Baada ya kufunga ndoa ukae siku ngapi ili ufanye tendo la ndo?

Tatizo linakuja jamaa hajui hata nyapi ilivyo na hata hajui ipo upande gani kwa mwanamke pia kuna mda jamaa alisema anaona aibu kuomba shoo kwa mke wake
ni suala la kawaida tu hilo.. Wanandoa siku ya kwanza hawaombani, anachotakiwa kufanya ni kutomasa maeneo muhimu tu then mke ataachia bila pingamizi
 
ni suala la kawaida tu hilo.. Wanandoa siku ya kwanza hawaombani, anachotakiwa kufanya ni kutomasa maeneo muhimu tu then mke ataachia bila pingamizi
Jamaa hana lolote alijualo kwenye swala zima la minyanduano
 
Alitakiwa aanze naye hata kabla ya ndoa,unaona sasa anatuabisha
 
Kabla ya kwenda madhabahuni na immediately baada ya kutoka ukumbini ndo utaratibu.
 
Kwa uzoefu wake, huchukua muda gani kula chakula baada ya kupika au kuagiza na kuletewa mezani? Vinginevyo mwambie aendelee kukataa ndoa na awache waoane!!
 
Asubiri mpaka mkewe akizaa watoto wanne,....
 
Amefikaje kuoa kama haijui ndoa ? Au nyinyi hamfundishwi somo la ndoa kabla ya kuoa ??

By the way hii story ni ya uongo
 
Pumbavu kabisa hivi hili nalo ni lakuomba ushauri yaani kumgegeda mkeo hadi uombe ushauriwe....! Mwambie ndoa haihitaji watu wenye utindio wa ubongo.
Ndoa ni kwa watu wenye akili timamu tu.
 
Ndoa za utotoni hizi ni shida, yaani unahofia kuonekana malaya kwa mke wako, ni ndugu yako huyo, mmeoana ili mkaoshe vyombo ama?, shughuli ni moja tu, kunyanduana usiku kucha, ndiyo maana ya honeymoon alaaa😄
 
Mwaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…