Baada ya kufikisha miaka 30 uligundua kimebadilika nini katika maisha yako?

Baada ya kufikisha miaka 30 uligundua kimebadilika nini katika maisha yako?

Mwakani 2024 july , ndiyo nagonga napanda ghorofa ya 30 ,yaaani sina direction yoyote bali nipo najaribu mishe za udalali wa bidhaa za mbao......sijui ntatoboa ????!! Maana hata mdada wa uhakika , wa kummwagia. Shahawa zangu sina yaaaani dahhhh hata sielewiiiiii
 
Na huyo kwenye avatar ndio wewe? Kweli unastahili kufanya yote hayo [emoji38] jf noma
Na hayo ni nusu tu ya yale niliyojaliwa au kufanya chini ya miaka 30. Ila baada ya kuingia kwenye miaka 40 na kuwa na familia na mambo kuongezeka ni kama nakula matunda niliyowekeza nikiwa under 30. Hakuna mapya nayo kimbizana nayo kuniletea maendeleo mapya
 
Nimebakisha miaka 4 kuingia 30.

Zamani tunakuwa tuliona miaka 30 ni mingi Sana ila sio kweli but it's just a stepping stone ni Mwanzo wa kuyaelekea Mafanikio Makubwa.

Jambo ambalo nimeona miaka 30 kwa TANZANIA Africa ndo Muda sahihi wa kujifanyia Self-Evaluation tathimini binafsi kwa kuangalia wapi ulikuwa wapi upo na wapi unahitaji ufike.

Pia katika miaka 30 unabidi kuwa una strong self-Image uwe unajitazama Kuanzia ndani yako kwa picha yenye ubora na ukubwa na hii itakupelekea kuwa na self-esteem kujikubali, na unapoanza kujikubali maana yake hautaendeshwa na nguvu kubwa kutoka nje ikiwemo kuzama katika Addiction (Uraibu) wowote Kama Pombe,wanawake, bangi n.k

Maana chanzo Cha Addiction ni kukosa kujiamini Kuanzia ndani yako hivyo unatafuta Nguvu kutoka nje ili ipate kukusaidia kukupa furaha ya Muda mfupi short pleasure, Aliyakuwa furaha huwa ipo ndani yako.

Mwisho miaka 30 itapendeza ikukute ukiwa tayari upo na ule uimara wa ndani wa kutokubali sauti kutoka nje yako kukuambia kuwa hauwezi au hauna thamani au kuchukuliwa poa.

Vijana wengi bado tunasumbuliwa na kitu kinaitwa Limp limp ni kutokuwa na uimara wa ndani hivyo tunabidi kuwa na Uelewa mzuri kuhusu limp maana ukiwa hauna uimara wa ndani utaogopa kujaribu fursa mbalimbali kwa kuamini hizo fursa zipo kwa ajili ya watu fulani .

Aging is inevitable live ur life Enjoy and cherish every single moment
Zaidi ya kuota manyoya kwenye kwapa sijaona kingine
 
Maisha ni tofauti na unavyofikiria binafsi nilijapata nikiwa na miaka 27 nilijipata haswa ila mambo yakaja kuharibika nikiwa na miaka 34.
Sasa hivi nipo 40+ mambo yapo vizuri ila sio kama nilivyokuwa nina miaka 27.
Kuna kuwahi kujipata ukiwa bado youngster ila ni rahisi kuanguka tofauti na mtu anayejipata akiwa kwenye 30s. Utoto huwa unaangusha wengi waliotoka mapema.
 
Back
Top Bottom