Aisee!Simba wajifunze kupitia hiki kinachowakuta Yanga
Wakileta ujinga wao si wengine tutaishia kuangalia mechi kwenye banda umiza tu
Mdhamini wa Simba ni CCM 100% hata kama hajachangia hadharani...
Ingawaje kitendo walichofanya timu ya Yanga nadhani wamejiweka kwenye mtego ambao unaweza kuwamaliza endapo mashabiki wakiisusa timu...
Najua viongozi wa Simba ni CCM ila nachokataa mimi ni kutumia Club kama jukwaa la kuinadi CCM.Aisee!
Kwa hiyo unataka kusema simba haihusiani na ccm! Yaani Mo alikuwa ni mbunge wa ccm Singida huko, na Mangungu alikuwa ni mbunge wa ccm Kilwa huko! Na bado unafikiri simba na yenyewe haifungamani na ccm kama ilivyo kwa Yanga!! Wewe kuwa tu mpole. Hivi vilabu viwili ni matawi ya ccm.
Haya ni makosa ambayo hayatakiwi kuungwa mkono. Kwenye ile hafla yao, walitakiwa washiriki wao kama wao. Hawakutakiwa kwa namna yoyote ile kuitaja timu ya Yanga.Najua viongozi wa Simba ni CCM ila nachokataa mimi ni kutumia Club kama jukwaa la kuinadi CCM.
Wajinga sisi.Ishu n kuchangia hata kama michango isipokuwa sawa, sasa mtu anasifia simba kutokuwepo afu anajifanya kusahau ishu ya mechi yao ilivyoamuliwa kisiasa
Kwa kweli, simba na Yanga zinawapumbaza sana watu ndo mana ccm wanawatumia mana wanajua simba na Yanga zimebeba wajinga ambao ndo wapiga kuraWajinga sisi.
Tunaongelea Yanga ambayo mashabiki tumeichangia, lini walikaa kikao tukakubaliana tutaichangia CCM million mia?GSM ni mfanyabiashara (wa kiafrika).
Hizo pesa alizotoa zitarudi mara mbili kwa kukuibia kodi yako bila kuulizwa na yeyote.
😂😂😂😂Magoli ya mama yote yamerudi siku moja 😹😹😹
Kabisa huo ni uwekezaji amefanya.GSM anachangia majizi ya Ccm Billion 10 hii ni ishara ya ufisadi ana uhakika anaweza kuirudisha na faida
Hawa mapacha wa karikaoo wote ni matawi ya Ccm.Simba wajifunze kupitia hiki kinachowakuta Yanga
Wakileta ujinga wao si wengine tutaishia kuangalia mechi kwenye banda umiza tu
Kikweli Hersi Mpuuzi sana anazingua kadi yangu ya wanachama inaisha mwezi wa tisa mwaka huu sinunui wala hilo tofali sitoi tenaAmani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Si tu kwamba aibu tunaona sisi wana yanga na mashabiki ya yanga
Bali hata wao waliochanga wanaona aibu pia
Wamefunga comment huko
LONDON BOY
Sawa.Tunaongelea Yanga ambayo mashabiki tumeichangia, lini walikaa kikao tukakubaliana tutaichangia CCM million mia?
Hiyo GSM ni kampuni yake binafsi na wadau wake anaojuana nao mwenyewe..!!
Tangu lini mbumbumbu wakawa na akili?Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Si tu kwamba aibu tunaona sisi wana yanga na mashabiki ya yanga
Bali hata wao waliochanga wanaona aibu pia
Wamefunga comment huko
LONDON BOY
Na uwanja hawanaNimeona GSM kachangia 10B pekee yake na Club ya Yanga imechangia 100M Eng Hersi na GSM wanatumia Yanga kwa maslahi yao ,kweli hakuna cha bure.
NB:Nchi ipo mikononi mwa wanyang'anyi mtu hawezi toa 10B kama hafaidiki chochote.
Wezi wanazidi kujimwambafai na hakuna pa kuwagusaGSM anachangia majizi ya Ccm Billion 10 hii ni ishara ya ufisadi ana uhakika anaweza kuirudisha na faida
Simba+ Yanga =Tanzania ImaraAmani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Si tu kwamba aibu tunaona sisi wana yanga na mashabiki ya yanga
Bali hata wao waliochanga Tanzania Imara aibu pia
Wamefunga comment huko
LONDON BOY
Mawazo ya Maskini mchawiWezi wanazidi kujimwambafai na hakuna pa kuwagusa