Uchaguzi 2020 Baada ya kuishiwa pumzi, CCM wawaita Wanawake ni Malaya

Uchaguzi 2020 Baada ya kuishiwa pumzi, CCM wawaita Wanawake ni Malaya

Hahhaaha wewe kiukweli huna hadhi kbs na Eli..jikubali tu mkuu! Kiroho Safi..kuanzia elimu had exposure!
Msomi gani una mdomo mchafu hivyo..kwendraaa
Ndio maana nasema aweke elimu yake hapo nami niweke yangu. Na kwa kuwa umeongeza exposure aweke pia nami nitaweka exposure yangu ili ulinganishe vizuri.
 
Kama kuna mambo yanakera na kuumiza ni kumuita mwanamke Malaya! Ndugu zetu wa CCM baada ya kuzidiwa points wameamua kuhamia kwenye matusi...
Mimi siungi mkono kutumia lugha isiyokubalika kwa wagombea; hata hivyo nahisi tujikite kwenye hoja za kuendeleza watanzania; Kama Muheshimiwa Lisu anavyosema ataongeza Ajira kwa vijana nk.

Haya mengine yasiyokuwa na MASHIKO kama hayo au yale ya Mbunge Halima Mdee kusema Gwajima ni MREMBO yanatutoa nje ya mada ya maendeleo kwani Halima hakumaanisha kuwa wanaume wote watanzania ni warembo?

Hivyo ni vihoja tu kwenye kampeni....TUSIPOTOSHE AGENDA, TUCHAMBUE ILANI ZA VYAMA.
 
Kamasema Esther Matiko ndo malaya siyo wanawake wote, acha tabia za Kisambaa akitukanwa mmoja anawaambia wenzie wote kwamba wametukanwa
Nkurumah na Nyerere (Rip) waliwahi kusema kama bado kuna nchi kadhaa katika Afrika hazijapata uhuru, basi Afrika nzima bado sio huru.

Mawazo ya mtu ni dhihirisho tosha ya kuonyesha namna alivyo hata kama hujamuona physically.
 
Inafaa kutumika hata kwa mama yako pia kwasababu naye ni mwanamke.

Sio kila mwanamke ni malaya na sio kwamba huyo aliyeongea ametukana wanawake wote
20200901_082913.jpg

Huyo msemaji anatakiwa kukanusha au kuhalalisha umalaya wa huyo mwanamke anayemtaja
 
Mimi nahisi tujikite kwenye hoja za kuendeleza watanzania; Kama Muheshimiwa Lisu anavyosema ataongeza Ajira kwa vijana nk
Haya mengine yasiyokuwa na mashiko kama hayo au yale ya Mbunge Halima Mdee kusema Gwajima ni mrembo hajamaanisha wanaume wote watanzania ni warembo?
hivyo ni vihoja tu kwenye kampeni
Mmh sikuona mahali Mdee akimtaja mtu kwa jina... Alichosema ni kwamba 'tumeletewa mrembo' na wala hakumtaja huyo aliyewaletea mrembo...
 
Back
Top Bottom