Baada ya kukaa kanda ya ziwa kwa miaka 5, nimejifunza yafuatayo

Lengo lako lilikua ni kutunanga huku kaskazini ila pesa kila mtu anaipenda ndio maana mnaamka kwenda kutafuta kila siku
 
Tabora ni kanda gani? Sina hamu nao
 
Nimejifunza kabila la wasukuma ni kama maji usipoyanywa utayaoga.
Hapa unamaanisha nini?

Kuwa muwazi usiogope.
Kanda ya ziwa wana msimamo usioyumba kabisa.
Haya ndio husababisha mauaji yasiokwisha kwa visababu vidogo tu kama mbuzi na mapenzi?

Mleta mada I wholeheartedly naomba ujibu haya maswali ili tujue ulichoandika umedhamiria au kama kawaida ya ukabila wa kijinga.

My conclusion is I seriously F hate this kind of threads hasa zilizojaa ukabila na udini.
 
Rudi kafanye utafiti tena.
 
Unajitia kidole matakoni unanusa
 
Sasa kama ulitaka kuwazungumzia wasukuma kwa nini uzunguke zunguke kama mwenye kuharisha!

Wewe ni kati ya wasukuma wabaya. Kanda ya ziwa kuna waTanzania wengi, wakiwemo wasukuma ambao hawana tabia za hovyo kama ulizo nazo wewe, za ukabila.
upo sahihi kabisa , nilifikiri kuna taarifa Muhimu za kumsaidia mtu anaetarajiwa kuishi ,kusoma au biashara ukanda huo kumbe ni porojo na propaganda za ukabila.
 
Nakubaliana na wewe ndugu niliwahi kwenda mara moja kule.
Ni watu hawana uchoyo ukienda utakula vyakula hadi uchoke mwenyewe na wala hawahitaji pesa yako kwa ajili ya kununua chakula.
Ili mradi tu ukienda uwe na reference wakujue amekuleta nani au umetokea wapi maana kule huwa wana vikundi vya sungusungu kwa ajili ya ulinzi wao binafsi
 
Mimi nimeishiwa pale ulipoandika Kanda ya ziwa wanakadiriwa kufika 32m kwa sensa ya mwaka 2002
 
Mimi ni mwenyej wa hapa mwanza mzaliwa kabisa lakini kwa unafiki nakupinga kuna wanyamwezi ni wanafiki balaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…