Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
- Thread starter
-
- #41
Muache arukeruk3 kama maharage yanayochemshwaKwahiyo hoja unayojenga hapa ni kwamba mama yako siyo mwanamke? Ccm itaizika hii nchi kabisa [emoji23][emoji23]. Kazi kweli kweli.
Ndio maana nasema aweke elimu yake hapo nami niweke yangu. Na kwa kuwa umeongeza exposure aweke pia nami nitaweka exposure yangu ili ulinganishe vizuri.Hahhaaha wewe kiukweli huna hadhi kbs na Eli..jikubali tu mkuu! Kiroho Safi..kuanzia elimu had exposure!
Msomi gani una mdomo mchafu hivyo..kwendraaa
Hahahaha eti anataka kujua elimu yangu....! Umemjibu vyema!Hahhaaha wewe kiukweli huna hadhi kbs na Eli..jikubali tu mkuu! Kiroho Safi..kuanzia elimu had exposure!
Msomi gani una mdomo mchafu hivyo..kwendraaa
Thread ClosedLakini kamtaja mwanamke mmoja sio wote
malayaKwani neno malaya matumizi yake ni yapi?
Ni wa kukemewa. Hawa wakiacha wazaliane ni kama invasive species. Wataliharibu taifa hili ambalo limeshaanza kumomonyoka.Muache arukeruk3 kama maharage yanayochemshwa
Mimi siungi mkono kutumia lugha isiyokubalika kwa wagombea; hata hivyo nahisi tujikite kwenye hoja za kuendeleza watanzania; Kama Muheshimiwa Lisu anavyosema ataongeza Ajira kwa vijana nk.Kama kuna mambo yanakera na kuumiza ni kumuita mwanamke Malaya! Ndugu zetu wa CCM baada ya kuzidiwa points wameamua kuhamia kwenye matusi...
AmenNi wa kukemewa. Hawa wakiacha wazaliane ni kama invasive species. Wataliharibu taifa hili ambalo limeshaanza kumomonyoka.
Nkurumah na Nyerere (Rip) waliwahi kusema kama bado kuna nchi kadhaa katika Afrika hazijapata uhuru, basi Afrika nzima bado sio huru.Kamasema Esther Matiko ndo malaya siyo wanawake wote, acha tabia za Kisambaa akitukanwa mmoja anawaambia wenzie wote kwamba wametukanwa
Inafaa kutumika hata kwa mama yako pia kwasababu naye ni mwanamke.
Mmh sikuona mahali Mdee akimtaja mtu kwa jina... Alichosema ni kwamba 'tumeletewa mrembo' na wala hakumtaja huyo aliyewaletea mrembo...Mimi nahisi tujikite kwenye hoja za kuendeleza watanzania; Kama Muheshimiwa Lisu anavyosema ataongeza Ajira kwa vijana nk
Haya mengine yasiyokuwa na mashiko kama hayo au yale ya Mbunge Halima Mdee kusema Gwajima ni mrembo hajamaanisha wanaume wote watanzania ni warembo?
hivyo ni vihoja tu kwenye kampeni
Kama kuna mambo yanakera na kuumiza ni kumuita mwanamke Malaya! Ndugu zetu wa CCM baada ya kuzidiwa points wameamua kuhamia kwenye matusi...
Mtu akija mbele zako kisha akaanza kumtukana mtu ambaye hayupo eneo la tukio, kimsingi anakutukana wewe unayemsikiliza.Lakini kamtaja mwanamke mmoja sio wote
Kwa tafsiri hiyo inathibitisha kuwa sio kila mwanamke ni malaya.malaya
mwanamke anayeuza mwili wake kwa wanaume kimapenzi...
Kama sio malaya kweli aliyesema akanushe na kuomba radhi, na kama ni malaya kweli basi alete ushahidiHoja nzito sana hii