Baada ya kufikisha miaka 30 uligundua kimebadilika nini katika maisha yako?

Mwakani 2024 july , ndiyo nagonga napanda ghorofa ya 30 ,yaaani sina direction yoyote bali nipo najaribu mishe za udalali wa bidhaa za mbao......sijui ntatoboa ????!! Maana hata mdada wa uhakika , wa kummwagia. Shahawa zangu sina yaaaani dahhhh hata sielewiiiiii
 
Na huyo kwenye avatar ndio wewe? Kweli unastahili kufanya yote hayo [emoji38] jf noma
Na hayo ni nusu tu ya yale niliyojaliwa au kufanya chini ya miaka 30. Ila baada ya kuingia kwenye miaka 40 na kuwa na familia na mambo kuongezeka ni kama nakula matunda niliyowekeza nikiwa under 30. Hakuna mapya nayo kimbizana nayo kuniletea maendeleo mapya
 
Zaidi ya kuota manyoya kwenye kwapa sijaona kingine
 
Maisha ni tofauti na unavyofikiria binafsi nilijapata nikiwa na miaka 27 nilijipata haswa ila mambo yakaja kuharibika nikiwa na miaka 34.
Sasa hivi nipo 40+ mambo yapo vizuri ila sio kama nilivyokuwa nina miaka 27.
Kuna kuwahi kujipata ukiwa bado youngster ila ni rahisi kuanguka tofauti na mtu anayejipata akiwa kwenye 30s. Utoto huwa unaangusha wengi waliotoka mapema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…