Inferior Complex
JF-Expert Member
- Oct 17, 2014
- 3,655
- 5,023
Shika bhnaaaHaha mi siyo shika
Yaan ufunge research bila reason yoyote ilee?!?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shika bhnaaaHaha mi siyo shika
Mwendelezo unakuja baadae nikikutana na afisa mmoja wa benki ambayo iko Thailand lakin yuko Moscow, na pia kukutana na waliosemekana kumtoroshaVipi kuhusu mwendelezo.. Tunasubiria sana.. Maana watu wako ktk sintofahamu kubwa, so ukileta vitu kama hivi kidogo tunapata ka taswira who is Dr. Shika
Siyo ya kwake mkuu nenda celebrity forum huyo kijana anaitwa phillips link ya hiyo thread za huyo kijana hiyo hapo kaipost mtu celebrity forumMmmh kwa hili bado sijashawishika...yaaani hiyo pc imepigwa mwaka gani kukiwa na aina hizi za mavazi na umri wake inamaana amezeeka hivi karibuni.
Unless hii pc iwe ni ya kijana wake but hatuwezi kumeza kila kitu NOUU
Mwendelezo unakuja baadae nikikutana na afisa mmoja wa benki ambayo iko Thailand lakin yuko Moscow, na pia kukutana na waliosemekana kumtorosha
Hivi haya yote unafanya kwa manufaa yapi?Mwendelezo unakuja baadae nikikutana na afisa mmoja wa benki ambayo iko Thailand lakin yuko Moscow, na pia kukutana na waliosemekana kumtorosha
Mimi naona kama fiction story.:.Hivi haya yote unafanya kwa manufaa yapi?
Nani analipia safari zako, malazi nk?
Kuna kitu nakiona kwa mbaaali sana, whoever staged all this namvulia kofia heshima kwake
Mmeweza ku spin mijadala yote habari sasa ni Dr. Shika
Mimi naona kama fiction story.:.
Maana imekuwa rahisi kwake kumeet anybody sijui afisa wa bank sijui aliyemsaidia kutoroka.
Lakini wanakwambia hawa wakina shika na wenzake kuwaongelea Urusi ni hatari, yet the man is going around na kuzungumza na watu wenye habari kirahisi tu..
Hii mimi naona ni story ya kuunga afisa wa bank mwenye connection na bank ya thailand ili kuconnect na tukio la shika kutuma ela thailand juzi...
Ngoja tusubiri maana ile ela I am sure ilitumwa kwa scams wa kimtandao ndiyo maana ikatumwa kwa moneygram uwa hawakubari ela kwa njia ya bank.
Time will tell
Hii ndo raha ya JF. ....taratibu nimeanza kukuelewa![emoji57]Ha ha ha, ungejua unaongea na nani.
TehHii ndo raha ya JF. ....taratibu nimeanza kukuelewa![emoji57]
Itapendeza zaidi ukimtafuta na mke wake. inasemekana alikuwa na watoto pia tufanye mpango warudi tuu huku Magu, usiache pia kupita ubarozi wa marekani. huu mChezo wa kitoto unamwisho wake
Watoto aseeeHuyo mke mrusi utamleta Magu kweli?