Baada ya kuichangai CCM yanga yaona aibu yafunga comment

Baada ya kuichangai CCM yanga yaona aibu yafunga comment

Simba wajifunze kupitia hiki kinachowakuta Yanga

Wakileta ujinga wao si wengine tutaishia kuangalia mechi kwenye banda umiza tu

Mdhamini wa Simba ni CCM 100% hata kama hajachangia hadharani...

Ingawaje kitendo walichofanya timu ya Yanga nadhani wamejiweka kwenye mtego ambao unaweza kuwamaliza endapo mashabiki wakiisusa timu...
 
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU

Si tu kwamba aibu tunaona sisi wana yanga na mashabiki ya yanga

Bali hata wao waliochanga wanaona aibu pia

Wamefunga comment huko

LONDON BOY

Yanga ni team ya nchi, chama na serikali. Ni team kubwa siyo kama mikia haina wenyewe. Na bado mtalia sana miaka hii.
 
Kuna uwezekano wakachangia ila haitakuwa sawa pia. Haya mambo wangefanya hata kimyakimya bila kutangaza. Tuna taasisi tunachangia chama kimyakimya bila kuonekana kwenye harambee. Wanakuja watendaji wanapewa Chao wanasepa. Itakuwa ajabu kuona TRA wamechangia chama kwenye harambee.
Ishu n kuchangia hata kama michango isipokuwa sawa, sasa mtu anasifia simba kutokuwepo afu anajifanya kusahau ishu ya mechi yao ilivyoamuliwa kisiasa
 
Ishu n kuchangia hata kama michango isipokuwa sawa, sasa mtu anasifia simba kutokuwepo afu anajifanya kusahau ishu ya mechi yao ilivyoamuliwa kisiasa
Kuna mstari mwembamba sana wa kuitofautisha Yanga na CCM lakini pia hata Simba pia. 🤣🤣🤣
 
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU

Si tu kwamba aibu tunaona sisi wana yanga na mashabiki ya yanga

Bali hata wao waliochanga wanaona aibu pia

Wamefunga comment huko

LONDON BOY
Kwani wakiacha comments Kuna shida gani? Hao maskini wakichangia na kutukana ndio itabadili nini?
 
Back
Top Bottom