Baada ya kukamatwa mtoto was El Chapo, Zimepigwa Kinoma Mexico

Baada ya kukamatwa mtoto was El Chapo, Zimepigwa Kinoma Mexico

Hayo ndio madhara ya ufisadi. Mtu anajijenga, anamiliki jeshi dogo kwa kisingizio cha ulinzi binafsi. Anatumia pesa kupenya mihimili muhimu huku vyombo vya ulinzi vimelala. Anatoa misaada kwa fedha chafu hadi jamii inamuamini.

Sasa unafikia hatua kupambana na mtu kama huyu unatumia jeshi sio Polisi na bado casualties kibao! Ana jeshi dogo lenye mafunzo na silaha kali, wananchi pia wanamuunga mkono sababu ya misaada ya pesa chafu.

Tuombe Mungu tuwe na wazalendo wa kulinda Taifa kwa gharama yoyote.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Mimi nipigane kwa kuitetea serikali ya ccm? Aaah thubutuuu
 
Wkt mwingine linakua dili lakumpoteza kwakua wengine hawana nguvu yakuuza kwakua chimbo zote zinakua zake so genge lingine linakula dili na mwela ilijamaa akamatwe...
Wachambuzi wa hayo masuala wamesema kukizima Hilo gang kutapelekea kuibuka kwa jingine ambalo ndio la pili Kwa ma gang wenye nguvu Mexico. Hivyo inaweza kuwa ni mchongo kweli
 
Nukuu kutoka kwa El Chapo.. “I supply more heroin, methamphetamine, cocaine and marijuana than anybody else in the world. I have a fleet of submarines, airplanes, trucks and boats.”
Vitu vinavyopukutisha matajiri na masikini kwa kasi Ila jiulize kwenye zile Sober House umewahi kumuona mwenye Pesa anahudhulia dozi ya methadone?
 
Serikali ya mexco ni dhaifu inatawaliwa na magenge ya wauza mihadarati. Serikali zingine ziko imara kupambana na makundi hayo kiasi cha kulazima kuuza kwa hali ya usiri mkubwa na kutojulikana. Wamefanya uharibifu mkubwa wa mali za umma na binafsi, wamechoma magari. Cha ajabu hayo magenge yana makaburi yao ya kifahari na serikali haiwafanyi kitu
Hayo madawa ni utamaduni wao. Presha kutoka serikali za nje ndiyo zinawafanya kufanya hizo operations.
 
The Sinaloa cartel gave the Mexican government an ultimatum. If Ovidio, El Chapo's son, is not released within 72 hours, gas stations and government buildings will be burned. The cartel fears Ovidio's extradition to the US.
Na hao lazima wafanye kweli
 
Mtandao ni mkubwa sana, hiyo ni kujisafisha maana Joe Biden ana ziara Mexico. Toka miezi 6 iliyopita alikuwa anatafutwa inamaana serikali yake walikuwa hawajui alipo?

Basi ni vizuri kwa ziara hiyo maana isingekuwepo huyo jamaa asingedakwa!
 
Wameliachia vip wakati wamezidiwa nguvu kwani hao jamaa dunia nzima watu wa dili za unga wana nguvu kuliko serikali..Ndo maana hyo biashara haiwezi kuisha.

Tambua Chapo alikuwa na nguvu kuliko serikali alishawai kulipa mpaka madeni ya serikali ya nje ...Utamwambia nn?[emoji1787]
Acha uongo hajawahi lipia deni lolote lile
 
Wachambuzi wa hayo masuala wamesema kukizima Hilo gang kutapelekea kuibuka kwa jingine ambalo ndio la pili Kwa ma gang wenye nguvu Mexico. Hivyo inaweza kuwa ni mchongo kweli

Kwa hiyo hawa jamaa na magaidi hawana tofauti!
 
Una uhakika?
Ni nini sasa kama si ulegevu wa serekali?. Kwamba vyombo vya usalama inakamata mtuhumiwa wa uhalifu, kundi la mtuhumiwa linafanya fujo na kuuwa Watu mpaka vyombo vya usalama vinaamua kumwachia mtuhumiwa.
 
Ni nini sasa kama si ulegevu wa serekali?. Kwamba vyombo vya usalama inakamata mtuhumiwa wa uhalifu, kundi la mtuhumiwa linafanya fujo na kuuwa Watu mpaka vyombo vya usalama vinaamua kumwachia mtuhumiwa.
Ndugu unataka kuleta ubishi TU usio na mashiko; mfano mzuri hapa kwetu wangapi hawagusiki?
 
Basi ni vizuri kwa ziara hiyo maana isingekuwepo huyo jamaa asingedakwa!
Maulaga59

Yani hao Kingpin wana kanuni yao moja hata ukimshika yeye hauwezi ukaua hiyo biashara maana tayari kuna watu wana uraibu nayo. Ndiyo maana unakuta unaweza ukawa kwenye hiyo biashara ukiwa kwenye system indirect way maana hushiki drugs na hazipiti kwako ila kila mwisho wa mwezi mkeka unasoma.

Kwanza wana pesa chafu El Nito ameshikwa lakini tayari kuna mrithi wake na soko lao kubwa ni kwa bwana Biden. Nao wanabuni mbinu mpya kila siku zakusafirisha. Ukiona documentary ya Pablo Escobar na kina Denis Castillo itakupa mwanga.
 
Back
Top Bottom