DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Jamaa Ni mzabuni wa dunia[emoji4][emoji119]El Chapo akiwa anahojiwa na muandishi wa habari Sean Penn wa jarida la The rollingstone hivyo vitu aliviongelea.
Nukuu kutoka kwa El Chapo.. “I supply more heroin, methamphetamine, cocaine and marijuana than anybody else in the world. I have a fleet of submarines, airplanes, trucks and boats.”