaendelea kumwibia huyu mzee.
 
Itapendeza zaidi ukimtafuta na mke wake. inasemekana alikuwa na watoto pia tufanye mpango warudi tuu huku Magu, usiache pia kupita ubarozi wa marekani. huu mChezo wa kitoto unamwisho wake
 
Back
Top Bottom