Baada ya kukamatwa mtoto was El Chapo, Zimepigwa Kinoma Mexico

Hakuna pesa chafu wew
Hayo ndio madhara ya ufisadi. Mtu anajijenga, anamiliki jeshi dogo kwa kisingizio cha ulinzi binafsi. Anatumia pesa kupenya mihimili muhimu huku vyombo vya ulinzi vimelala. Anatoa misaada kwa fedha chafu hadi jamii inamuamini.

Sasa unafikia hatua kupambana na mtu kama huyu unatumia jeshi sio Polisi na bado casualties kibao! Ana jeshi dogo lenye mafunzo na silaha kali, wananchi pia wanamuunga mkono sababu ya misaada ya pesa chafu.

Tuombe Mungu tuwe na wazalendo wa kulinda Taifa kwa gharama yoyote.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Hakuna pesa chafu ila wew ndo mchafu
 
Jamaa huwa wanahakikisha wanakuwa karibu na jamii ya mji husika kwenye ngome yao yaani huduma zote za msingi kama afya,elimu,maji barabara zinakuwa nzuri na za uhakika kuliko hata zile sehemu zinazosimamiwa na serikali kuu that's why huwa wanapata support kubwa kutoka kwa raia.

Jamaa wako vizur,wanarudisha walichochuma kwa jamii
 
Mtandao ni mkubwa sana, hiyo ni kujisafisha maana Joe Biden ana ziara Mexico. Toka miezi 6 iliyopita alikuwa anatafutwa inamaana serikali yake walikuwa hawajui alipo?
Wale jamaa wanahama kila siku hawakai sehemu 1 muda mrefu maana ni Marekani ndo anawataka kwani CDS inahusika na 90% ya madawa yote duniani
 
Serikali ya mexco ni dhaifu inatawaliwa na magenge ya wauza mihadarati. Serikali zingine ziko imara kupambana na makundi hayo kiasi cha kulazima kuuza kwa hali ya usiri mkubwa na kutojulikana. Wamefanya uharibifu mkubwa wa mali za umma na binafsi, wamechoma magari. Cha ajabu hayo magenge yana makaburi yao ya kifahari na serikali haiwafanyi kitu
 
Wananufaika nao uenda ndio walipa kodi wakubwa
 
Duuuh aiseee,hawa jamaa ni hatari sana......wanasystem kuliko hata serikali yao
 
Wale jamaa wanahama kila siku hawakai sehemu 1 muda mrefu maana ni Marekani ndo anawataka kwani CDS inahusika na 90% ya madawa yote duniani
Wamexico wabishi sana

Maisha yao kama sinema tu

Ova
 
Mtandao ni mkubwa sana, hiyo ni kujisafisha maana Joe Biden ana ziara Mexico. Toka miezi 6 iliyopita alikuwa anatafutwa inamaana serikali yake walikuwa hawajui alipo?
Ina Maana Biden hawezi kuja na kuondoka salama bila huyu Jamaa kukamatwa. MI nadhani USA ndio wamewaambia Mexico huyu mtu tunamuhitaji nadhani next atapelekwa usa kama baba yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pesa chafu manake nini? Hizo mali/pesa zinazokwapuliwa africa na mabeberu na badae kutuziba midomo kwa misaada kiduchu ni pesa safi?
Uchafu hauoshwi kwa uchafu! Kama tukiamua kuachia huu uhuni sababu tunaibiwa na mabeberu itafika dakika tutachimba mahandaki kwenye nyumba zetu kutafuta usalama.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Hayo ndio madhara ya ufisadi. Mtu anajijenga, anamiliki jeshi dogo kwa kisingizio cha ulinzi binafsi. Anatumia pesa kupenya mihimili muhimu huku vyombo vya ulinzi vimelala. Anatoa misaada kwa fedha chafu hadi jamii inamuamini.

Sasa unafikia hatua kupambana na mtu kama huyu unatumia jeshi sio Polisi na bado casualties kibao! Ana jeshi dogo lenye mafunzo na silaha kali, wananchi pia wanamuunga mkono sababu ya misaada ya pesa chafu.

Tuombe Mungu tuwe na wazalendo wa kulinda Taifa kwa gharama yoyote.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Fedha chafu ni za namna gani?
 
Back
Top Bottom