Uchaguzi 2020 Baada ya kuishiwa pumzi, CCM wawaita Wanawake ni Malaya

Uchaguzi 2020 Baada ya kuishiwa pumzi, CCM wawaita Wanawake ni Malaya

Huyo mwakilishi wa CCM amekosea na chama kitamuwajibisha kwa hilo kama hicho alichokisema kitakosa utetezi. Maana shida ipo kwenye upatikanaji wa wagombea ubunge chadema

Siasa buana... dada yangu kule kawe nae kamwita baba mchungaji mrembo, sijui sheria inasemaje pale
 
Tarime Mjini kumenoga tunarudi Nyumbani kuliponoga
 
Huyo mwakilishi wa CCM amekosea na chama kitamuwajibisha kwa hilo kama hicho alichokisema kitakosa utetezi. Maana shida ipo kwenye upatikanaji wa wagombea ubunge chadema

Siasa buana... dada yangu kule kawe nae kamwita baba mchungaji mrembo, sijui sheria inasemaje pale
Hivi handsome kiswahili si Mwanaume mrembo !
 
Mleta mada nawe akili yako sawa na huyo kiongozi wenu wa Tarime

Kwahiyo we unataka kutuaminisha kuwa nyumbani kwenu kama mdogo ako akiwa mwizi basi familia yote ni wezi? (Kiongozi wa Tarime)

AU

Dada yako akiwa malaya basi na ndugu zako wengine wote wa kike ni malaya? (Esther Matiko)

Kazungumziwa Ester Matiko, Je utajuaje kama kweli sio malaya? Kwani we malaya wa tanzania hii unawajua wote?

Unaposema kawatusi wanawake wote, kwani nani kakwambia Matiko ndo kabeba tabia za wanawake wote hapa Tanzania?

You have a big brain and I appreciate you, lakin nashangaa you think like a bamboo drunkard.

Naungana na wewe kuwa alichofanya sio jambo sahihi na inabidi akemewe lakini sikubaliani na ww kuwa huyo jamaa ndo kabeba mawazo na maono yote ya wanaCCM
 
Weka hapa elimu yako na mimi niweke yangu tulinganishe. Hujui hata matumizi ya neno halafu unakurupuka kukosoa!

Hahhaaha wewe kiukweli huna hadhi kbs na Eli..jikubali tu mkuu! Kiroho Safi..kuanzia elimu had exposure! Msomi gani una mdomo mchafu hivyo..kwendraaa
 
Mama yangu hakuwana sifa ya malaya Pia usisahau na mama yako kama naye anajiuza.
Kwahiyo hoja unayojenga hapa ni kwamba mama yako siyo mwanamke? Ccm itaizika hii nchi kabisa [emoji23][emoji23]. Kazi kweli kweli.
 
Kwahiyo hoja unayojenga hapa ni kwamba mama yako siyo mwanamke? Ccm itaizika hii nchi kabisa [emoji23][emoji23]. Kazi kweli kweli.
Neno malaya halitumiki kwa kila mwanamke. Chukua kamusi ya Kiswahili usome tafsiri yake. Ningeweza kukutafsiria maana yake lakuni kwa kuwa mashabiki wengi wa upinzani ni wavivu wa kutafiti ndio maana nakuambia tafuta usome. kamusi
 
Kama kuna mambo yanakera na kuumiza ni kumuita mwanamke Malaya! Ndugu zetu wa CCM baada ya kuzidiwa points wameamua kuhamia kwenye matusi.

Huyu ni Mwakilishi wa CCM ngazi ya Wilaya huko Tarime akimuita Esther Matiko kama Malaya, kwakua huyu ni Mwenyekiti wa CCM Wilaya tunaamini anachoongea ndio msimamo wa CCM Taifa kuwa CCM siku hizi wanawachukulia wanawake kama Malaya...
Kama tume inge kuwa huru hili tusi lilitosha kumuengua mgombea wa Ccm
 
Back
Top Bottom