Baada ya kuichangai CCM yanga yaona aibu yafunga comment

Baada ya kuichangai CCM yanga yaona aibu yafunga comment

Simba wajifunze kupitia hiki kinachowakuta Yanga

Wakileta ujinga wao si wengine tutaishia kuangalia mechi kwenye banda umiza tu
Aisee!
Kwa hiyo unataka kusema simba haihusiani na ccm! Yaani Mo alikuwa ni mbunge wa ccm Singida huko, na Mangungu alikuwa ni mbunge wa ccm Kilwa huko! Na bado unafikiri simba na yenyewe haifungamani na ccm kama ilivyo kwa Yanga!! Wewe kuwa tu mpole. Hivi vilabu viwili ni matawi ya ccm.
 
Mdhamini wa Simba ni CCM 100% hata kama hajachangia hadharani...

Ingawaje kitendo walichofanya timu ya Yanga nadhani wamejiweka kwenye mtego ambao unaweza kuwamaliza endapo mashabiki wakiisusa timu...

Aisee!
Kwa hiyo unataka kusema simba haihusiani na ccm! Yaani Mo alikuwa ni mbunge wa ccm Singida huko, na Mangungu alikuwa ni mbunge wa ccm Kilwa huko! Na bado unafikiri simba na yenyewe haifungamani na ccm kama ilivyo kwa Yanga!! Wewe kuwa tu mpole. Hivi vilabu viwili ni matawi ya ccm.
Najua viongozi wa Simba ni CCM ila nachokataa mimi ni kutumia Club kama jukwaa la kuinadi CCM.
 
Najua viongozi wa Simba ni CCM ila nachokataa mimi ni kutumia Club kama jukwaa la kuinadi CCM.
Haya ni makosa ambayo hayatakiwi kuungwa mkono. Kwenye ile hafla yao, walitakiwa washiriki wao kama wao. Hawakutakiwa kwa namna yoyote ile kuitaja timu ya Yanga.
Na iwapo haya mambo yataendelea, kuna watu wataichukia Yanga kama ilivyo kwa timu kwa Taifa stars.
 
GSM ni mfanyabiashara (wa kiafrika).
Hizo pesa alizotoa zitarudi mara mbili kwa kukuibia kodi yako bila kuulizwa na yeyote.
Tunaongelea Yanga ambayo mashabiki tumeichangia, lini walikaa kikao tukakubaliana tutaichangia CCM million mia?

Hiyo GSM ni kampuni yake binafsi na wadau wake anaojuana nao mwenyewe..!!
 
Simba wajifunze kupitia hiki kinachowakuta Yanga

Wakileta ujinga wao si wengine tutaishia kuangalia mechi kwenye banda umiza tu
Hawa mapacha wa karikaoo wote ni matawi ya Ccm.
 
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU

Si tu kwamba aibu tunaona sisi wana yanga na mashabiki ya yanga

Bali hata wao waliochanga wanaona aibu pia

Wamefunga comment huko

LONDON BOY
Kikweli Hersi Mpuuzi sana anazingua kadi yangu ya wanachama inaisha mwezi wa tisa mwaka huu sinunui wala hilo tofali sitoi tena
 
Tunaongelea Yanga ambayo mashabiki tumeichangia, lini walikaa kikao tukakubaliana tutaichangia CCM million mia?

Hiyo GSM ni kampuni yake binafsi na wadau wake anaojuana nao mwenyewe..!!
Sawa.
 
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU

Si tu kwamba aibu tunaona sisi wana yanga na mashabiki ya yanga

Bali hata wao waliochanga wanaona aibu pia

Wamefunga comment huko

LONDON BOY
Tangu lini mbumbumbu wakawa na akili?
Yaani Simba awachagulie wa kuwachangia!
 
Zile "Hela ya Magoli ya Maza" ilikuwa Mbegu,, hizo Bil 10 ndo Matunda yanachumwa sasa...
 
Nimeona GSM kachangia 10B pekee yake na Club ya Yanga imechangia 100M Eng Hersi na GSM wanatumia Yanga kwa maslahi yao ,kweli hakuna cha bure.

NB:Nchi ipo mikononi mwa wanyang'anyi mtu hawezi toa 10B kama hafaidiki chochote.
Na uwanja hawana
 
GSM anachangia majizi ya Ccm Billion 10 hii ni ishara ya ufisadi ana uhakika anaweza kuirudisha na faida
Wezi wanazidi kujimwambafai na hakuna pa kuwagusa
 
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU

Si tu kwamba aibu tunaona sisi wana yanga na mashabiki ya yanga

Bali hata wao waliochanga Tanzania Imara aibu pia

Wamefunga comment huko

LONDON BOY
Simba+ Yanga =Tanzania Imara
 
Back
Top Bottom