britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
Ipo siku utashindwa kubeba mimba ya mumeo na kuanza kumlaumu JPMhaya yote ni matokeo ya jiwe, alifungua ukurasa mpya ambao kama ni ccm hi itaendelea kusalia madarakani basi hakuna atakayeingia na kupunguza speed. hiki chama ni haramu
upo timamu kweli?Ipo siku utashindwa kubeba mimba ya mumeo na kuanza kumlaumu JPM
Hapana, nataka kutumia akili zako wwupo timamu kweli?
Mitume na manabii wa MUNGU walipingwa sembuse mwanadamuHawataki kusemwa,basi wafungue dhehebu tuwaabudu
Jiwe yupo kaburini anahusikaje hapa!?haya yote ni matokeo ya jiwe, alifungua ukurasa mpya ambao kama ni ccm hi itaendelea kusalia madarakani basi hakuna atakayeingia na kupunguza speed. hiki chama ni haramu
Tarehe 20/Oct - 5/Nov tutafanya sponsored ads kuhamasisha October tutatoka na tutakuwepo. Na itakuwa paid by watanzania.
kuna baadhi ya vitu ni trend fulani, mtu mmoja anafanya jambo fulani kwa kiwango cha ajabu alafu ni kibaya na kinamnufaisha , sasa watu wanakuja kuiga na kwenye kuiga huwa wanajitahidi kuboresha zaidi kile walichokiona.Jiwe yupo kaburini anahusikaje hapa!?
Mbona wamekubali za kampeni za ccm?Safi sana. Itabidi sponsored ads ziwe nyingi mitandao tofauti tarehe za mwishoni october. Japo sidhani kama meta wanakubali this type of ads
CloakingSafi sana. Itabidi sponsored ads ziwe nyingi mitandao tofauti tarehe za mwishoni october. Japo sidhani kama meta wanakubali this type of ads