Uchaguzi 2020 Baada ya kuishiwa pumzi, CCM wawaita Wanawake ni Malaya

Uchaguzi 2020 Baada ya kuishiwa pumzi, CCM wawaita Wanawake ni Malaya

Mtu akija mbele zako kisha akaanza kumtukana mtu ambaye hayupo eneo la tukio, kimsingi anakutukana wewe unayemsikiliza.

Matusi sio ujumbe hivyo hayawezi kutumwa, mtu akikupa matusi umpelekee mwingine anakuwa kakutukana wewe.
Kama ni hivyo..waliokuwepo wakisikiliza ni wanawake na wanaume, why mgeneralize wanawake wote wametukanwa?
 
Sio kila mwanamke ni malaya na sio kwema huyo aliyeongea ametukana wanawake wote
View attachment 1555089
Huyo msemaji anatakiwa kukanusha au kuhalalisha umalaya wa huyo mwanamke anayemtaja
Mimi ni mwanaume, lakini siwezi kumbeza mwanamke kwa hali yake yoyote ile. Hata mwanamke anayeitwa malaya ni mama. Na hataacha kuwa mama hata kama ni mwendawazimu.

Umewahi kumwona mwanamke hata ambaye akili yake siyo timamu ameukumbatia mdoli wake? Unapata ujumbe gani? Watu waache kuwabeza wanawake, ni wazazi wetu.

Kama humpendi mwanamke fulani sema humpendi lakini hiyo labeling haikubaliki kwa jamii iliyostaarabika.
 
Mimi ni mwanaume, lakini siwezi kumbeza mwanamke kwa hali yake yoyote ile. Hata mwanamke anayeitwa malaya ni mama. Na hataacha kuwa mama hata kama ni mwendawazimu. Umewahi kumwona mwanamke hata ambaye akili yake siyo timamu ameukumbatia mdoli wake? Unapata ujumbe gani? Watu waache kuwabeza wanawake, ni wazazi wetu. Kama humpendi mwanamke fulani sema humpendi lakini hiyo labeling haikubaliki kwa jamii iliyostaarabika.
Siasa na kampeni ni uwanja wa ushindani. Na kila mgombea anajitahidi kupata ridhaa ya wananchi kuutumia udhaifu au kuonyesha udhaifu wa mwenzie. Personal attacks ni mbaya mno na sio kwa wagombea hata hapa jukwaani.

Kikubwa ni kufuata ushauri wa rais John Pombe Magufuli kwamba zifanywe kampeni za kistaarabu, hoja zijibiwe kwa hoja na sio jazba na matusi
 
Kama ni hivyo..waliokuwepo wakisikiliza ni wanawake na wanaume, why mgeneralize wanawake wote wametukanwa?
Nadhani upo sahihi kuwa walitukanwa wote (kwa kusikiliza) ila specifically tusi ni la kike, wanaume wametukanwa indirectly kwa kuwa wana unasaba na wanawake in one way or another (mama, dada, mke etc)
 
Yaani kwa kuwa MaCCM yana jimilikisha malaya wote.

Yana Samaia wanaemchezea watakavyo, wameanza msifia sifia mweupe, na mama zao wanaowauza kwa jogoo la kuku, na wale malaya wao wanao wa nunua kwa kanga na vitenge, basi wanaamini kua wanawake wote wa Tanzania ni malaya.

CCM Ilishajifia hii, wanatapa tapa tu.
 
Huyu ni Mwakilishi wa CCM ngazi ya Wilaya huko Tarime akimuita Esther Matiko kama Malaya, kwakua huyu ni Mwenyekiti wa CCM Wilaya tunaamini anachoongea ndio msimamo wa CCM Taifa kuwa CCM siku hizi wanawachukulia wanawake kama Malaya.
Hakutumwa huyo na mwenyekiti wetu
 
Back
Top Bottom