Baada ya kukaa kanda ya ziwa kwa miaka 5, nimejifunza yafuatayo

mzee umewahi kuishi mbulu au Singida?
 
nasikia wanakula ugali mkubwa paka haruki
 
Wasukuma ndio kabila kubwa kuliko makabila yote Tanzania, sio kwa kanda ya ziwa tu.

Mikoa yote ya Kanda ya ziwa wasukuma wapo, Mara, Shinyanga, Tabora, Simiyu, Mwanza, Geita, pande za Kigoma na Katavi.
bila shaka wanazaliana Sana...vipi wana utamaduni wa mitala/ ndoa za wake wengi?
 
Hehehe tulikufanyeje mkuu, tabora ni kanda ya magharibi.
Hamis Kigwangalla, Lipumba nk kwa uchache

Kuna picha wanaijengea jamii ya watu wa huko[emoji1][emoji1]
 
Tuwekee Twakimu za hiyo sensa ili tuone kama kweli hiyo mikoa 5 ya kanda ya ziwa ina jumla ya asilimia 53 ( yaani zaidi ya nusu ya watanzania) ya watanzania wote....kumbuka no research no write to speak....
 
Hamis Kigwangalla, Lipumba nk kwa uchache

Kuna picha wanaijengea jamii ya watu wa huko[emoji1][emoji1]
Ooh hao kina kigwangalla na lipumba si wawakilishi wa wanyamwezi mkuu

Wanyamwezi wengi ni wakalimu sana japo wapo washenzi pia.
 
Reactions: T11
Njoo na data
huyo aliyesema wako milioni 32 ndio anatakiwa atuwekee data hapa na source yake.
Maana kwa hesabu ya haraka haraka tu Dar es salaam ndio mkoa wenye population kubwa ya watu ambayo ni milioni 6,mikoa mingine iliyobaki inacheza milioni 3 au 4,sasa how comes mikoa minne itimize idadi ya milioni 32 ni hesabu ndogo ambayo haihitaji uwe msomi
 
Wanawake wa huku wanachura balaa af matumbo flat.
Wana ngozi angaavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…