Halafu utaona watu wanatekwa wanafurahi kana kwamba wao kuingia na majina bandia humu wapo salama.Duuuh!! Hadi inaogopesha, sasa km CEO anatishwa hivi, je members wake? Wako hatarini kiasi gani?
Wauweke huo ushahidi mezani now....kesho yetu haina uhakika....hope amejifunza kwa yaliyomtokea slowslowHii ni moja ya kauli Maxence aliongea wakati akifanya mazungumzo na kituo cha habari kinachojulikna kama The Chanzo, week kadhaa nyuma.
Another "Uzi mfupi ila unawafikia"
Maxence Melo weka ushahidi uokoe wengineHii ni moja ya kauli Maxence aliongea wakati akifanya mazungumzo na kituo cha habari kinachojulikna kama The Chanzo, week kadhaa nyuma.
Another "Uzi mfupi ila unawafikia"
Sure Maxence MeloMaxence Melo weka ushahidi uokoe wengine
Dah kumbe linyuzi langu liliungwanisha? itakuwa mbogamboga wamepiga sana simu.Maxence Melo weka ushahidi uokoe wengine
Utamponza mwenzio. Ohoooo!Nimesikiliza lecture ya Maxence Melo kwa vijana wa TLS jana tarehe 22/09.
It suffice to say Max is a man of principle, he does not cower to any master or bend to any threat. Such is a rarity.
Nimesikiliza lecture ya Maxence Melo kwa vijana wa TLS jana tarehe 22/09.
It suffice to say Max is a man of principle, he does not cower to any master or bend to any threat. Such is a rarity.
Yaani.Halafu utaona watu wanatekwa wanafurahi kana kwamba wao kuingia na majina bandia humu wapo salama.