Baada ya Kukemea Ushoga tukemee hata Imani Potofu zote za Magharibi, nazo ni Mbaya Kama Ushoga, naongelea manabii wa uongo kina Zumaridi/Babu Loliondo

Serikali haina dini ila unataka kuipa jukumu la kuchagua dini sahihi
 
Mziki wenyewe wa sahivi bongo unaendana na ushoga

Ova
 
Kweli, uhuru wa kuabudu isiwe njia ya kufungana kamba kwamba mnaweza kufufua watu. Mfalme aliposema anamfufua Kanumba ilileta taharuki mtaani. Sijui zoezi limeishia wapi! Kagame Yuko sahihi, dini isimame kama huduma ya kiroho sio biashara za waziwazi.
 
Ile issue ya kufufua watu, jamaa alipiga pesa huku serikali ikikaa kimya. Watu walipigishwa mazoezi na kuvyalishwa ndevu za kiarabu ili waonekane kama misukule. Ama kweli maisha ni mchezo. Hata hivyo ni nguvu za Giza.
 
Hakika Hakika
 
Hakika na walikausha tu
 
Kuna huyu wa pale Mwenge Mpakani anaitwa James Nyakia ni tapeli mkubwa anawaibia watu mchana kweupe. Analaza wagonjwa hata sijui kama Wizara ya afya wamempa kibali.
 
Kuna huyu wa pale Mwenge Mpakani anaitwa James Nyakia ni tapeli mkubwa anawaibia watu mchana kweupe. Analaza wagonjwa hata sijui kama Wizara ya afya wamempa kibali.
Anawauzia waumini wake kachupa ka asali ka ml 10 kwa shilingi 300,000/- mwenyewe anaita package ,ila watu wamezidi ubwege kutangatanga kwenye makanisa wacha wanyooshwe
 
Kama mtu anaombewa na anapona, unapomkataza asimfuate mtume wake unataka afe?
 
Tena zumaridi alikua ndani mama alipoingia. Wahuni bila shaka wakashauri ni kinyume na uhuru wa kuabudu. Tukaona zumaridi akiachiwa na kupewa tunguri zake aendelee kuhadaa watu huku kama taifa tunajua watu wetu wengi bado ni wajinga.
 
Hakuna tofauti ya manabii na wanasiasa, wote kimsingi wanatutapeli sana.

Hizi kauli za wanasiasa za anaupiga mwingi zina tofauti gani na matendo ya manabii, athali zake kwa jamii zina tofauti gani.
 
Hakuna tofauti ya manabii na wanasiasa, wote kimsingi wanatutapeli sana.

Hizi kauli za wanasiasa za anaupiga mwingi zina tofauti gani na matendo ya manabii, athali zake kwa jamii zina tofauti gani.
Aheri hadaa za wanasiasa kuliko za manabii. Amini usiamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…