Baada ya kuijadili sana interview ya Maxence Melo kuhusu sababu ya kufungia JF, The Chanzo walazimishwa kufuta Hiyo interview Mara moja

Baada ya kuijadili sana interview ya Maxence Melo kuhusu sababu ya kufungia JF, The Chanzo walazimishwa kufuta Hiyo interview Mara moja

Hawa chukuwachakomapema wamedata au?!
Kutumia vyombo vya serikali kufanya haya madudu kunaleta picha gani?!
Kweli HAWAFAI KUTUONGOZA!
TUWATUPE KULE...
 
Wafute tu mkuu, tear ipo kwa file za sim zetu, tutaisambaza kienyeji ya nini kupigizana kelele na pimbi aiseeee.
 
Katika interview ile aligusia
1. Kuhusu mtu mzito kumpigia simu kuhusu kwamba atapotezwa na watanzania watapiga kelele miezi kadhaa na kusahau

Chama dola kongwe na serikali yake dhalimu wafahamu kuwa kuna nyayo ya kidijitali / digital footprint hazifutiki

ICC The Hague Mahakama ya Kimataifa Uholanzi inakaribia kupewa haki ya kuelekeza hati ya kukamatwa / arrest warrant kwa wale wote walio na leseni ya kuua / licence to kill kwa niaba ya viongozi wa chama / serikali ya CCM. Hii ni pamoja na wawezeshaji, watekelezaji na wanaowalinda watu wadijulikana siku zao za kutiwa mbaroni si nyingi.
 
Tupo kwenye wakati ambao serikali ndiyo ipo mstari wa mbele kuvunja sheria, na hakuna wa kuiwajibisha.
 
Chama dola kongwe na serikali yake dhalimu wafahamu kuwa kuna nyayo ya kidijitali / digital footprint hazifutiki

ICC The Hague Mahakama ya Kimataifa Uholanzi inakaribia kupewa haki ya kuelekeza hati ya kukamatwa / arrest warrant kwa wale wote walio na leseni ya kuua / licence to kill kwa niaba ya viongozi wa chama / serikali ya CCM. Hii ni pamoja na wawezeshaji, watekelezaji na wanaowalinda watu wadijulikana siku zao za kutiwa mbaroni si nyingi.
Tutaanza nao sisi wenyewe hapa hapa. Hatuwezi kusubiri hadi hao toka nje waje hapa.
 
Watu wasiokuw mengi.

Huyo mtu anayejiona yeye anayo madaraka ya kumfanyia uovu mtu mwingine, na kujigamba hawezi kumfanya chochote, atakuwa amesahau kabisa kuwa yeye ni mtu kama walivyo wengine. Madaraka huja na kuondoka, lakini utu unabaki palepale.

Watu limbukeni ndio madaraka huwaingia vichwani kabisa na kujisahau kuwa wao ni watu hafifu kabisa bila ya hayo madaraka. ya kupewa.
 
Huyu aweke huo ushahidi kabla hawajapita nae na huo ushahidi wake. Asimimine bakuli la mchuzi, alibinue kabisa wahuni sii watu wema.
 
Mteknolojia Maxence Melo tuwekee vitu mezani tuhangaike navyo muda ndio huu.
Hata mengine tusiyoyajua tufungashie yote usiache kitu kulinda udhalimu.
 
Back
Top Bottom