The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Long live and stay safe Max
Wewe ni akili huna, acheni kumsingizia Baba wa watu, kipindi mama yenu anaingia si mlisema kuwa mama ana utu na ni mlezi haya ngoja awalee.haya yote ni matokeo ya jiwe, alifungua ukurasa mpya ambao kama ni ccm hi itaendelea kusalia madarakani basi hakuna atakayeingia na kupunguza speed. hiki chama ni haramu
Wewe ni akili huna, acheni kumsingizia Baba wa watu, kipindi mama yenu anaingia si mlisema kuwa mama ana utu na ni mlezi haya ngoja awalee.
Huu ujinga wa kumsingizia mwingine na anaeongoza ni mwingine acheni yani unaonekena hazikutoshi kabisa
Mi binafsi nachoamini tawala na pinzani wote hamna kitu
Mi binafsi wanasiasa wote nawaona wehu haijalishi chsma walichopo.
Kifupi sina mkataba nao wa kudumu
Yani unamlalamikia mtu mwingine aliye chini ya ardhi kwa sasa wakati kuna Rais wa sasa ambae akiamua kufuta huu ujinga wote inawezekana bila shida yoyote ila yeye kachagua njia ya kushupaza shingomimi ni mtu wa aina hii mkuu
mwiko ukivunjwa kinachofata ni muendelezo
umeongelea suala la ujinga, hata mimi nawaona wanaomuona huyu mama ndo tatizo pekee na si ccm kwa ujumla wake nawaona hawana akili pia
Upo sahii kwa 100%haya yote ni matokeo ya jiwe, alifungua ukurasa mpya ambao kama ni ccm hi itaendelea kusalia madarakani basi hakuna atakayeingia na kupunguza speed. hiki chama ni haramu
sijui kwanini hakuliona hili,ccm hawana adabu wala haya hawana yani kila atakaekuja ataiga mambo ya ajabu as much as nilimkubali JPM kuna mambo alikosea sijui alihisi ataishi milele?haya yote ni matokeo ya jiwe, alifungua ukurasa mpya ambao kama ni ccm hi itaendelea kusalia madarakani basi hakuna atakayeingia na kupunguza speed. hiki chama ni haramu
sawa mkuuYani unamlalamikia mtu mwingine aliye chini ya ardhi kwa sasa wakati kuna Rais wa sasa ambae akiamua kufuta huu ujinga wote inawezekana bila shida yoyote ila yeye kachagua njia ya kushupaza shingo
Hakuna kuabudu viumbe wapitao,Hawataki kusemwa,basi wafungue dhehebu tuwaabudu
shukrani mkuu, watu wanafumbia macho tu,Upo sahii kwa 100%
Jiwe ndo Muhasisi wa haya yote yanayoendelea Mzizi umesambaa mno ni ngumu kuungoa
naam yanatugharimu sana, fungia siasa, uchaguzi wa 2020 ile, tishia tishia kila mtusijui kwanini hakuliona hili,ccm hawana adabu wala haya hawana yani kila atakaekuja ataiga mambo ya ajabu as much as nilimkubali JPM kuna mambo alikosea sijui alihisi ataishi milele?
Kwamba BWM, JMK na wengineo hawakufanya haya? Mkuu umezaliwa juzi? Watu wameuwawa toka JKN na hii nchi huwa inamaliza wakosoaji kwa namna hii ya kunyamazisha na kupoteza, now that tech has advanced, hakuna kinachofanyika bila kujulikana, everything is open kama nyet8 za kuku.haya yote ni matokeo ya jiwe, alifungua ukurasa mpya ambao kama ni ccm hi itaendelea kusalia madarakani basi hakuna atakayeingia na kupunguza speed. hiki chama ni haramu
nakubaliana na unachosema, nilichotaka kuangazia ukimtoa mfalme JKN , jiwe kaonyesha scale kubwa ya kuvunja taratibu tena kwa wazi kabisa --- hii damage yake ni kubwa sanaKwamba BWM, JMK na wengineo hawakufanya haya? Mkuu umezaliwa juzi? Watu wameuwawa toka JKN na hii nchi huwa inamaliza wakosoaji kwa namna hii ya kunyamazisha na kupoteza, now that tech has advanced, hakuna kinachofanyika bila kujulikana, everything is open kama nyet8 za kuku.
SI katiba kupindishwa, bali tuna katiba mbovu.nakubaliana na unachosema, nilichotaka kuangazia ukimtoa mfalme JKN , jiwe kaonyesha scale kubwa ya kuvunja taratibu tena kwa wazi kabisa --- hii damage yake ni kubwa sana
mfano katiba wengi tu wanapindisha, ila 2021 kama ingepindishwa kwenye kurithi kiti akaja kurithi mtu mwingine tofauti na makamu , katiba isingekuja kupata hata chembe ya heshima tena na magenge mbalimbali ni dhahiri yangekua tishio kubwa miaka ya mbele unless reforms
Yaani mtu anashindwa kukujibu kwa hoja anakimbilia matusiupo timamu kweli?
Media censorship ni common kwenye tawala za kidikteta ambazo wewe umesema unazipendaCCM think this is 1990s. Media censorship is an outdated and draconian tactic
Kuna siku nilisema jiwe amatuachia beautiful playbook ambayo watawala wote wa ccm wanaomfuata watakitumiaUpo sahii kwa 100%
Jiwe ndo Muhasisi wa haya yote yanayoendelea Mzizi umesambaa mno ni ngumu kuungoa
Watanzania hawawezi kukuelewa sababu wengi wao niwasahaulifu huwezi amini wengi wao matendo ya jiwe wameshayasahaunakubaliana na unachosema, nilichotaka kuangazia ukimtoa mfalme JKN , jiwe kaonyesha scale kubwa ya kuvunja taratibu tena kwa wazi kabisa --- hii damage yake ni kubwa sana
mfano katiba wengi tu wanapindisha, ila 2021 kama ingepindishwa kwenye kurithi kiti akaja kurithi mtu mwingine tofauti na makamu , katiba isingekuja kupata hata chembe ya heshima tena na magenge mbalimbali ni dhahiri yangekua tishio kubwa miaka ya mbele unless reforms