Kiraka
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 4,285
- 4,074
Safi, huyu anajitambua.Nimemwambia ndio nawaza hivyo amesema natarajia wapate mtoto wao wa kwanza baada ya miaka miwili na ndio kasema atashiriki nae hicho kipindi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi, huyu anajitambua.Nimemwambia ndio nawaza hivyo amesema natarajia wapate mtoto wao wa kwanza baada ya miaka miwili na ndio kasema atashiriki nae hicho kipindi
ni suala la kawaida tu hilo.. Wanandoa siku ya kwanza hawaombani, anachotakiwa kufanya ni kutomasa maeneo muhimu tu then mke ataachia bila pingamiziTatizo linakuja jamaa hajui hata nyapi ilivyo na hata hajui ipo upande gani kwa mwanamke pia kuna mda jamaa alisema anaona aibu kuomba shoo kwa mke wake
Sawa bloh nitampa pongeziSafi, huyu anajitambua.
Jamaa hana lolote alijualo kwenye swala zima la minyanduanoni suala la kawaida tu hilo.. Wanandoa siku ya kwanza hawaombani, anachotakiwa kufanya ni kutomasa maeneo muhimu tu then mke ataachia bila pingamizi
Wote bado mabikraHakupaswa kuoa huyo. Naomba namba za huyo mke wake nimshauri.
Jando na unyago zirudi
Madhabahuni ni wapi hapoKabla ya kwenda madhabahuni na immediately baada ya kutoka ukumbini ndo utaratibu.
Sina dini, Ninaishi kifalsafa "STOICISM".Dini gani wewe?
Kwa uzoefu wake, huchukua muda gani kula chakula baada ya kupika au kuagiza na kuletewa mezani? Vinginevyo mwambie aendelee kukataa ndoa na awache waoane!!Habari, nimekuja kuwauliza kwa niaba ya rafiki yangu ambae kesho anafungana ndoa ila kichwani anawaza sana akae siku ngapi baada ya kufunga ndoa ndipo afanye tendo na mke wake?
Nimemwambia afanye tendo usiku wa ndoa yeye akasema anaogopa mke wake akamuwazia vibaya kwamba alimuoa kwa tamaa za kimwili na kwamba ni malaya.
Mpenzi ushauri jamaa
N. B MIKI NI KATAA NDOA
Kwani we umeelewa Nini🤣Comrade punguza ukali wa maneno
Amefikaje kuoa kama haijui ndoa ? Au nyinyi hamfundishwi somo la ndoa kabla ya kuoa ??Habari, nimekuja kuwauliza kwa niaba ya rafiki yangu ambae kesho anafungana ndoa ila kichwani anawaza sana akae siku ngapi baada ya kufunga ndoa ndipo afanye tendo na mke wake?
Nimemwambia afanye tendo usiku wa ndoa yeye akasema anaogopa mke wake akamuwazia vibaya kwamba alimuoa kwa tamaa za kimwili na kwamba ni malaya.
Mpenzi ushauri jamaa
N. B MIKI NI KATAA NDOA
Pumbavu kabisa hivi hili nalo ni lakuomba ushauri yaani kumgegeda mkeo hadi uombe ushauriwe....! Mwambie ndoa haihitaji watu wenye utindio wa ubongo.Habari, nimekuja kuwauliza kwa niaba ya rafiki yangu ambae kesho anafungana ndoa ila kichwani anawaza sana akae siku ngapi baada ya kufunga ndoa ndipo afanye tendo na mke wake?
Nimemwambia afanye tendo usiku wa ndoa yeye akasema anaogopa mke wake akamuwazia vibaya kwamba alimuoa kwa tamaa za kimwili na kwamba ni malaya.
Mpenzi ushauri jamaa
N. B MIKI NI KATAA NDOA
MwakaHabari, nimekuja kuwauliza kwa niaba ya rafiki yangu ambae kesho anafungana ndoa ila kichwani anawaza sana akae siku ngapi baada ya kufunga ndoa ndipo afanye tendo na mke wake?
Nimemwambia afanye tendo usiku wa ndoa yeye akasema anaogopa mke wake akamuwazia vibaya kwamba alimuoa kwa tamaa za kimwili na kwamba ni malaya.
Mpenzi ushauri jamaa
N. B MIKI NI KATAA NDOA
Mambo ya msingi kama haya inabidi tu naongea pm huku kwa comment nakupata kwa nadra sanaKijana karibu kesho nafungua rasmi