Baada ya kuijadili sana interview ya Maxence Melo kuhusu sababu ya kufungia JF, The Chanzo walazimishwa kufuta Hiyo interview Mara moja

Baada ya kuijadili sana interview ya Maxence Melo kuhusu sababu ya kufungia JF, The Chanzo walazimishwa kufuta Hiyo interview Mara moja

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,261
Reaction score
48,864
Nchi hii ni ya maajabu sana ,
Nimekuwapo wakati wa Tawala zote ila sasa hii imekuwa ya maajabu mno!

Katika interview ile aligusia:

1. Kuhusu mtu mzito kumpigia simu kuhusu kwamba atapotezwa na watanzania watapiga kelele miezi kadhaa na kusahau

2. Akagusia kwanini JF imefungiwa

Sasa baada ya kuijadili ile clip wamekuja na conclusions kwamba ifutwe inawasema SERIKALI na Polisi na imekosa mizania

Britanicca

 
haya yote ni matokeo ya jiwe, alifungua ukurasa mpya ambao kama ni ccm hi itaendelea kusalia madarakani basi hakuna atakayeingia na kupunguza speed. hiki chama ni haramu
 
Tarehe 20/Oct - 5/Nov tutafanya sponsored ads kuhamasisha October tutatoka na tutakuwepo. Na itakuwa paid by watanzania.
 
Tarehe 20/Oct - 5/Nov tutafanya sponsored ads kuhamasisha October tutatoka na tutakuwepo. Na itakuwa paid by watanzania.

Safi sana. Itabidi sponsored ads ziwe nyingi mitandao tofauti tarehe za mwishoni october. Japo sidhani kama meta wanakubali this type of ads
 
Jiwe yupo kaburini anahusikaje hapa!?
kuna baadhi ya vitu ni trend fulani, mtu mmoja anafanya jambo fulani kwa kiwango cha ajabu alafu ni kibaya na kinamnufaisha , sasa watu wanakuja kuiga na kwenye kuiga huwa wanajitahidi kuboresha zaidi kile walichokiona.

kama tukienda kwa mifano angalia 2020, alafu njoo 2024 sasa subiria 2025 utanielewa mkuu
 
Back
Top Bottom