Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Sifuti, nifute yanini? Mimi NI shabiki WA yanga, kwahyo Kwa sasahv nazichukia zote Simba na yangaMichango bado inaendelea, ukisikia simba wamechangia utakuja kufuta h comment yako.
Ndio, maana pesa yangu nakuwa nimemnufaisha mwenye banda umiza kuliko kutoa wanjani waitumie kwenye gate collection ikajumuishwe kwenye michango ya CCM.Kwahy kuangalia kibanda umiza unakuwa umewakomoa hao simba?
Nashangaaga Sana kuna mafala wananunua JEZI Hadi elfu50 😂😂Ndio, maana pesa yangu nakuwa nimemnufaisha mwenye banda umiza kuliko kutoa wanjani waitumie kwenye gate collection ikajumuishwe kwenye michango ya CCM.
Kwa upande wa Simba ukinunua jezi unakuwa umemfaidisha mzabuni Jayruty na sio SimbaNashangaaga Sana kuna mafala wananunua JEZI Hadi elfu50 😂😂
Mtani, timu yangu yanga imenikwaza sana kwa kitendo walichofanya.Simba wajifunze kupitia hiki kinachowakuta Yanga
Wakileta ujinga wao si wengine tutaishia kuangalia mechi kwenye banda umiza tu
Nilikuwa napitia comments za wadau mda huu kuhusu chapisho la influensa wenu Godiyanga, sio siri wengi wamekwazika kwa jinsi jamaa alivyoonesha uchawa ni heri hata angekausha tu kimya.Mtani, timu yangu yanga imenikwaza sana kwa kitendo walichofanya.
Wametushusha sana morali mashabiki ambao sio wahumini wa siasa especialy za chama tawala. Leo katika miangaiko yangu nilikua nimevaa jezi ya yangu baada ya ubize wa siku nzima usiku huu ndio nimepata nafasi nikasema ngoja nipitie mtadaoni kidogo ndio nilale. Nakutana na habari hii kwa kweli imenikwaza sana mpaka nimejutia kushinda siku nzima nikiwa nimevaa jeziNilikuwa napitia comments za wadau mda huu kuhusu chapisho la influensa wenu Godiyanga, sio siri wengi wamekwazika kwa jinsi jamaa alivyoonesha uchawa ni heri hata angekausha tu kimya.
View attachment 3439546
Hii comment iwe pinned!Magoli ya mama yote yamerudi siku moja 😹😹😹
PoleNdio, maana pesa yangu nakuwa nimemnufaisha mwenye banda umiza kuliko kutoa wanjani waitumie kwenye gate collection ikajumuishwe kwenye michango ya CCM.
Kwa hali ya kawaida, mtu mwenye dhambi au mwenye udhaifu mkubwa wa kimaadili hujipendekeza sana kwa watawala au kwa mtu anayemtegemea kwa shughuli zake kwa sababu ya mchanganyiko wa hofu, tamaa, na kulinda maslahi binafsi.Hii wiki yote wataiona changu kwa hiki walichokifanya.
Watu wameenda kutoa mapovu kwenye post zilizopita wanatukana Vibaya mnoo.
Wanasubili post za Kesho labda nazo wafunge comments.
Nilishatenga pesa ya jezi, Bora nitume kijijini kwetu sitaki tena jezi
Wamechemka mno kwenye hili. Hapa Hersi hajaonyesha usmart wake kwenye uongozi. Maamuzi ya hovyo kabisa kwa timu yangu karibu na mwanzo wa msimu.Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Si tu kwamba aibu tunaona sisi wana yanga na mashabiki ya yanga
Bali hata wao waliochanga wanaona aibu pia
Wamefunga comment huko
LONDON BOY
Magoli ya mama alitoa kama Rais na si kama mwenyekiti wa chama. Ni kama tu alivyotoa ndege kwenda Algeria kwa ajili ya fainaliMagoli ya mama yote yamerudi siku moja 😹😹😹
Simba wana element za upinzani. Nakumbuka vizuri sana Simba Ukawa 2015 ilivyotingisha.Simba wajifunze kupitia hiki kinachowakuta Yanga
Wakileta ujinga wao si wengine tutaishia kuangalia mechi kwenye banda umiza tu
Kuna uwezekano wakachangia ila haitakuwa sawa pia. Haya mambo wangefanya hata kimyakimya bila kutangaza. Tuna taasisi tunachangia chama kimyakimya bila kuonekana kwenye harambee. Wanakuja watendaji wanapewa Chao wanasepa. Itakuwa ajabu kuona TRA wamechangia chama kwenye harambee.Michango bado inaendelea, ukisikia simba wamechangia utakuja kufuta h comment yako.
Unaweza kuwa sahihi kwa kiasi fulani. Maana hata rangi za timu yetu ni za CCM. Ila njia iliyotumika kuchangia si sawa. Wangeweza kwenda kimyakimya na akataja mchango wa GSMChawa wa Yanga wamepewa jukumu la kuitetea Club yao
Kwa hiyo siku nikisema humu Yanga ni CCM msikwazike maana kila kitu kimesemwa na influensa wenu ambaye yupo benefit na viongozi wenu.
View attachment 3439539