Baada ya kukamatwa mtoto was El Chapo, Zimepigwa Kinoma Mexico

The Sinaloa cartel gave the Mexican government an ultimatum. If Ovidio, El Chapo's son, is not released within 72 hours, gas stations and government buildings will be burned. The cartel fears Ovidio's extradition to the US.
 
Ngoja tuone kama watamuachia kama mara ya kwanza.

Mpska sasa watu 29 wamekufa na vinu vinaendelea kulia huko Culiacana.
Ndio maana tunawaambia siku zote usipo ziba ufa utajenga ukuta.

Serikali ya Mexico iliachilia hili genge la wauza madawa chini ya kiongozi wao Elchapo (baba) likakua na kujiimarisha kiuchumi na silaha sasa wanafanya wanavyo taka. kila kukicha serikali inahangaika.

Hili ni funzo kwa Serikali yetu ya Tanzania kupitia kitengo cha kupambana na madawa ya kulevya wanapaswa wapambane kikamilifu na kuwatokomeza wauza madawa ya kulevya, vinginevyo mkiwaachia watajiimarisha kiuchumi kupitia biashara hiyo na hivyo kuteteresha hali ya usalama wa nchi yetu.
 
Hayo ndio madhara ya ufisadi. Mtu anajijenga, anamiliki jeshi dogo kwa kisingizio cha ulinzi binafsi. Anatumia pesa kupenya mihimili muhimu huku vyombo vya ulinzi vimelala. Anatoa misaada kwa fedha chafu hadi jamii inamuamini.

Sasa unafikia hatua kupambana na mtu kama huyu unatumia jeshi sio Polisi na bado casualties kibao! Ana jeshi dogo lenye mafunzo na silaha kali, wananchi pia wanamuunga mkono sababu ya misaada ya pesa chafu.

Tuombe Mungu tuwe na wazalendo wa kulinda Taifa kwa gharama yoyote.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Hakunaga pesa chafu. Remember that when yo older.
 
Hapa kwetu haiwezekani maana wale top ndio wauza ngada waku. Hivi unadhani Ile story ya yule first son wa enzi zile ni uongo?
 
Ngoja tuone kama watamuachia kama mara ya kwanza.

Mpska sasa watu 29 wamekufa na vinu vinaendelea kulia huko Culiacana.
Wanampeleka marekani this time!!!!Kipindi kile inasemekana kuna mlungula ulitembea japo serikali ya jimbo la Sinaloa ilidai walimuachia kwa sababu za kiusalama
 
Duuh...basi patachimbika. Kwa hiyo hata akikamatwa mtoto bado wataibuka wengine kuendeleza
Wkt mwingine linakua dili lakumpoteza kwakua wengine hawana nguvu yakuuza kwakua chimbo zote zinakua zake so genge lingine linakula dili na mwela ilijamaa akamatwe...
 
Wameliachia vip wakati wamezidiwa nguvu kwani hao jamaa dunia nzima watu wa dili za unga wana nguvu kuliko serikali..Ndo maana hyo biashara haiwezi kuisha.

Tambua Chapo alikuwa na nguvu kuliko serikali alishawai kulipa mpaka madeni ya serikali ya nje ...Utamwambia nn?[emoji1787]
[emoji1787][emoji1787]
waseahili tunamsemo:
"mchelea mwana.......hulia mwenyewe"
Serikali ya Mexico ilimchekea kabla hajawa na nguvu kubwa na alipo jiimarisha alianza kuwatesa hadi sasa limekuwa genge hatari sio tu mexico bali hata ktk maitafa ya marekani.
 
🤣🤣🤣
 
Hayo ndio madhara ya ufisadi. Mtu anajijenga, anamiliki jeshi dogo kwa kisingizio cha ulinzi binafsi. Anatumia pesa kupenya mihimili muhimu huku vyombo vya ulinzi vimelala. Anatoa misaada kwa fedha chafu hadi jamii inamuamini.

Sasa unafikia hatua kupambana na mtu kama huyu unatumia jeshi sio Polisi na bado casualties kibao! Ana jeshi dogo lenye mafunzo na silaha kali, wananchi pia wanamuunga mkono sababu ya misaada ya pesa chafu.

Tuombe Mungu tuwe na wazalendo wa kulinda Taifa kwa gharama yoyote.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Amina!
 
The Sinaloa cartel gave the Mexican government an ultimatum. If Ovidio, El Chapo's son, is not released within 72 hours, gas stations and government buildings will be burned. The cartel fears Ovidio's extradition to the US.
Kulaaaleki, hatari moto fire
 
Back
Top Bottom