Baada ya kufunga ndoa ukae siku ngapi ili ufanye tendo la ndo?

Unashauri wafanye tendo siku ngapi baada ya ndoa? Maana jamaa anasema anaona aibu kufanya tendo
 
Mkuu binadamu wanabadilika na viumbe wote wanabadilika hata shetani alibadilika pia. Na huyo mwanamke atabadilika
Mke wake ni bikra sasa akinanlii na wengine si atajulikana? Alafu jamaa anasema kuhusu kugongewa mke hana shida kikubwa mke awe na heshima ndani ya nyumba
 
Huyo jamaa yako ni Fala sana.

Real man inatakiwa usiogope kuachwa, Inatakiwa wewe ndiyo umtengenezee mazingira ya yeye kuogopa kuachwa.

Mwambie asijaribu kuwa nice guy, Mwambie ale mzigo usiku kucha.
 

Nyie hizi mada zinaletwa kwa lengo la kuchekesha ama watu wanamaanisha wanachouliza ๐Ÿ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ