Baada ya kuichangai CCM yanga yaona aibu yafunga comment

Baada ya kuichangai CCM yanga yaona aibu yafunga comment

Nimeona GSM kachangia 10B pekee yake na Club ya Yanga imechangia 100M Eng Hersi na GSM wanatumia Yanga kwa maslahi yao ,kweli hakuna cha bure.

NB:Nchi ipo mikononi mwa wanyang'anyi mtu hawezi toa 10B kama hafaidiki chochote.
Hapo miradi yote ya serikali lazima apewe yeye + kufanya Biashara bila tax
 
Back
Top Bottom