Baada ya kuijadili sana interview ya Maxence Melo kuhusu sababu ya kufungia JF, The Chanzo walazimishwa kufuta Hiyo interview Mara moja

Duuuh!! Hadi inaogopesha, sasa km CEO anatishwa hivi, je members wake? Wako hatarini kiasi gani?
Halafu utaona watu wanatekwa wanafurahi kana kwamba wao kuingia na majina bandia humu wapo salama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…